Bongo hawana utaratibu wa kuwaenzi wasomi wa taifa hili akifa basi ndio basi legacy yake kaenda nayo kaburini
Kumuenzi maana yake nini?
Si alipewa nyadhifa hizo mbali mbali kama ukurugenzi Muhimbili, ukuu wa chuo nk na nina hakika alikuwa anapata pensheni yake.
Au ulitaka apewe urais wa nchi?
Rank ya nini mkuu?Pro. Makene
pro. Mwaluko
Pro.Salungi
Pro.Karashani
Pro.Kimati
Pro. Shaba
Pro.Masawe
Wote hawa ni Rank moja
Mtoa mada alilenga zaidi msiba na mazishi yake!Kumuenzi maana yake nini?
Si alipewa nyadhifa hizo mbali mbali kama ukurugenzi Muhimbili, ukuu wa chuo nk na nina hakika alikuwa anapata pensheni yake.
Au ulitaka apewe urais wa nchi?
Wasomi wanajiharibia wenyewe hii nchi inashindwa kupiga hatua kwasababu yao,wao wanadhani kuwa PhD holder ndo baasi na wakati wanatakiwa kudevote muda wao kutoa elimu huko vijijini kama huyu Prof alitakiwa akasaidie watu kujua nini mabaya ya sera za afya kwa wazee,vijana n.k na nini watu wafanye ila tatizo lao wakishapata hizo titles wanahamia Obey na kusahau haraiki ya wanyonge wa nchi hii
R.I.P Prof.
Kumuenzi maana yake nini?
Si alipewa nyadhifa hizo mbali mbali kama ukurugenzi Muhimbili, ukuu wa chuo nk na nina hakika alikuwa anapata pensheni yake.
Au ulitaka apewe urais wa nchi?
Uandishi unatambulisha akili ya mtu. Tunakushukuru kwa kutuweka wazi wewe ni mtu wa aina gani.
Daktari bingwa na nguli katika tasnia ya afya amefariki na kuzikwa Arusha, ni katika madaktari wa mwanzo baada ya uhuru, na alifundisha madaktari wengi nchini. Pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Afya ya Afrika Mashariki na kusini kwa muda mrefu sana kabla ya kustaafu.
Alikuwa mkuu wa kwanza Mtanzania wa kitivo cha udaktari, mkurugenzi mkuu wa kwanza wa hospitali ya Muhimbili, Rais wa kwanza wa MAT etc etc ( ongeza unavyovijua)
Tanzania tuwajali na kuwaenzi wasomi wetu, R.I.P Professor