Prof. Kitilla Mkumbo, Mungu akuweke duniani milele

Prof. Kitilla Mkumbo, Mungu akuweke duniani milele

Wote hao kuna kipindi walikuwa wapinzani.
1. Wasira mpaka akawa mbunge Nccr Mageuzi.
2. Kitila alikuwa Cdm baadaye ACT. Hata hivyo wote walifika bei. Na sasa unawaona kama lulu huko Ccm .

Ujue wapinzani wengi wako vizuri vichwani. Sema bei ya hazina ni kubwa
 
Unataka kusema machawa wote humu ni wake za watu madam?
Men lacking pride ya manhood, they are capable of doing anything just to get their daily bread. Can't believe chawa akiombwa na boss atakataa kuinama if he can say stupid things publicly against his manhood to make the boss happy
 
Japo sijaelewa kingereza ila nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 upo lakini
 
Nimefurahishwa sana na Prof Kitlla Mkumbo wakati akisoma ilani ya CCM leo pale Dodoma

Yeye na Wasira ni hazina kubwa sana.
Akikufurahisha unadhani anafurahisha wengi. Njoo jimboni kwake uangalie barabara na upatikanaji wa maji ndio utatia akili.
Hajawahi kuja jimboni tangu enzi na enzi.
Kama una namba yske, mpigie au piga 0774359535.
 
Nimefurahishwa sana na Prof Kitlla Mkumbo wakati akisoma ilani ya CCM leo pale Dodoma

Yeye na Wasira ni hazina kubwa sana.
Najua unatania tu ili watu wajibu hovyo.

Unajua kabisa kuwa kitila ni KITUKO
 
Pro Mkumbo akiwa Waziri Mkuu katika serikali ya Dkt Samia ataivusha sana nchi, ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, ameshiriki kutunga ilani, anaujua upinzani, ni mtafiti na mjenga hoja mzuri sana, watanzania tutafurahi sana akiwa PM Prof Kitilla Mkumbo

Nitasali kuomba Prof Mkumbo awe PM na inshalllah atakuwa PM
Punguzeni utani
 
Back
Top Bottom