Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Wana jamvi Salaam

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.

Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Chanzo: Tanzania Daima


!
!
time to walk the talk
 
Hii siyo serikali sasa ni JPM University!! maana serikali imejaa PhD na Professors.Sasa hao graduates watajifunza kazi lini.
 
Nilivyokuwa mdogo nilidhani giza ndilo hatari lakini nilivyoanza kubalehe ndio nikaijua njaa kama kitu kibaya zaidi.
Tatizo uhalisia wa njaa mwingine tunautengeneza wenyewe na sio ajabu unakuta mwingine ana billions kwenye akaunti lakini bado anakula pesa za wahanga!
 
Yetu macho tukisubiria mkumbo akatae uteuzi ili kusimamia kauli yake yakupinga wahadhiri kuteuliwa teuliwa hovyo.
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nani kakwambia. Uogozi mtamu wwe. acha kabisa
 
Tusubiri tuone atalijibu vipi. Kama ataamua kusimamia kauli yake na hivyo kukataa uteuzi au ataonyesha unafiki.
Itampa wakati mgumu ila hawezi kukataa
 
Back
Top Bottom