Wachina ni wadharirisaji sana, walipobaini kuwa raisi wetu ni mpenda misifa wakaamua wampakazie uprofesa ili kubadiishana na pembe za Ndovu kutoka Tz.
CC: Mingoi
Last edited by a moderator:
Wachina ni wadharirisaji sana, walipobaini kuwa raisi wetu ni mpenda misifa wakaamua wampakazie uprofesa ili kubadiishana na pembe za Ndovu kutoka Tz.
Ni kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!
Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea
Huyu baba asipojua kuendesha ndege ntashangaa sana
Hapo hajatangaza kuanza ziara za kuaga!
Hivi kwanini kwanini hakuunganisha tu moja kwa moja kutoka China aende huko Marekani?
Dawa yake ni kukuta gaidi lishaingia ikulu na kujipa uraisi akirud anaipata fresh
Nadhani Prof. atakuwa keshatia timu hadi kufikia sasa.
huku nako upo.kwa professor wa kicha anajifunza kuendesha ndege
Naomba kirefu cha VDG kwa manufaa ya wengineNi kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!
Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea
Naomba kirefu cha VDG kwa manufaa ya wengine