teheeteheeteheeee,sasa mbona asitibiwe kwenye hospitali zetu?au kwa sababu hamna madawa?acha kuwaza kwa kutumia wowowooooo
Ni moja kati ya laana za Mwl. Nyerere. Mtu kagombania Tanzania iwe huru mpaka akafungwa na wakoloni, leo hii anakuja msanii kuwa rais unafikiri Nyerere huko aliko ana Raha?
Kila mjinga na kazi yakezaidi ya watz 40% akili zao zimedumaa. You must be one of them!
Umeshasikia sehemu inayoitwa Matombo kule Morogoro au Kakuma kule Kenya?!jina lako linaakisi akili na uliwazalo