Prof. Kitilla Mkumbo, Mungu akuweke duniani milele

Pro Mkumbo akiwa Waziri Mkuu katika serikali ya Dkt Samia ataivusha sana nchi, ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, ameshiriki kutunga ilani, anaujua upinzani, ni mtafiti na mjenga hoja mzuri sana, watanzania tutafurahi sana akiwa PM Prof Kitilla Mkumbo

Nitasali kuomba Prof Mkumbo awe PM na inshalllah atakuwa PM
 
mmh

giphy-downsized.gif
 
Kitila amekutuma upige campaign?
 
Pro Mkumbo akiwa Waziri Mkuu katika serikali ya Dkt Samia ataivusha sana nchi, ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, ameshiriki kutunga ilani, anaujua upinzani, ni mtafiti na mjenga hoja mzuri sana, watanzania tutafurahi sana akiwa PM Prof Kitilla Mkumbo

Nitasali kuomba Prof Mkumbo awe PM na inshalllah atakuwa PM
Kwa sababu ya ulivyomuona amevaa miwani na kujiinamisha kila wakati kitapelitapeli?
 
Back
Top Bottom