Prof Nhonoli afariki - kimya! Wasomi hawathaminiwi

Tatizo hawa maprof wetu haawachagi hata documenyaries ama vitabu tungekuwa tunawatambua na tunawaenz kuptia maandko yao, sasa mi ukurugenz wake mhimbl ungenisaidia nini??? Wasomi wa tz badilikeni andiken kwa faida ya vizaz vijavyo, mi ndo namsikia hapa, anyway wacha niende wikipedia,

apepe!!

Ameandika sana, labda tasnia haikugusi au ugonjwa wa watanzania wa kutopenda kusoma vitabu. Kweli wikipedia itakusaidia
 
Wasomi wanajiharibia wenyewe hii nchi inashindwa kupiga hatua kwasababu yao,wao wanadhani kuwa PhD holder ndo baasi na wakati wanatakiwa kudevote muda wao kutoa elimu huko vijijini kama huyu Prof alitakiwa akasaidie watu kujua nini mabaya ya sera za afya kwa wazee,vijana n.k na nini watu wafanye ila tatizo lao wakishapata hizo titles wanahamia Obey na kusahau haraiki ya wanyonge wa nchi hii

R.I.P Prof.

Rweye.
Anazungumziwa mtu aliyefanya kazi ktk kipindi ambacho watumishi wa umma kwa kiwango kikubwa walitimiza wajibu wao. Hawakujilimbikizia mali wala kutumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi.

Mzee huyu alistaafu mwanzoni wa miaka ya tisini. Na amekua anaishi maisha ya kawaida na ya kiadilifu pale Sakina,Arusha. Hakutaka kuwalamba miguu wanasiasa ili pengine apate teuzi ktk bodi na vyeo vingine.
 
Nashukuru sana, humu watu wanapenda kuchangia hoja hata kama mtu au issue yenyewe hawaijui! kwa hakika wengi waliotoa negative comments ni wale ambao hawakumfahamu Prof. Once again RIP
 
Rweye.
Anazungumziwa mtu aliyefanya kazi ktk kipindi ambacho watumishi wa umma kwa kiwango kikubwa walitimiza wajibu wao. Hawakujilimbikizia mali wala kutumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi.

Mzee huyu alistaafu mwanzoni wa miaka ya tisini. Na amekua anaishi maisha ya kawaida na ya kiadilifu pale Sakina,Arusha. Hakutaka kuwalamba miguu wanasiasa ili pengine apate teuzi ktk bodi na vyeo vingine.

Ni kweli kabisa kuwa Marehemu Pro Nhonoli aliishi maisha ya kawaida sana. namfahamu kuwa alikuwa mzee mwadilifu,mcha MUNGU wa kiwango chake na hili hata wata wa Arusha wengi wanalijua hasa maeneo pale Sakina alipokuwa anaishi.
Pamoja na nafasi mbalimbali alizowahi kushika hapo awali hakuwa mtu wa mbwembwe hata kidogo na hata famila yake yaani wanae wamekuwa mfano wa kuigwa katika jamii yaani hawakuwa na makuu na wanaishi maisha ya kawaida.
Nimeshangazwa sana na ukimya wa Wizara ya Afya na hata Taasisi hii ya Muhimbili kutokutambua na kuonyesha kuenzi kazi zilizofanywa na Marehemu Pro. Nhonoli ili hali machapisho yake bado yanatumika kufundishia na rejea za mambo kadhaa.
Anyway, ndivyo tulivyo. RIP PRO. KASANDA NHONOLI. MUNGU aipe familia yako moyo wa subira katika wakati huu mgumu sana kwao na sisi wengine tuko pamoja nao katika kipindi hiki.
 
Asante sana Mkuu Wizara ya Afya mpo ? MUHAS , MNH , NIMR kweli hakuna cha kumzungumzia huyu nguli ? RIP
 
Mkuu Bijou kama hao wote wataendelea kunyamaza basi ni aibu ya aina yake kwa Taasisi hizo. Mbaya zaidi inatoa picha mbaya sana kwa wasomi walioko sasa ndani ya taasisi hizo kujua hatima yao ya baadae na jinsi watakavyo thaminiwa wakiondoka.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa, hope wana pita pita huku, better late than never
 
Last edited by a moderator:
Bongo hawana utaratibu wa kuwaenzi wasomi wa taifa hili akifa basi ndio basi legacy yake kaenda nayo kaburini
 
Wasomi wanajiharibia wenyewe hii nchi inashindwa kupiga hatua kwasababu yao,wao wanadhani kuwa PhD holder ndo baasi na wakati wanatakiwa kudevote muda wao kutoa elimu huko vijijini kama huyu Prof alitakiwa akasaidie watu kujua nini mabaya ya sera za afya kwa wazee,vijana n.k na nini watu wafanye ila tatizo lao wakishapata hizo titles wanahamia Obey na kusahau haraiki ya wanyonge wa nchi hii

R.I.P Prof.

mkuu upo sahihi 100%.
 
Kaa kimya hujui unachoongea
 
Sasa ulitaka ulimwengu mzima utangaziwe kwamba amekufa au?

Ndugu yangu endelea kubeba box kama huna maoni, suala la kifo na mchango aliotoa msomi huyu si wa kudhikakiwa hata. Au kwa kuwa umekimbia nyumbani nakuona box deal? Shame
 
Huyo bwana kadhihakiwa kivipi na nani kamdhihaki?
 
Back
Top Bottom