Hongera Prof Assad, nilitamani sana ufanyike ukaguzi kwenye SGR na Stiegler’s wakati bado ukiwa ofisini

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,394
Kama namba 1 ana vita ya kweli ya Rushwa na matumizi mabaya ya Ofisi za Umma, Assad alikua anafit zaidi.
Ukiachana na uzoefu na ufanisi wake, pia ana hofu ya Mungu.

Miongoni mwa Watanzania wachache sana ambao walionesha msimamo usioyumba, udilifu na uzalendo katika kipindi hiki . Hongera prof Assad. Nilitamani sana ufanyike ukaguzi kwenye SGR na Sitglers wakati bado ukiwa ofisini.

Kwamba Rais na washauri wake ndo wameona Kichere ndo anafaa kuchukua nafasi ya Prof Assad.?

nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana.

Nasema hivi Uthubutu,Ukweli, Uwazi, Ujasiri, kufuata maadili ya taaluma na Uzalendo ni vitu ambavyo tunapaswa kujifunza Kwa Professor Assad ni vitu ambavyo wasomi wengi wa kizazi hiki hawana.

Tumefika hapa kwasababu Wenyewe tumemlegezea, sasa wacha atuinike vizuri. Hatuna uchungu na kodi zetu, hatuna kauli moja kama walipa kodi. Tungekuwa wamoja kama jirani zetu naapa huyu Msugunsu asingetupelekesha. Iliyobaki ni kudra ya alietuumba. Na kumbukeni kuwa hii ni mizizi anajichimbia abaki Ikulu.
 
Tungepata nafasi ya kumhoji mh Rais sababu za kumtoa professor Musa Asad kwenye nafasi ya CAG na kumteua Kichere kuchukua nafasi sidhani kama angeweza kutupa majibu ya kuridhisha.

Awamu hii ukiwa mzalendo na kufanya kazi kwa weledi unaonekana ni kikwazo. Kuna nn nyuma ya pazia?
 
Muda wake umeisha mkuu
 
Nilishangaa sana yan Yule aloshindwa kweny mapato TRA Leo ndo awe mkaguzi wa mapato na matumiZi ya serikali hahah
Ndege wafananao uruka pamoja..... Prof Asad ni ndege mwenye maadili sana !!!! sasa hii inanipa swali imekuwaje awaruki naye pamoja?!! Kunyooka nayo ni shida ?! Kumbuka reporti ya 2018/2019 imeanza kufanyiwa kazi bajati iliishi June 2019 .. au Auditing queries zimemuondoa Assad?
 
Umemsahau Mfugale
jambo la kwanza la CAG kichere ni kuidhinisha matumizi ya bil 40 kuwalipa wakulima wa korosho. Hii haiko kwenye bajeti ....hivyo akiidhinisha tu, mahakama inaweza kuanzisha uchunguzi wa kuhoji hili na ikithibitika atatumbuliwa tu
 
Ndege wafananao uruka pamoja..... Prof Asad ni ndege mwenye maadili sana !!!! sasa hii inanipa swali imekuwaje awaruki naye pamoja?!! Kunyooka nayo ni shida ?! Kumbuka reporti ya 2018/2019 imeanza kufanyiwa kazi bajati iliishi June 2019 .. au Auditing queries zimemuondoa Assad?
We subiri report ijayo utakavo kuwa safi hapo ndo utajua kuzimia ni mfano wa kufa n.a. kufa sio kuzimia
 
Kama namba 1 ana vita ya kweli ya Rushwa na matumizi mabaya ya Ofisi za Umma, Assad alikua anafit zaidi.
Ukiachana na uzoefu na ufanisi wake, pia ana hofu ya Mungu.

Miongoni mwa Watanzania wachache sana ambao walionesha msimamo usioyumba, udilifu na uzalendo katika kipindi hiki . Hongera prof Assad. Nilitamani sana ufanyike ukaguzi kwenye SGR na Sitglers wakati bado ukiwa ofisini.

