Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Hiyo ndo tabia ya vijana waliolelewa na CCM ikiwa CCM ikiguswa kwa mapungufu basi watatafuta madhaifu ya mtu aliye sema ukweli. Lakini angesifia basi wasingeona madhaifu hayo. Ugonjwa upo sana
Mkuu thread imeanza tangu january 9 sasa hata ripoti haijatoka kuna uhusiano gani hapo, tumia akili utapata mume usilazimishe usijeolewa yakakushinda
 
Mmeanza na unoko unoko wenu...msiotaka madudu yenu yawekwe hadharani,hamna chochote mtakachosema kumchafua Assad mngefanya hivyo huko nyuma sio sasa hivi.
 
Walionunua nyumba za serikali au mashirika ya umma zilizouzwa usiwaongelee 'negatively' kama unakipenda chama tawala maana humo utamwingiza mpaka Mwenyekiti wao.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Mkuu samahani we ni ndugai nini. Maana unaweweseka kweli kweli. Unaeleza maelezo bila ya kututajia yalifanyika lini, mwaka gani. Wananchi sasa hivi interest yetu ni yaliyoibuliwa na repoti ya CAG. Tunataka majibu ya hoja zilizoibuliwa kwenye ripoti hiyo. Sio mambo mengingine. Hatamkijitahidi kututoa nnje ya reli, hatuyumbi.TUNAIMANI NA CAG.
 
Kama kanunua kuna tatizo gani? Wakati kuna watu walijigaia nyumba za serikali na tumekaa kimya tu.
 
Muasisi wa Kuuza Nyumba Za Serikali Ni Rais Mkapa chini ya Waziri wake John Magufuli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni ujinga sana kama unadhani unaweza kumchafua CAG ndo kwanza moto umewakaaaaa balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya mungu hii nchi ina vichwa maji waliopitiliza.Yaani toka jana mlikua kimya sasa ndio mmekuja na haya mashudu.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mbona haya yanaukuja sasa hivi, Kwann hukuyaandika since akiwa Mjumbe wa Bodi ya NSSF, Kweli CAG kashika sehemu mbaya🙂🙂🙂🙂🙂
 
Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
litakuwa kosa kama alinunua pasina uwazi, kusimamia taasisi haimanishi kuwa products za taasisi unayoisimamia hutazinunua!!! kama nyumba ziliuzwa kwa uwazi akanunua kwa bei husika(mkt price) tena kwa kufuata utaratibu sioni kama kuna kosa lolote hapo.
 
Kumbe kanunua kama ziliuzwa je Kwani hana haki kama mtanzania

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulia basi! Umesoma habari yenyewe? Kutulia ni jambo jema sana hata kama linamuhusu mwanandoa wako, Jitahidi kutulia.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

UNAONGEA KAMA VILE UNAONGELEA SIMBA NA YANGA AU MANUU. ACHA UDINI TOA USHAHIDI NENDA KWENYE GAZETI LA SERIKALI KATOE HOJA YAKO NAE ASSAD ATAJIELEZA SIO MAMBO YA UONGO UONGO: unajua nini maana ya assad ni nineno la kiarabu assad maana yake simba , ukisikia nimekwambia ni neno la kiarabu ndio utazidi kumchukia
 
Tatizo tulilonalo watanzani ni umbea umbea tuu siku zote ulikuwa wapi usitoe taatifa? Kwani hizo nyumba ziliuzwa chini ya bei elekezi? Mtoa mada una ujinga ujinga flani hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom