Prof. Kikwete aenda Marekani

Prof. Kikwete aenda Marekani

Huyu jamaa kama mbayuwayu vile anashinda hewani masaa yote
 
Bora hata kapande ndege ya kawaida,si atakuwa kapanda na abiria wengine au wamekodi?
 
Anaenda kucheck afya yake. Mungu atusaidie kumpata rais wa Tanzania 2015, maana kwa akili zetu; hili nalo ni ligumu sana
 
walisema anaenda kutibiwa, mbona mhimbili ipo anakwenda wapi huko?
 
Wabongo wanamkandia weeee, akifika huko wanamfanyia party!

You can't believe it, wanaanzisha mkwara eti akija tunaandamana, akifika wanalipa dola mia mia kuingia kwenye ki hall kumuona.
 
atakuwa ameenda kumpa pole Obama siyo bure anakaa siku 10 kumfajiri na kumpa moyo JK atavunja rekodi za dunia atakuwa raisi wa kwanza duniani kusafiri nje ya nchi kila siku ccm ni janga la taifa
 
Wewe na Prof wako mnaoamini nchi inaweza kuendelea kwa misaada shem on you!!


Wachina ni wadharirisaji sana, walipobaini kuwa raisi wetu ni mpenda misifa wakaamua wampakazie uprofesa ili kubadiishana na pembe za Ndovu kutoka Tz.
 
Hivi Jk anapoamka anachokiwaza ndo lazima kifanyike? Washauri wake wana kazi gani? Aah this is too much bwana
 
Jamaa kwa kuzurura yaani amevunja rekodi ya Mfalme Henry "the Navigator". Awamu ijayo tuepuke marais wazurururaji!
 
Huyu jamaa Marekani ndio MSALANI kwake.... Kila akijisikia kunya utasikia mbio Marekani
 
Ikulu na ihamishiwe Marekani na ile ndogo ijengwe China tujue moja...Naona huyu ni zaidi ya koti pale Magogoni
 
huyu si alikua marekani mwezi uliopita ,,kweli raha jipe mwenyewe.Ina maana kwamba alishindwa kumaliza mambo yote yalio mpeleka marekani wakati wa ziara yake iliyopita??Au ndo kubakisha viporo vya makusudi ili arudi tena,,halafu ina onekana anapenda sana kupanda ndege,,hana uchungu na pesa za uma as long as ana kula bata wa tz tuta jijua wenyewe.Halafu ana lalamika eti urais mgumu,,msh**###n*#z***##i sana huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom