Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kwani ni kosa yeye kununua? kama ziliuzwa yeyeto angeweza kununua acha wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau

JIWE wakati akiwa Waziri wa Ujenzi alishiriki kikamilifu kuuza na kugawa"kuhonga"nyumba za serikali kwa jamaa zake na hata kwa mahawara zake.......ushahidi upo na WALIOHONGWA nyumba wanafahamika!Hili la CAG kununua nyumba za NSSF(?) lina ubaya gani kama "alinunua"kihalali??
 
Mbona kuna njemba ilijiuzia nyumba kule oysterbay ikiwa waziri wa wizara hüsika tena bei ya kutupa kabisa
HUYO NI JIWE WAKATI AKIWA WAZIRI WA UJENZI ALIMUUZIA MDOGO WAKE AMBAYE HAKUWA NA SIFA...NA MAENEO YA MWENGE JIWE HUYO HUYO ALIMHONGA HAWARA YAKE NYUMBA YA SERIKALI
 
kama dhaifu tulia jierekebishe, kuleta hoja alinunua nyumba ooh za nssf,ooh mjumbe wa bodi ...haina mashiko hizo. wee umechemka na vijisifa, majigambo ya mjengoni kudharau hoja za ustawi wa taifa, mkaja na maazimio mipasho
 
Tanzania hatuwezi kuendelea kwa ujinga huu. Yaani ukitaka kufanya jambo jema kwa Taifa basi watakuja watu wakufanyie fitna weeeee mpaka wakuharibie hata hilo jema lisionekane. Tumekuwa wambea wanafiki, husda, wivu uliopitiliza. Angalia hata makazini maofisini huku yaani ni tabu tupu.

Hebu mwacheni CAG wa watu. Kuna uzi huko James Kheri ameshatuambia CAG katuonyesha wapi tulipojipaka kinyesi na wapi tumejipaka lipstick na wapi tumenyoa panki, hakuna cha ziada. Kuendelea kumsakama CAG ni ukilaza wa hali ya juu yaani ujipake kinyesi alafu umlaumu aliyekupa kioo ujiangalie.
 
Kwa hiyo hii nchi mpaka mtu aishutmuu serikali au bunge ndio makosa yake na yeye yaonekane ?.mlikuwa wapi acheni kupotosha watu huu mchezo uko wazi pia sasa hivi watu wengi wanajitahidi kuelewa jambo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Nenda mahakamani lakini uanze Na yule aliyeuza nyumba za Serikali Kwa Ndugu zake akiwa ni waziri wa wizara husika. Acha kumpakaza CAG, alinunua Kwa bei isiyo na upendeleo wowote wala hakuchukua bure, tatizo lako ni nini? Ukivuliwa nguo chutama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Hili halitakusaidia
 
Kwa hiyo unashauri nini
 
Tunaomba uchunguzi ufanyike ktk hilo ili kumsafisha na tuhuma hiyo.Kama kweli alishiriki kununua nyumba akiwa mjumbe wa board nssf basi awajibishwe.
Kama utaratibu ulifatwa cha zaidi nini! ukifanya mazuri mia, moja haliwezi kuonekana poleni
 
Unapoanza story za kuuza nyumba ni kama unamchafua jiwe yeye ndio kinara katika kashfa za kuuza nyumba za serikali unapomzungumzia Dau na kashfa zake za NSSF pia ni kama unamchafua jiwe kumbuka NSSF ndio walifadhili daraja la kigamboni na jiwe akala kamisheni zake..... MTU MZIMA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA kumchafua Assad haitasaidia chochote.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Hiyo ndo tabia ya vijana waliolelewa na CCM ikiwa CCM ikiguswa kwa mapungufu basi watatafuta madhaifu ya mtu aliye sema ukweli. Lakini angesifia basi wasingeona madhaifu hayo. Ugonjwa upo sana
 
Back
Top Bottom