Thread ni ya Prof na nimeorodhesha na wengine wameongeza! Mwanaume wa ukwe hakimbii nchi ok
Pole wee na stress za box hapa ni Prof Nhonoli ok
Box unalipigia pugu road au???
Mengi sana yataorodheshwa na wanayoyajua, siyo kwako bingwa wa box
Endelea na box ndiyo mpango mzima !
Wewe uliye nje ya mada ndiyo jishangae! Anyway stress za box leo sijui vipi uko off?
Wewe Prof humfahamu, hukuwa na sababu ya kuchangia thread hii, endelea na boooooxxxxxx