Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Asante sana Professor Assad kwa kusema ukweli. Nchi hii imeibiwa sana na genge la Magu.

Acha Kuwa Mpumbavu We Binti. Ni Kiongozi Gani Wa Nchi Hii Ambaye Sio Mwizi?

Wanaiba Chadema Ambao Hawana Dola, Unawashangaa Watu Walioko Jikoni. Akili Yako Ndogo Subiri Upate Mume Wa Kukuoa Ukomae
 
Kama Prof kasema haya basi nimeamini hii nadharia; " bila kujali elimu na uzoefu wetu, kama huwezi ku.ithibiti hisia(emotions) zako huna tofauti na wanyama kama nguruwe, punda, nk maana wao huongozwa na hisia tu! Kwa muktadha huu Asad naye ni kama nguruwe!
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.

===

Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.

Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.

Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Profesa mzima mnafiki na mwoga. Kwanini hukuyasema haya kabla ya Magufuli kuondoka uone.
 
Huu wizi wa sasa hivi ni zaidi ya EPA,Tegeta escrow,meremeta, Richmond pamoja na wizi wote uliopita.Bado trilioni zetu 1.5 hatujui zilipo.Yamkini huu Ufisadi umezidi Ufisadi uliofanyika miaka 20 waliotawala Mkapa na JK kwa ujumla wake.Yaani ni Ufisadi wa kutisha!
 
Nimemsikia Prof Assad ,Huyu inatakiwa arudishwe ili aendelee kulitumika taifa.

Amesema ATCL ivunjwe ,ndege ziuzwe maana hamna kitu wanafanya.

Mkataba wa bagamoyo uweke wazi watu wasome na kama kuna vitu vya kukubaliana vinaweza kurekebishwa ili mradi ujengwe.

Huyu naye ni mbabaishaji tu. Kwanza, mkataba wa kibiashara sio document ambayo inapaswa kuwa kwenye public domain. Pili, Serikali inawajibika kwa Bunge, ambalo ndio chombo rasmi cha uwakilishi cha mlipakodi. Haiwezekani sisi watu mmoja mmoja tukataka kuisimamia Serikali. Itakuwa chaos kwa kwenda mbele!
 
Huyu naye ni mbabaishaji tu. Kwanza, mkataba wa kibiashara sio document ambayo inapaswa kuwa kwenye public domain. Pili, Serikali inawajibika kwa Bunge, ambalo ndio chombo rasmi cha uwakilishi cha mlipakodi. Haiwezekani sisi watu mmoja mmoja tukataka kuisimamia Serikali. Itakuwa chaos kwa kwenda mbele!
Huyo jamaa yenu hasafishiki hata kwa dodoki la chuma. Alifanya uhuni mwingi sana ofisini.
 
Matatizo ya nchi hii ni ya siku nyingi na yanatia aibu. Kwangu mimi jambo la msingi uwekwe utaratibu wa kuweka hizi taarifa wazi kama kilio cha wengi kinavyotaka.

Hiyo mistari mingine anayorap Assad, ni maneno tu ya kisiasa ya sungura sizitaki mbichi hizi (UNAFIKI)

UNAFIKI ni hazina kubwa kwa Watanzania, sasa tunataka baada ya kumaliza kusema tuone vitendo maana mna imani sana na huyu mama. Tusubiri...
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Nyie mnaoita watu wanafiki msijitie wazimu kana kwamba hamkuwa mkijua ubabe na visasi vya hayati! Mnakera sana sababu consequences zilizokuwa zinawapata vihere here kama akina Lissu mliziona! Sasa mlitaka na CAG ajiitie ujuaji ili ang’olewe kucha bila ganzi au adhurike asiione tena familia yake???

Mnakera sana kmmmk zenu!
 
Namfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Tofautisha unafiki na Wisdom mbwa wewe! Unapoamua kukaa kimya kuepusha shari haimaanishi wewe huna nguvu za kupambana ila tu ni kwamba madhara ya kupambana ni makubwa kuliko ya kufunika kombe mwanaharamu apite!

Fikiria tu kupata shambulio la mwili, kutengwa na familia yako au kuvunjiwa mji na kutiwa jela kwa kesi ya kubambikiwa dhidi ya kukaa kimya kisha maisha yaendelee kipi bora?!
 
Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,

Itakua walishazifahamu tabia zake za kupenda kufanya yasiyomhusu ndio maana wakamnyima ,

Ingawa hajasema ni nyaraka zipi ili tujue kama alikua anastahili kupewa ama la.
Auditor anafanyaga yasiomuhusu? Hivi unajua maana ya Government Auditing kweli wewe?
 
Huyu Mzee atabaki na heshima yake milele. Mama anaweza kumpa shavu wakati wowote kuanzia sasa.

Jiwe yeye ameondoka kwa aibu na anasindikizwa kaburiki kwake na ufisadi, mauaji, uongo na utekaji. Hakika hana amani huko alipo.
Natamani sana huyu jamaa apewe uspika baada ya yule ndezi
 
Assad hana mwanafunzi bwege kama wewe ,wewe ni kindele tu zaidi mwalimu wako ni prof alie okotwa jalalani
Hahahahaha Assad ana misimamo af anajua anachokifanya per se!

Huyu mwanafunzi atakuwa wa professa mimacho mzee wa elf mia tisa na kenda!
 
Back
Top Bottom