Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Bye...nyeg.....lazimaaaziwatokeeeeemwakahuuu
 
Watanzania bwana,ni mtindo wa mwaga mboga na mimi niitamwaga ugali.Idiots.Kwa nini wote tusiwe na uaminifu na weledi unaotakiwa?
 
Kwa wanaodai ni mtu bora sana kuliko wadhaifu wengine, wajifunze hapa!
 
Naona Nyani haoni kundule! Atueleze naye ya kwake maana sasa anataka kujifanya yuko fit kuliko wote hapo jalalani alipotoka.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Duh,yaani uniona mtu anamtupia madongo Magu, ujue ni fisadi lililokubuhu.Haya,tutasikia mengi.Tunasubiri.
 
Hivi nani anamsikiliza huyu msomi uchwara, Tanzania hatuna wasomi hawa wanaojiita maprof na madr wengi ni wajinga kupita kiasi( 99%) akiwemo prof assad ,wanaongoza kwa unafiki na kujipendekeza kwa watawala walishe matumbo yao na familia zao
 
Prof assad ndio ovyo kabisa awadanganye wasiomjua,mambo yake yakiwekwa hapa nitashangaa hakuna mtu pale ni fisadi tu.
 
Hivi nani anamsikiliza huyu msomi uchwara, Tanzania hatuna wasomi hawa wanaojiita maprof na madr wengi ni wajinga kupita kiasi( 99%) akiwemo prof assad ,wanaongoza kwa unafiki na kujipendekeza kwa watawala walishe matumbo yao na familia zao
Assad ameanza kudeka, akitafuta kujulikana. Kule morogoro amepewa chuo kwa muda sasa lakini hakina mabadiliko. Kila wakati anarudi kwenye kazi ya CAG wakati ni kazi aliyoifanya kwa muda mfupi ukilinganisha na jalalani alipokaa hadi uzeeni.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
prof Assad ana watoto wangapi na wake wangapi na sasa anajishughulisha na kilimo cha bamia au
 
Back
Top Bottom