Prof. Kikwete aenda Marekani

Prof. Kikwete aenda Marekani

Baba utunusuru na hili janga. Alizaliwa TZ, clinic kapelekwa hko hko kijijin kwao cjui chalinze!, alikuwa akitibiwa hospital za hapa hapa bongo mpaka kafikisha umri wa utu uzima, hata alipokuwa jeshin alipata matibabu hapa hapa, leo hii kuukwaa uongozi akiwa ni kijana mzee eti anaenda matibabu marekani???!! Nimegundua kwa nini wakilazagwa hko nje tunarudishiwa maiti huku kwetu. Na mifano ya viongozi wengi wa bara hili ambao leo hii ni historia na kumbukumbu zao ndo zimebakia baada ya kwenda kutibiwa nje.
 
Prof wa China anakwenda US kwa matibabu. Hapo juu ni shimo la Dari ya VIP lounge airport. Na kuzurura kote hakuna alichowahi kujifunza. Airport yetu chafu na mbeya kuliko zote duniani, inavuja mpaka aibu rangi zimefubaa utafikiri unaingia jikoni.
 
Watu wa usalama hili hawalioni! Ebu angalieni hiyo dari juu ya kichwa cha prof dr!
attachment.php
 
Ile safari ya kwenda US ni ndefu kweli kweli hata kama huko kwenye 1st class...sijui huyu kwa nini haichoki...kwa mwaka lazima azipige kama 10 hivi za US
 
Aiseee noma kwer sasa ndege ya Rais inafanya nn mpaka apande emirate?
 
Ila siku nyingine ukisafiri usisimame karibu na hilo dari lililotoboka! Unaweza angukiwa na panya au mbao zilizooza tutakupoteza rais wetu kipenzi. Nisalimie kale katoto kakubwa ka Obama. Safari njema.
 
Hivi katiba pendekezwa ina kifungu kinachozuia safari za viongozi wakubwa kama Rais? This is too much, Rais huwezi kufanya safari za namna hii. Ni hatari kwa kweli
 
Yani hata ukiuliza mtoa mada hii habari nusu ameitoa wapi hawezi kukuambia! Tangia lini Rais akasafiri bila kusema sababu ya safari?
Hii habari ya Rais kwenda marekani bila sababu umeitoa wapi?
Unataka ionekane amekwenda kutembea tuuu?
Rais amesafiri kwenda Marekani kwaajili ya uchunguzi wa afya yake ..... na atakuwa huko siku kumi!

Kwani anaekwenda hospitali anajua majaliwa ya kurudi kwake?
 
Mkuu Pasco, sisi waislam kuoa wanawake wasiozidi wanne ni sunna. Aya zinatuamrisha tuwawekee zamu ya kufanya mambo ya 'kijamii'. Sasa kitendo cha kumwacha bi Salma ni kuwa huko US anaenda kustawisha mambo ya kijamii.Si unajua tena ukiwa na jamii si ni lazima ujamiiane?Asante
Mkuu Mzito K, angalia usije kuiponza jf, mkuu wa nchi kasafiri kwa safari muhimu ya kitaifa yenye maslahi kwa nchi yetu, wewe unamsingizia, amesafiri ili tuu, kwenda kupata huduma za kijamii?!. Tujuavyo sisi anaye mmoja tuu na ndiye anayetambulika officially, kitendo cha kumsingizia hayo mkuu wetu wa nchi, ni kumdhalilisha, kumvunjia heshima na kumshushia hadhi yake mbele ya jamii ya jf, kuonyeshea, kuwa japo zamani alikuwa ni "muzeiye wa michepuko!", unamaanisha hata baada ya kuingia pale "mahali patakatifu", bado anaiendeleza michepuko yake, ila kuepuka kupanajisi patakatifu pale, hiyo michepuko yake sasa ndio anaiendeshea kwa Obama?!.Oh Please tafadhali!.Pasco
 
Last edited by a moderator:
Marekani ndio nchi pekee ambayo mkuu wa nchi au Rais ye yote anaweza kuingia kwa shughuli binafsi (mapumziko, biashara, matibabu, nk) na kukaa hata mwaka mzima bila kuwepo protokali yo yote ya kiserikali (na wakati mwingine hata WH ya Obama bila kujua wala kujali yuko wapi). Kwa hivyo inakuwa rahisi sana kuwazuga wananchi wake kama anataka kuficha shughuli yake ya binafsi - Rais amekwenda mapumzikoni Marekani. Basi, na wananchi kama WaTz waliozoeshwa ombaomba ni kitu cha hadhi huko nyuma wanabaki wanashangilia kuwa Rais wao yuko Marekani kwenda kuwaombea misaada! Angekwenda India au China au Russia 9(by the way Putin anawasili lini?) kwa kisingizio cha mapumziko, isingechukua muda kila mtu angejua amekwenda hospitali ya Appolo!!

