Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Wana jamvi Salaam

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.

Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Chanzo: Tanzania Daima
Hapo jumlisha kuwa serikali imeacha kuajiri kabisa.
Suala la ajira kwa wananchi wake halipo kichwani mwake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Usiombe kuwekwa kiporo na baba jesca.. huko ni kumsuta ki utu uzima...!!!!
yaan hapa ni kama kawekewa ka mtego na baba mwenye nyumba akikubal tuu kaozeshwa..hahaha...mkumbo lakn tunajua c mpinzani hii imeletwa makusud ili wapinzani wasutwe kwamba n watu wa blah blah.. mkumbo mungu anakuona
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Kumuandaa daktari it takes years.
So haiwezekani, akitoka mmoja mwingine aje tu kwa haraka.
Ndio anachoomba. Kwa sasa angechagua tu wengine. Labda mbaka watakapofikia idadi nzuri tena
 
  • Thanks
Reactions: SDG
pesa nyoko sana acha kucheza na pesa hata leo hii Mnyika au Mbowe apewe shav kala hl kelele zote ztafya kwa ndg diketa uchwara,wachache sana wanaoweza simamia wanayo yasema hasa kwa ngoz nyeus hasa mtanzania! mf mzur n wa wadaktar wa kitanzania! wenzao wanapgania hak zao ktk nch yao wao wanawaona mafala! lait kama mm ndo ningekuwa mkenya unaposhuka 2 ndge unapgwa al shababu fasta!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"Huu utaratibu wa kuwateua wasomi ambao ni walimu na wanataaluma kutoka Vyuo vikuu hasa Chuo kikuu cha Dar es salaam si mzuri maana Rais haoneshi kuwaandaa wengine kuchukua nafasi zao, tuachwe wasomi tufanye kazi za kitafiti na kitaaluma"- Prof. Kitila Mkumbo. ITV - 17/4/2016.

Kama inavyoonekana hapo juu hiyo ilikua nauli yake akimtaka Rais apungeze ama aache kuteua wanataaluma ambao pia wanategemewa kwenye vyuo mbalimbali .

Ukiangalia utagundua kwamba kuna utitiri Wa wahadhiri toka vyuo mbalimbali hasa Udsm wanapata teuzi na kuingia kwenye uongozi. Ila kwa angalizo hill ngoja tuone.

Nawasilisha...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nasubiri kuona jinsi prof atavyo simamia anacho kiamini
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom