msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,891
Usiombe kuwekwa kiporo na baba jesca.. huko ni kumsuta ki utu uzima...!!!!
Duuuuh! Profesa anakataa ugaliKitila Mkumbo ashurukuru uteuzi wa Rais. Apinga kuwa sehemu ya Serikali. Aomba Nafasi yake apewe mtu mwingine.
Source Radio EFM
Weeee ujue ukatibu mkuu unakula vxv8 na dreva juu, nyumba na mazaga zaga kibao..Nani anapenda kuteseka na kuandaa vipindi, kusahihisha na kukumbizana na chaki lecture theater?Profesa wangu Kitila Mkumbo uko wapi unisaidie kujibu hapa?
hapa ndo napoukubali ule msemo weka akiba ya maneno yakusaidie siku za usoni kama silaha ya akiba
Ndo muda wake kupata jibuYeye akiteuliwa ATAKATAA?
Kakubali 😀😀😀 baada ya kuteuliwa ndumilakuwili... Ila me namkubali sana huyu jamaa magufuli kaitendea Haki nchiYeye akiteuliwa ATAKATAA?
Ukatibu mkuu unahitaji taaluma au ?Kakubali 😀😀😀 baada ya kuteuliwa ndumilakuwili... Ila me namkubali sana huyu jamaa magufuli kaitendea Haki nchi
Hiyo Wizara ya Maji ilishawahi kupata Katibu Mkuu ambaye alikuwa Profesa wa Matibabu, Al marhum Profesa Idris Ali Mtulia, mkapa alimtoa Muhimbili akampeleka kuwa katibu mkuu wa maji nishati na madini wakati huo.Wizara ya Maji PS ambaye si professional yake ndio naiona leo sikujua kama inawezekana.
Ngoja tuone msimamo wake kama alichokuwa anakisema anaweza kukiishiNdo muda wake kupata jibu
Haswa... Sio siasa pale...waziri majibu yote anategemea kwake.. Ndie muongoza wizara kiutendajiUkatibu mkuu unahitaji taaluma au ?
Nayeye akikubali uteuzi atakuwa ana matatizo ya akili pia?
Is being ACT political advisor a full time job? Stop nonsenseMbona yeye anashinda ACT wazalendo? Anatafuta kiki huyo ni wivu
Tuone kama atasimamia alichokisema hapo juuYupo sahihi