bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
hii nchi kwa sinema tu alafu haziishi,
ya uwekezaji vitalu vya gesi haijaisha ,
ya katiba haijaisha ,
ukaguzi wa ruzuku za vyama vya siasa haijaisha,
kutengwa EAC haijaisha,
divsion 5 haijaisha ,operesheni kimbunga,tokomeza hazijaisha
sasa imekuja ya kapuya ngoja tusubiri.