Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Waliozowea kukinga bakuri hawezi kufikiria njia mbadala yakujikwamua kwasababu wanaamini kwa kujidanganya eti huko nje ndipo kuna pesa nyingi kuliko hapa!
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Ndege ya rais ya bilioni 40 ina matatizo?
Kwa hiyo ndo siku 20 hivyo!
Huyu rais ana matatizo kwelikweli...sijui tuliletewa na nani!!!!
Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Ameitwa na Obama.
Duh... huyo Rais wetu kweli ni kiguu na njia!Ni kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!
Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea
Ni kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!
Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea
Duu!!! Kazi kweli kweli. Haikuwa na haja ya kuwa na waziri wa mambo ya njee
Duu!!! Kazi kweli kweli. Haikuwa na haja ya kuwa na waziri wa mambo ya njee
Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Siku hizi haitwi tena Dkt?
Halafu hilo dali hapo juu kwenye picha ya kwanza niaje?
Anaenda Marekani kufanya nini? Kuhudhuria tamasha la Jay Z, Beyonce, na Blue Ivy?
Akili za wanaccm hizi.Kilaza wewe misaada kwa ajili ya familia yako huwa unaombea wapi?Ilikuwaje matonya mkawa mnamrudisha Dodoma hali yeye,rais wako na wewe mwenyewe akili ni moja