Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

hahaha kapuya anazidi kujikaanga hahahaha.
heti simu ni yangu niliigawa toka muda mrefu.

kapuya uligawa simu au line?

leo ni siku ya kwanza una siku 6 kutangulia mahakamani wewe mbakaji.
 
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu...

1. Hivi huyu binti wakati anabakwa alikuwa na umri gani?

2. Na huo ukimwi tangu ajue anao ni muda gani sasa umepita?

1. Umeambiwa kwa sasa ana Miaka 16 kwa hiyo ni 16-2 = 14 kwani ilikuwa 2011

2. Kuhusu swali lako la pili ni vizuri ukasoma hiki kipengere kilichoelezwa na wakili wa FATAKI Papaa Kapuya na hapa chini (Blue) na utagundua huyu wakili na Mteja wake wote ni MAJANGA.

''Aliongeza kuwa wanataka mtoto huyo aje mahakamani athibitishe aliambukizwaje ukimwi na alete ushahidi unaoonyesha Kapuya ana ukimwi.''
 
Tz only the land whose great men are womanisers.

serving to promote their interests!!!!!
 
TAMKO LANGU KWA UMMA JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA DHIDI YANGU.
Kwenye hilo ninawaambia ''janja yao nimeigundua, na hawatafanikiwa''
Ninatoa Rai kwa yeyote mwenye kuona hilo jambo lina ukweli alipeleke kwenye vyombo husika ili lishuhulikiwe kwa mujibu wa sheria na sio kutumia vyombo vya habari kuchafuana.
Mwisho ninasisitiza kuwa nitaendelea kuilinda na kuitetea heshima yangu niliyojijengea kwa jamii kwa muda mrefu sasa na sitaruhusukuiona ikiharibiwa na wajanja wachache kwa maslahi yao binafsi.
Tuendelee kuijenga nchi yetu,
Mungu Ibariki Tanzania

Imetolewa leo tarehe 15.11.2013 nami
Prof. Juma A.Kapuya
Mbunge – urambo magharibi
S.L.P 45 Kaliua Tabora
Simu 0784993930

Akizungumza kupitia kwa wakili wake, Yasin Memba, mbunge huyo alitishia kuliburuza gazeti hili mahakamani endapo halitamwomba msamaha ndani ya siku saba.

Pamoja na kukataa kwake kumfahamu binti huyo, Kapuya amekiri kumiliki simu namba 0784993930 ambayo imekuwa ikitumiwa kuwasiliana naye ikiwemo kumtumia ujumbe mfupi wa maneno (sms) wa vitisho.

Hata hivyo, katika namna ya kushangaza, Kapuya alidai kwamba simu hiyo aliishaigawa miezi sita iliyopita, na hivyo hausiki kwa namna moja ama nyingine na tuhuma alizopewa.

Kweli njia ya MUONGO ni FUPI. Wakati wakili wa Prof. Kapuya, Yasini Memba anadai kwamba mobile No. 0784993930 ya Prof Kapuya alishaigawa simu na line yake MIEZI SITA iliyopita. Tamko la Prof Kapuya alilotoa kwa waandishi wa habari Jana 15/11/2013 linaosha kwamba Prof Kapuya bado anatumia namba hiyo.

Yaani kesi hii hata akipewa mwanafunzi anayesoma sheria mwaka wa kwanza hawezi hata kutumia zaidi ya saa nzima kabla hajamfunga Prof Kapuya miaka 30 Jela na mijeredi 20!
 
Tamko la Kapuya linachekesha.

Kila baada ya mistari miwili "Heshima yangu niliyojijengea kwa muda mrefu"

Bila shaka heshima anayozungumzia ni hii hapa:

attachment.php
 
Kama kuishitaki JF alete mashitaka hapa hapa jamvini na atapata hukumu stahiki.

Ukumbi huu unatoa natural justice, ukweli huwekwa bila kificho na waongo huumbuliwa hapahapa. Kwa taarifa yake hapa hakuna rushwa wala umaarufu wa mtu, Na mengine ambayo watu wa TzDaima hawakuandika yataanikwa, ni 'KUMPIGA NYANI GILADI'.
 
Nami naongeza swali kutokana na jibu lako:
Hivi ataamini vp kama anamaambukizi bila kwenda kupima? Hivi tutaamini tu kauli ya huyo mhudumu aliyemwambia kuwa jamaa anamaambukizi,labda huyo mama anaugomvi binafsi na Kapuya!

Ishaelezwa humu kwamba binti alienda kupima na yupo shuhuda aliyesema binti yupo kwenye dozi za ARV.Issue ni je aliambukizwa na Kapuya?
 
