Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
ulikuwa wapi tangu zaman kuleta uzi huu wa kijinga
 
SHIDA YA TANZANIA KILA MMOJA ANA MAKOSA YAKE KUTOKANA NA MFUMO MZIMA WA MAISHA YAKITANZANIA, SASA UNATAKIWA KUISHI KWA NIDHAMU YA WOGO KUWANYEYEKEA WENYE MAMLAKA UKIGUSA MASLAHI YA WAKUBWA NDIO WATU WANAENDA KUFUKUA MAKABURI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
huu ndio uzi toka lumumba?
 
Acha upuuzi wako wewe! Tuletee kifungu kinachoonyesha kwamba wajumbe wa Board ya NSSF walikuwa hawaruhusiwi kununua nyumba hizo ambazo zilikuwa zinauzwa.

Halafu kaandika kabisa kanunua, sasa shida iko wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tulia basi! Umesoma habari yenyewe? Kutulia ni jambo jema sana hata kama linamuhusu mwanandoa wako, Jitahidi kutulia.

Wivu tu huna lolote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona mnataka mchafua image yake, tarnishing him haitosaidia, its too late! Mlikua wp?
Kwani wamechelewa kivipi. Pro assad si huyu yupo tu. Kama alifisidi na sasa anabainisha ufisadi haifuti ufisadi wake. Anaweza kutamba sasa ila weledi kwenye auditing ni pamoja na mtu mwenyewe kua transparent in all respect in all times. Vinginevyo ni mnafiki.
 
Ulikuwa wapi siku zote usiseme unakuja kusema leo?!
Kama ni kweli asiseme? Ukweli huwezi kuficha au kuzuia hata ukukalia kwa matako mwisho utaondoka watu watajua. Kwa nini sasa..sasa ndio wakati wake watu kujua.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Nilidhani kaiba. Kama kanunua kihalali shida iko wapi?.
Mbona husemi mwenyekiti wa ccm taif alivouza nyumba za serikali kifisadi akahonga hadi hawara wake na ndugu zake?
 
Wakati tukidhani Assad ni mwema kiasi hicho, haya yalishaandikwa hapa JF.
fisiem ni shiddah[emoji196] [emoji12] [emoji83]
Screenshot_2019-04-13_135805.jpg
Screenshot_2019-04-13_135605.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom