Definately"Bunge ni dhaifu" by Prof.Assad
Hata mzushe kashafa mpya,ukweli ndio huo
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
We acha wanajitetea huku wanafukua makabuli mengineBaraza la mawaziri chini ya Ben walipitisha uamuzi wa kuuza nyumbani za serikali. Katika walio jiuzia hizo nyumba na mengine yaliyoendelea kwenye mauzo mnaya kumbuka.
Bunge..........
Ulikuwa wapi?Matangazo hadi kwenye TV,tena kwa watumishi wakapewa na offer ya kulipia nusu halafu nyingine watakatwa kidogo kidogo kwenye mishahara!Ulikuwa bado hujabalehe,ndio maana hujui chochote!Kama haziuzwi kwa zabuni zitauzwaje kwa mtu yeyote? Mbona mimi sikupata taarifa kwamba zinauzwa ili nikanunue?
Jamani,hizo nyumba hazikuwa zinauzwa kwa zabuni au mnada!NSSF ilikuwa na mradi wa kujenga nyumba na kuuza kwa wananchi,yeyote angeweza kununua akitaka!Duuu kumbe naye ni fisadi anakimbilia kuona tu Trilion 1.5 tu
Hazikuwa zimejengwa kwa ajili ya kuuza bali ni nyumba zilijengwa zaman kwa ajili ya kuishi wafanyakazi ndo zikauzwa kwa usiri na kwa kuwa dau na board majority walikuwa aina fulani so waliziuza kwa watu wao kama ifuatavyo:Jamani,hizo nyumba hazikuwa zinauzwa kwa zabuni au mnada!NSSF ilikuwa na mradi wa kujenga nyumba na kuuza kwa wananchi,yeyote angeweza kununua akitaka!
Hebu tuwekee majina ya walionunua nyumba za serikali tufanye tathmini!Hazikuwa zimejengwa kwa ajili ya kuuza bali ni nyumba zilijengwa zaman kwa ajili ya kuishi wafanyakazi ndo zikauzwa kwa usiri na kwa kuwa dau na board majority walikuwa aina fulani so waliziuza kwa watu wao kama ifuatavyo:
1. Hawa Bedui
2. Hamida .khoja
3.Mariam Daraja
4. Jafari yahaya matundu
5.Omary Mziya
6.Msonga R.msonga
7.Prof. assad
8.yakub kidula
9. Abubakar Jambia
10.R. Nassor
11.
Ona majina utapata majibu
Hebu tuwekee majina ya walionunua nyumba za serikali tufanye tathmini!
Mimi nimekwambia naomba tutajie list ya zile za serikali,halafu tuangalie watumishi ni wangapi ambao walistahili kuuziwa!Maana lengo lilikuwa kuwauzia watumishi wa Umma!Mkuu zile za serikali ni tofauti na hizi za nssf, tofauti sana tu.
Mmegundua Leo?Kumbe huyu CAG alitoa lazi ya kufanya ukaguzi wa miradi ya nssf kwa kampuni yake iitwayo ASSAD ASSOCIATE AUDITING FIRM???! na alifanya hivyo ili afiche madhaifu yake na swahiba wake dau kuhusu nssf
Kwa hiyo?Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Mimi nimekwambia naomba tutajie list ya zile za serikali,halafu tuangalie watumishi ni wangapi ambao walistahili kuuziwa!Maana lengo lilikuwa kuwauzia watumishi wa Umma!
Na JPM anatuhumiwa kumpa Mdogo wake pamoja na hawara yake ambao kwa pamoha hawakuwa watumishi wa Umma!Hilo liliidhinishwa na baraza la mawaziri na kutangazwa, ila ukisoma gazeti la fahari yetu walikaa kikao na kuamua kujiuzia bila open tender
Kwani Jiwe hakujinufaisha na uuzaji wa nyumba za serikali enzi zake?Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Shida ni pale akitoka akaingia mzee wa suruali fupi basi tumeisha hali inajirudiSasahivi wanaisoma namba,nasikia wale mafirauni wa dau wote wamepelekwa huko halmashauri, mfyuuuuuuu.
OK. SAWAMimi ni
Mimi ni mkristo lakini sitakubali upuuzi wenu mumtumie Assad Kama kielelezo cha udini hatutaki tunampenda Assad hata mfanyaje ndugu gai kajinyea kweupe
Tupo na ASSAD kwa Sasa,SUBWOOFER Tupa Kule.Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.