1. Umeambiwa kwa sasa ana Miaka 16 kwa hiyo ni 16-2 = 14 kwani ilikuwa 2011

2. Kuhusu swali lako la pili ni vizuri ukasoma hiki kipengere kilichoelezwa na wakili wa FATAKI Papaa Kapuya na hapa chini (Blue) na utagundua huyu wakili na Mteja wake wote ni MAJANGA.

''Aliongeza kuwa wanataka mtoto huyo aje mahakamani athibitishe aliambukizwaje ukimwi na alete ushahidi unaoonyesha Kapuya ana ukimwi.''

Ni wazi kapuya ana ukimwi kwa hiyo kauli.
 
huyu kapuya anazidi kujichanganya kabisa.
 
Huyu kweli ameathirika ingawa si viziri kumnyanyapaa. Kwenye story hii anakana kumuambukiza ukimwi au kumbaka?
 
Akizungumza kupitia kwa wakili wake, Yasin Memba, mbunge huyo alitishia kuliburuza gazeti hili mahakamani endapo halitamwomba msamaha ndani ya siku saba.

Pamoja na kukataa kwake kumfahamu binti huyo, Kapuya amekiri kumiliki simu namba 0784993930 ambayo imekuwa ikitumiwa kuwasiliana naye ikiwemo kumtumia ujumbe mfupi wa maneno (sms) wa vitisho.

Hata hivyo, katika namna ya kushangaza, Kapuya alidai kwamba simu hiyo aliishaigawa miezi sita iliyopita, na hivyo hausiki kwa namna moja ama nyingine na tuhuma alizopewa.

Kweli njia ya MUONGO ni FUPI. Wakati wakili wa Prof. Kapuya, Yasini Memba anadai kwamba mobile No. 0784993930 ya Prof Kapuya alishaigawa simu na line yake MIEZI SITA iliyopita. Tamko la Prof Kapuya alilotoa kwa waandishi wa habari Jana 15/11/2013 linaosha kwamba Prof Kapuya bado anatumia namba hiyo.

Yaani kesi hii hata akipewa mwanafunzi anayesoma sheria mwaka wa kwanza hawezi hata kutumia zaidi ya saa nzima kabla hajamfunga Prof Kapuya miaka 30 Jela na mijeredi 20!

kabaaangii!
Inamaana wakil na mteja wake wanajenga mnara wa babel?
Kwa kapuya huyu na wakil wake hiyo kes kama ikiwa na hakimu makin baada ya nusu saa tu kapuya 30yrs in jail.
Kapuya nenda mahakaman il tumalize mambo mapema
 
Akizungumza kupitia kwa wakili wake, Yasin Memba, mbunge huyo alitishia kuliburuza gazeti hili mahakamani endapo halitamwomba msamaha ndani ya siku saba.

Pamoja na kukataa kwake kumfahamu binti huyo, Kapuya amekiri kumiliki simu namba 0784993930 ambayo imekuwa ikitumiwa kuwasiliana naye ikiwemo kumtumia ujumbe mfupi wa maneno (sms) wa vitisho.

Hata hivyo, katika namna ya kushangaza, Kapuya alidai kwamba simu hiyo aliishaigawa miezi sita iliyopita, na hivyo hausiki kwa namna moja ama nyingine na tuhuma alizopewa.

Kweli njia ya MUONGO ni FUPI. Wakati wakili wa Prof. Kapuya, Yasini Memba anadai kwamba mobile No. 0784993930 ya Prof Kapuya alishaigawa simu na line yake MIEZI SITA iliyopita. Tamko la Prof Kapuya alilotoa kwa waandishi wa habari Jana 15/11/2013 linaosha kwamba Prof Kapuya bado anatumia namba hiyo.

Yaani kesi hii hata akipewa mwanafunzi anayesoma sheria mwaka wa kwanza hawezi hata kutumia zaidi ya saa nzima kabla hajamfunga Prof Kapuya miaka 30 Jela na mijeredi 20!
Mkuu usishangae akakana kutoa hilo tamko. Atasema kuna mtambo wa kutengeneza matamko una milikiwa na gazeti la Chama cha upinzani. Au atasema aliyetoa tamko lenye namba yake ni yule aliyemgawia namba sio yeye tena. Hii yote ni kwa sababu nikiazima maneno ya yule binti "naona kama vile hakuna serikali katika nchi hii"
 
huyo inabidi akubaliane na matokeo tu,maana kujua maambukizi yalifanyika lini hilo sio swali kimsingi;na vitisho sio siraha ya kuwanyanyasa watu.
 
Hv hii dunia ya leo ya utandawazi utakuja na sababu nyepesi namna hiyo ueleweke? Mi naona hata mwanasheria wake kashindwa kumshauri vizuri.
 
Hv hii dunia ya leo ya utandawazi utakuja na sababu nyepesi namna hiyo ktk tuhuma nzito harafu utegemee jamii ielewe? Mi naona hata mwanasheria wake kashindwa kumshauri vizuri.
 
Back
Top Bottom