Huko kucheki afya ...mama kumuacha bongo !
 
Nionavyo mimi kiwango cha Elimu kimeshuka hasa ukizingatia sifa za walimu waliopo , miundo mbinu tuliyonayo na utekelezaji wa mipango tuipangayo kuhusu Elimu.

Kama vigezo vya kupanda kwa Elimu ni idadi ya wanaojiunga katika ngazi furani ya elimu basi Elimu ya Tanzania iko juu mno kulinganishana huko nyuma.

Angalia matokeo ya kidato cha nne kila mwaka tumekuwa na karibu asilimia 80 ya wanasemwa wamefaulu kuwa na daraja la nne.Daraja ambalo hata afanyeje labda ataenda ualimu kama ambavyo tumefanya miaka ya 90 na mwanzoni mwa mwaka 2000.

Madarasa yapo watoto hawasomi kwa kukosa walimu hiyo Elimu itapandaje, ili tendo la kujifunza liweze kufanyika ni lazima mwalimu awepo na mwanafunzi pamoja na mabo mengine kadha wa kadha wataalamu wa elimu wanaijua.

Tutaendelea siku nyingine.

Asante.

Slaa kwenye kampeni za 2010 alisema tukiruhusu maccm warudi madarakani ni janga la taifa nauliza hill so zaidi ya janga la taifa bohari ya dawa wemesema hawana dawa kabisa mhimbili wame wamepandisha garama za uduma watu wana kufa bila msaada wowote ukiongea ukioji wanakuambia unatakafunja amani na kundoa mshika mano serekali hats kulipa mishahara wanalasimika
Kukopa benk nakuakikishia mwaka huu mmoja uliobakia kabla ya uchaguzi tushudia mambo mengi tuombe uzima
 
Ni moja kati ya laana za Mwl. Nyerere. Mtu kagombania Tanzania iwe huru mpaka akafungwa na wakoloni, leo hii anakuja msanii kuwa rais unafikiri Nyerere huko aliko ana Raha?

Nyerere mwenyewe ana laana na sasa yuko jehannam.

Ana jeuri ya kumlaani nani yule mchonga meno?

Laaana hiii unayoiona ndani ya taifa hili chanzo ni nyerere.

Simple logic ni kwamba.

Bila laana ya nyerere isingewepo ccm.

Na bila ccm asingewepo kikwete kama rais leo hii.

Hence proved that source ya laana ndani ya taifa hili ni Nyerere.
 
Duh! Na wewe siku hizi umekuwa mshauri? Yani mimi na akili zangu nifuate ushauri wako? Haki ya nani kama kuna watu huwa wanakusikiliza unapowapa ushauri basi akili zao zitakuwa ni makamasi kama wewe ulivyo kamasi.
Sasa kwa akili yako ndiyo unafikiri Tanzania siku moja itaongozwa na Chadema na Padre Dr.Slaa labda raia wote wafe
.
 
Mkuu Pasco, sisi waislam kuoa wanawake wasiozidi wanne ni sunna. Aya zinatuamrisha tuwawekee zamu ya kufanya mambo ya 'kijamii'. Sasa kitendo cha kumwacha bi Salma ni kuwa huko US anaenda kustawisha mambo ya kijamii.
Si unajua tena ukiwa na jamii si ni lazima ujamiiane?

Asante
Mbowe yeye hana tatizo akitaka kusafiri anakamata mbunge wa viti maalum tu anakwenda kumjaza mimba.
 
Last edited by a moderator:
wagonjwa wanakufa kwakukosa dawa MSD hawajalipwa afu mkubwa nduki...kweli hii ndo TZ!!
 
Nyerere mwenyewe ana laana na sasa yuko jehannam.

Ana jeuri ya kumlaani nani yule mchonga meno?

Laaana hiii unayoiona ndani ya taifa hili chanzo ni nyerere.

Simple logic ni kwamba.

Bila laana ya nyerere isingewepo ccm.

Na bila ccm asingewepo kikwete kama rais leo hii.

Hence proved that source ya laana ndani ya taifa hili ni Nyerere.

Nyerere yupo jehanam?
 
Back
Top Bottom