upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,521
Prof.JK ofisi yake ipo angani hivyo kila anapotua ardhini anakula Per diem iwe Tanzania,USA,Asia nk.
Naomba kirefu cha VDG kwa manufaa ya wengine
MUNGU ni mwenye huruma na upendo,humlindia mabaya alie mwema na asie mwema,unadhani rais anaiwakilisha familia yake huko aendako? kwa vyovyote anawakilisha wananchi kama si wewe ni mimi au mtanzania yoyote.
vipi na wewe ulishajazwa mimba kwani? kama ndio je unamjua hata aliyekujaza hiyo mimba? maana kwa jinsi unavyogawa....... kotekote,,,,,,.Manufaaa ya kujazana mimba kwenye misafara
my dia unatisha kila jukwaa nikienda nakukuta, zikitolea tozo lazima uchukue hapa jf, mchangiaji chipukizi wa mwaka..... unatishaaaDawa yake ni kukuta gaidi lishaingia ikulu na kujipa uraisi akirud anaipata fresh
Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Wachina ni wadharirisaji sana, walipobaini kuwa raisi wetu ni mpenda misifa wakaamua wampakazie uprofesa ili kubadiishana na pembe za Ndovu kutoka Tz.
Mkuu Pasco, sisi waislam kuoa wanawake wasiozidi wanne ni sunna. Aya zinatuamrisha tuwawekee zamu ya kufanya mambo ya 'kijamii'. Sasa kitendo cha kumwacha bi Salma ni kuwa huko US anaenda kustawisha mambo ya kijamii.Umeniacha gizani!, bado sijaelewa elewa hapa unamaanisha nini?!
Pasco
Duh! Na wewe siku hizi umekuwa mshauri? Yani mimi na akili zangu nifuate ushauri wako? Haki ya nani kama kuna watu huwa wanakusikiliza unapowapa ushauri basi akili zao zitakuwa ni makamasi kama wewe ulivyo kamasi.Nakushauri ungejikita kwenye fani yako ya udaku kipaji chako ndiyo kipo huko siasa hauwezi, mtafute Shigongo.