Hatumuheshim na kumuenzi mtu kwa elimu alionayo au position alionayo bali ni nini amefanya kwa taifa cha kukumbukwa kupitia elimu aliyonayo au position aliokuwa nayo.
RIP Dr.
Google uone mchango wake kwa taifa, mabox yamekuchanganya, siyo kosa lako
Daktari bingwa na nguli katika tasnia ya afya amefariki na kuzikwa Arusha, ni katika madaktari wa mwanzo baada ya uhuru, na alifundisha madaktari wengi nchini. Pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Afya ya Afrika Mashariki na kusini kwa muda mrefu sana kabla ya kustaafu.
Alikuwa mkuu wa kwanza Mtanzania wa kitivo cha udaktari, mkurugenzi mkuu wa kwanza wa hospitali ya Muhimbili, Rais wa kwanza wa MAT etc etc ( ongeza unavyovijua)
Tanzania tuwajali na kuwaenzi wasomi wetu, R.I.P Professor
Endelea na mabox huna mchango kwa taifa
Ndugu yangu endelea na box na baridi huna mchango kwa taifa!
Mengi sana ndani ya sweet bongo siyo wewe uliyekimbilia majuu halafu unarusha madongo, raha ya ngoma uingie ucheze!
Sina budi na mpiga box badala ya kufanya vya maana, uko off leo unatafuta wa kupiga naye story?
Mpiga box off kila mtu anajua leo
Piga box google uone mchango wa Prof katika nchi hii, mchango wangu naowafanyia kazi wsnaujua. I will toop too low to tell you
Thread ni ya Prof na nimeorodhesha na wengine wameongeza! Mwanaume wa ukwe hakimbii nchi ok