Kwamba Rais na washauri wake ndo wameona Kichere ndo anafaa kuchukua nafasi ya Prof Assad.?

nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana.

Nasema hivi Uthubutu,Ukweli, Uwazi, Ujasiri, kufuata maadili ya taaluma na Uzalendo ni vitu ambavyo tunapaswa kujifunza Kwa Professor Assad ni vitu ambavyo wasomi wengi wa kizazi hiki hawana.

Tumefika hapa kwasababu Wenyewe tumemlegezea, sasa wacha atuinike vizuri. Hatuna uchungu na kodi zetu, hatuna kauli moja kama walipa kodi. Tungekuwa wamoja kama jirani zetu naapa huyu Msugunsu asingetupelekesha. Iliyobaki ni kudra ya alietuumba. Na kumbukeni kuwa hii ni mizizi anajichimbia abaki Ikulu.
Kwasasa bora tusiwe na katiba wala vyama vingi tu,nchi waiendeshe wanavyotaka wao nadhani itapendeza zaidi.
 
Mbona mnaongea kana kwamba Prof amefukuzwa kazi, si ni muda wake wa kupumzika umefika.
Tofauti na huyo aliechaguliwa mlihisi nani alifaa kukalia kiti?
 
Asad muda wake umeisha wala hajatumbuliwa
Tungepata nafasi ya kumhoji mh Rais sababu za kumtoa professor Musa Asad kwenye nafasi ya CAG na kumteua Kichere kuchukua nafasi sidhani kama angeweza kutupa majibu ya kuridhisha.

Awamu hii ukiwa mzalendo na kufanya kazi kwa weledi unaonekana ni kikwazo. Kuna nn nyuma ya pazia?
 
Tungepata nafasi ya kumhoji mh Rais sababu za kumtoa professor Musa Asad kwenye nafasi ya CAG na kumteua Kichere kuchukua nafasi sidhani kama angeweza kutupa majibu ya kuridhisha.

Awamu hii ukiwa mzalendo na kufanya kazi kwa weledi unaonekana ni kikwazo. Kuna nn nyuma ya pazia?
Kama muda wake kisheria umefikia ukingoni, kwani ni lazima aongezewe muda?

Kulikuwa na mtu kabla yake na muda wake ulipoisha akateuliwa yeye, sasa naye muda wake umeisha anachukua mtu mwingine nafasi yake.

Ile nafasi sio ufalme. Kama umempenda sana nenda kamshauri muanzishe taasisi yenu kama alivyofanya Ludovick Uttoh (wa taasisi ya WAJIBU) mpige kazi pamoja. Tena mnaweza kuzalisha ajira badala ya kutegemea kuajiriwa hadi mfe mkiwa ktk ofisi za umma.

Kuna vijana wasomi kibao wanasubiri ile nafasi. Tuachiane kijiti kisheria.
 
Nikweli Assad mudawake umekwisha,lakini si sawa kwa Kichere kuwa CAG haswa kwa wakati tulio nao.
Kwa wakati huu,kama kweli Mkulu anania na dhamira yakweli alitakiwa kumuongezea Assad muda,Watu wenye hadhi na weledi kama wa Professor Assad ni wachache sana Duniani.Kama hamuamini soon utasikia Professor Assad yupo ktk Viunga vya Duniani huko ana tumikia na kujenga ulimwengu badala tungemtumia kujenga Nchi.
 
Hizi dots si mchezo aisee.
Kijazi- zamani Katibu Mkuu, Ujenzi

Dotto J - zamani Tanroads

Kichere - Zamani Tanroads

Ajuaye wengine waliokua Tanroads au/na Ujenzi na sasa wana nyadhifa nyeti serkalini awaongeze tafadhali.
 
Atakula shavu UN na kwingineko huko duniani.

Back
Top Bottom