Mabulangati
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 796
- 167
Hii tabia ilianza kimya kimya kwa mawaziri sasa inasambaa kwa watumishi wengine. Hakuna magari Iringa? Chuo cha Mkwawa hawawezi kumtembeza huyu Mukandala kwa muda mfupi aliokuwa hapo Iringa? Kwa nchi maskini kama hii inakuwaje mkuu wa chuo (mkuu wa chuo!) asafiri kwa ndege huku gari lijazwe mafuta na kumfuata Iringa kwa safari za hapo mtaani Iringa? Kweli Mukandara anaweza kusimama mbele za watu na kuhubiri utawala bora?
Huyu Mukandala siyo hilo tu, anaishi kwenye nyumba yake Makongo, lakini kwa tamaa zake bado amechukuwa nyumba za lecturers hapo chuo kikuu? Sijui inakuwaje anakaa kwenye nyumba mbili kwa wakati mmoja? Au anatumia kwa shughuli 'maalum?'. Sijui ni kitu gani waliangalia na kumfanya huyu Prof awe mkuu wa chuo? Anakiuwa kabisa.
acheni kujustify the 'unjustifiable', kama mna chuki na current VC UDSM tafuteni issue nyingine za kumpaka matope sio kubwabwaja hearsays, kwa hili ni big no, anzeni upya period
6. Kuhusu Ukwasi: Hapa siwezi semamengi ila najua UDSM wanategemea pesa toa serikalini mtumeni CAG akafanye kaziyake kama ukwasi unatokana na matumizi mabovu au la.
7. Matumizi mabaya ya fiedha: Mi ninavyomjua huyu bwana anajaribu sanakupunguza matumizi na nikipiga mahesabu ya kwenda Iringa kwa gari yaani: Muda,mafuta, tahadhari, na posho za wote na siku watakazo kuwa huko utagundua ni kwakiasi gani huyu bwana alivyoliona hilo na kushukuru kampuni ya Auric kupelekausafiri wa ndiege Iringa. Tafakari!
8. Mliman City wanakula: ukweli ni kwamba mwekezaji lazima anataka kula lakiniMradi huu hakuuanza Mukandala ujue, pia tangu ameingia madarakani lazima tufanyeutafiti kujua chuo hicho kinafaidikaje na mradi huo. Nilikutana na moja wawakurugenzi wa pale nilopokwenda Botswana last week wakasema VC wa sasa paleUDSM anawabana sana.
9. Chuo Kimeharibika: Ukweli ni kwamba anayejenga na kubomoa chuo ni wewe, mimina waliopo chuoni pale; wewe unaambia wanafunzi waandamane kupinga kituulichotunga kisicho na ukweli, unwatakia mema wanafunzi na chuo kwa ujumla?watasoma saa ngapi? watatafiti pumba na makande saa ngapi kama mnawajazaemotional greefs.
Wandugu nitaendelea kusema ukweli hata kwa kifo uongo, majungu na fitina kwangumwiko. Tuache makelele, tuongee; tuache siasa za chuki tujenge hoja tuibuemijadala ya kifikra na kimaendeleo; tuache uvivu wa kufikiri na kutenda,tufanye kazi kwa bidii.
Mkuu naona leo upo sana humu ndani, BOX hazibebeki nini???Ahahahahahaaaaa wala sijala chumvi kihivyo. Mimi ni bwana mdogo sana.
Unategemea nini kuingiza siasa katika institution nyeti kama UDSM? Amewekwa maksudi na swaiba wake. I appreciate science guys like Luhanga. Alikuwa na weaknes zake lakini huyu anakandamiza wanafunzi, anatumia mali hovyo. Nadhani umefika wakati jamaa naye aachie ngazi.Akiue chuo mara ngapi!!!, kimeshakufa kabisa, kipo kipo tu!!!, Bila huyu jamaa kuondoka pale hakutakuwa na jipya.
Chuki kwani sisi majina yetu yalikatwa wakati VC anabebwa kwa mbeleko iliyochanika kupewa hicho cheo na Baba M?? We unafikiri hizo 4m zingekuwa zinatoka mfukoni mwake huyu nshomile angeenda Iringa kwa ndege?? Tungeskia kuwa ameonekana ubungo anapanda Sumri. Lakini kwa vile kodi zetu ni shamba la bibi wanajifanyia wanavyotaka. Nakuhakikishia kuwa hakuna hata kiongozi mmoja hapa Tanzania mwenye COST SAVING MENTALITY... Kama yupo mtaje hapa jukwaani. Hata kama unalipa fadhila uwe na ujasiri wa kukemea maovu dadaacheni kujustify the 'unjustifiable', kama mna chuki na current VC UDSM tafuteni issue nyingine za kumpaka matope sio kubwabwaja hearsays, kwa hili ni big no, anzeni upya period
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.
Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
UDSM kilikuwa cha maana enzi za Kuhanga..
Wait a minute, assuming uliyondika hapa ni kweli, je hizo V8 zilitumwa zikiwa kwenye auto pilot mode?
ndio nshomile bwana`bila kukodi ndege na vx kutangulia mtajuaje kama yy ni mtu mkubwa?
msishangae hiyo tu hata fedha za miradi ya mliman city zinaliwa who cares?
kula baba hata ukiweza uza na chuo kabisa
Naomba nikurekebishe kidogo TELO umemkashifu Freema Agyeman kuwa ametoa rushwa kua mwalimu UDSM bila kuwa na vigezo stahili. Pale UDSM nimewahifanya kazi kabla sijaingia mtaani kupiga ujasiriamali. Hiyo miaka ya 90 ndiyo niyosoma pale mkuu na nilikua kiongozi na niliwahi ingia senate. Senate ina mamlaka kuliko ya huyo VC pia ili mwalimuaajiriwe Chuo chochote lazima akidhi vigezo na ni lazima ipo kisheria. Kam unauhakika wa mwalimu UDSM asiyekuwa na kigezo ni halki yako ya msingi kwenda mahakamani kufile case.
Utamaliza lini kumshangaa ili na mimi nianze kumshangaa??!!