Prof. Nzali afariki dunia

RIP, prof Dr Nzali, First year convener in late 1990's. He was really a brain in Electrical Eng.
 
Poleni wafiwa. I never had the chance to meet him considering the vast nature of UDSM. This is a loss that will be difficult to overcome within his family and among friends at large.
Does anyone know the cause of his demise?
 
Upumzike kwa amani Prof, poleni sana familia pamoja na wote walioguswa na msiba huu.
 
Poleni wafiwa. I never had the chance to meet him considering the vast nature of UDSM. This is a loss that will be difficult to overcome within his family and among friends at large.
Does anyone know the cause of his demise?

He was involved in a car accident where he was taken to MOI ICU for about 2 days, he improved and later transfered to a private ward at MOI,he was doing pretty fine,he could talk,stretch a little, but on saturday morning his condition worsened, and He died at 8am.
Last respect will be paid today from 10am at Nkurumah Hall then at his place-Changanyikeni and the body will be sent to Njombe for burial.
May his soul find peace for all eternity.
 
Duh!!!

basi Professor Nzali atakuwa missed na watu wengi sana; alikuwa mtu bright sana na very sociable. Binafsi mimi alikuwa rafiki yangu tukiwa tunakutana kwenye vikao vya bia mara kwa mara kule kwenye maeno ya Savei mwanzoni mwa miaka ya tisini wakati wa utawala wa Professor Materu pale engineering. Niliwahi kufika hata nyumbani kwao kule Makambako. Of all people, Engineering wasingempoteza Professor Nzali, ila ndiyo hivyo: kazi ya mungu haina makosa.

Mungu alizae pema peponi roho ya Marehemu Nzali.
 
Well of all the lecturers pale ECSE Nzali was the best! I speak as one of his students, i learned alot from the man!

He was a great teacher.... i learned quite a lot from him!!!

May his soul rest in peace! - Amen
 
Poleni sana wanajumuiya wa UDSM. Pole kwa wana familia, ndugu, jamaa na marafiki. Pole za pekee kwa Prof. Burton Mwamila.
Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi apumzike kwa amani-Amen.
 
Jamani nina msg. kwenye simu yangu ya Kiganjani kuhusu mwanamapinduzi wa mambo ya Teknohama Prof. Nzali.

Naomba mlioko Mlimani au karibu naye mtuhabarisheni!

My Condolences!
From what I heard from a friend leo anasafirishwa kuelekea iringa but I do not know more than that!
 
RIP Prof Nzali,

Nimepatwa ma masikitiko makubwa baada ya kupata habari za msiba huu.

Namkumbuka Prof Nzali tangu aliponipokea UDSM akiwa First Year Convernor pale Faculty of Engineering na baadaye akawa mwalimu wangu katika Power Systems. Nilijifunza mengi kwe msomi huyu ambaye hakuwa na makuu.

Nashukuru nimepata fursa ya kuhudhuria asubuhi hii shughuli ya kutoa heshima ya mwisho pale Chuo kikuu. Kwa taifa tumempoteza mtu aliyeandaa wataalam wengi na amekufa angali akiwa na nguvu za kuendelea kutumikia taifa lake tena akiwa amechota maarifa lukuki.

Pole kwa familia, ndugu, marafiki, wahandisi na wote tulioguswa na msiba huu.

Msiba huu uwe changamoto kwetu tumuenzi Prof kwa kuchapa kazi kwa bidii zaidi kwani ni mmoja wa wale walioamini kuwa elimu tuliyo nayo ni utajiri tosha kwa taifa letu.

Amen
 
RIP Prof Nzali. It is very sad, he was a good man.

Sisi tulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi. Apumzike kwa amani

AMINA
 
rip prof. nzali. nawaombea familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki
faraja za Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom