Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Asante kwa taarifa.Wapo watu wanaomtetea Assad kwa nguvu zao zote,they should be ashamed by this revelation.
 
Kama hachumii tumbo ingefaa akakaa pembeni kupisha uchunguzi
 
Hahahahah mwana umeuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana kanichanganya kweli. Badala aseme nyumba zilikuwa zinauzwa bei fulani na jamaa wakapewa punguzo wakanunua au ziliuzwa bei ya chini hivi kinyume na thamani.. Yeye anakomaa na nani kanunua na sio bei ambayo ndo msingi wa biashara.. Tunakuwa wambea badala ya kuwa Thinkers.
 
Kanunua nyumba toka nssf kwa pesa yake,mbona saa mbovu aliwapa mahawara na ndugu zake nyumba za serikali,hii awamu imejaa wapumbavu na wajinga tupu
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba uchunguzi ufanyike ktk hilo ili kumsafisha na tuhuma hiyo.Kama kweli alishiriki kununua nyumba akiwa mjumbe wa board nssf basi awajibishwe.
Tuwaulize na wafanyakazi wa serikali waliojiuzia nyumba za serikali, vipi hapo conflict of interest haihusiki?
 
Kwahiyo hii ni mwaga Mboga nimwage ukali! Asingekusav1.5tr nanyi mngemlinda? Tukisema ni uongo uliotukuka utajisikiaje? Ya prof umejulishwa Jana au? Jioni hii tutakuelewa kuwa wewe kama siyo mvivu wa kufikiri basi huna Uwezo kabisa wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app

We punguani kweli, unamtetea mwivi bila kujua kuwa hawa ndo wanaotuharibia nchi, kisa tu wa dini yako basi unakosa akili unamtetea!!!!!!rubbish
 
We punguani kweli, unamtetea mwivi bila kujua kuwa hawa ndo wanaotuharibia nchi, kisa tu wa dini yako basi unakosa akili unamtetea!!!!!!rubbish
Nina kheri Mimi punguani,kuliko wewe kafiri usiyemjua Mungu. IN JIBU HAYA, 1. Hili na Assad kununua hiyo nyumba,hukulifahamu kabla ya 1.5tr?2,hukulifahamu kabla ya Assad kutaka bunge lina udhaifu? 3,Kwanini hukuliweka humu kabla? 10.Mimi na wewe nani punguani? 4-9 nawaachia wenye akili kubwa wakuulize

Bora kafiri kuliko firauni wewe, wheather nilijua kabla ila nilimlia timing na hapa hachomoi keshachomekewa na wanaume lazma mimba aibebe.
 
Umejikakamua kweli lakini naona hakuna comments kabisa. Mie kama mwana nacomment hivohivo usijisikie vibaya. Ila punguza pumba..

....Update....
Kwenye Biashara huwa tunaongelea BEI ya kitu na THAMANI yake sio UMBEA wa nani kanunua. Sema kama ziliuzwa kwa hasara au kinyume na bei elekezi. Sio nani kanunua.
Saaafi sanaumempa jibu zuri huyo subwoofer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kafiri kuliko firauni wewe, wheather nilijua kabla ila nilimlia timing na hapa hachomoi keshachomekewa na wanaume lazma mimba aibebe.
Una mambo 3.a) ulifikiri humu kuna watu wenye kiwango kidogo cha akili kama chako. B) Huna hoja,hoja yako ni matusi. C) Huna maadili. Ila nakupongeza kuingia kwenye kundi la watu waliokuzidi, vitu Vingi sana huenda ukaelimika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upuuzi wako wewe! Tuletee kifungu kinachoonyesha kwamba wajumbe wa Board ya NSSF walikuwa hawaruhusiwi kununua nyumba hizo ambazo zilikuwa zinauzwa.
Na ww sema ni nani aliyepanga bei ya hizo nyumba?
 
Fungeni mi...ndu yenu mfanye yenu masikini wakubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ziliuzwa kihalali nani sio ndugu wa nani ktk nchi hii. Hata wewe una jamaa zako aidha mwenyekiti wa kitongoji au kijiji au anaitumikia nchi kwa wadhifa fulani je ungenunua tungesema mtoto wa mwenyekiti wa kitongoji ameuziwa?
2. Baada ya kuanika uovu leo umetokea na uzi kumjeli juzi ulikuwa wapi?
3. Ni kweli pasipo shaka alikuliwa bongo na huenda akasoma hapa je kesho utakuja na skendo zake za skuli za kuiba vitabu maktaba ya shule?
4. Kwa taarifa yako wapo wengine utashiriki nao kupanga njama na huenda wakazigusa ili kupata taarifa ya uhuni unaofanika . Hujakuta na spy wa israeli wa kike atakupa K ila utauawa.
CAG RIPOTI kipindi hiki itawtoa roho haizuiliki imepasua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom