Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

TANZANIA DAIMA WATAMKUMBUKA ABSOLUM KIBANDA KWA UHARIRI,HUYU MGOMBEA UBUNGE WA MULEBA,NAONA ANALIPELEKA GAZETI ICU,POLISI YEYE,MAHAKAMA YEYE,HOSPITALI YEYE,HII SII TANZANIA DAIMA TULIYOIFAHAMU,NA NDO TATIZO LA KUWA NA MUCH KNOWS!!!-Ngulumo AKIWA MHARIRI mkuu wa GAZETI amelifanyia MAPINDUZI GAZETI NA kulifanya la UDAKU .

MBILI,GAZETI LIMEMSHUPALIA PROFESA KAPUYA,KUIONDOA JAMII KATIKA MJADALA UNAONDELEA NDANI YA VIONGOZI WA CHADEMA,NA PIA KUIFIFISHA HOJA YA KIPUUZI DHIDI YA KUFILWA KWA MBUNGE GODBLESS LEMA,NA AKILI ZAKE ZA UKICHAA,WA KUSAMBAZA PICHA ZA USHENZI HUU,YAANI LEMA NGUO ZAKE ZIKICHUKULIWA NA KICHAA NA YEYE ATAMKIMBIZA UCHI YULE KICHAA.SHAME ON HIM.

Pole ndugu Kapuya ndo habari ya mujini kwasasa kambaka mtoto mdogo na kamwambukiza ukimwi.......nakupa pole pia inaonekana na wewe alikukamua tigo ndo maana unatokwa mapovu hapa. Wahi mashudu ndugu na ongeza juhudi ya mazoezi, kula vizuri na epuka kuendelea kumpa tigo hilo janamume lisilo na aibu
 
Nilianza kufuatilia huu uzi vizuri ili kuona jinsi gani Profesa amejibu mapigo ili nami nione kama kuna prima facie case in favour of him lakini nilipofika hapo kwenye "mtambo wa message" aargh,kichwa kimechafuka kabisa!eti hawa ndio mapro wetu,maskini nchi hii!
 
Prof Kapuya amesema kuwa Mtambo unaosambaza msg unamilikiwa na Chama fulani cha siasa je mtambo unaosambaza Ukimwi unamilikiwa na nani??????
Tamko la Kapuya linachekesha.

attachment.php

Angalia kwenye highlight in red: Hichio chombo cha kutengeneza massage kinamilikiwa na chama kimoja cha upinzani (bila shaka CDM) na chama chake pia.
Lakini ukweli ni kwamba chombo hicho kililalamikiwa na CDM kwamba CCM ndiyo walikileta nchini na si CDM. Kama itakumbukwa, miezi kadha iliyopita kulitokea kutumiani meseji za kashfa kwa wabunge wa CDM ambao walilamika kuwa CCM ndiyo waliingiza kifaa hicho.
_____________________

TAMKO LANGU KWA UMMA JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA DHIDI YANGU.
Ndugu wanahabari,
Baada ya kumshukuru na kumtukuza mwenyezi Mungu mwingi wa rehema. Natanguliza salamu zangu za pole kwa familia ya marehemu mwanazuoni na mwanaharakati mwenzangu Dkt Sengondo Mvungi aliyetangulia mbele ya Haki siku chache zilizopita huko Afrika ya kusini.
Ndugu zangu wanahabari,
Wengi mnanifahamu na kuifahamu vema historia yangu katika utendaji kazi na utumishi wa umma wa Watanzania. Nimekuwa nikiitumikia nchi yangu kwa kipindi kirefu katika Nyanja na sekta mbali mbali kuanzia Darasani mpaka kwenye siasa.
Kwa msingi huo, mimi Profesa Juma Kapuya, siku zote ninajikuta mwenye wajibu endelevu wa kuendelea kulitumikia Taifa langu kila siku mpaka kufikia mwisho wa Nguvu zangu.
Ndugu wanahabari,
Hivi karibuni nikiwa huku jimboni kuendelea na shuhuli za utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi kumezuka Tuhuma kadhaa zilizoelekezwa dhidi yamgu zikiasisiwa na wanasiasa wenzangu wa ndani na nje ya chama changu ili kudhoofisha juhudi na utendaji wangu wa kila siku.
Tuhuma hizo zisizokuwa na kichwa wala miguu na pia kutokuwa na ukweli wowote, wamekuwa wakizitoa kwa kumtumia msichana anayedai amefanyiwa vitendo visivyofaa na mimi. Mimi simfahamu na sijui hizi shutuma zinatokea wapi.
Ndugu wanahabari,

Kwa tamko hili ninapenda kuwaambia kuwa nimefedheheshwa sana na uwezo mdogo wa kisiasa unaofanywa na hawa watu kwa kuwa dhamira yao haitatimia. Napenda niwakumbushe ndugu zangu kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na wapinzani wangu wameanza kunichafua ili nionekane sifai.
Ninapenda kuwaambia watanzania na wananchi wa jimbo langu kuwa wanatakiwa wazipuuze taarifa hizi kwa kuwa hazina ukweli wowote na kwamba ni za kutungwa zenye lengo la kunidharirisha na kuniondolea heshima yangu niliyojijengea kwenye jamii kwa kipindi kirefu sasa. Waswahili wanasema dawa ya mjinga ni kumpuuza
Na hili linajidhihirisha zaidi kwa habari hii kuandikwa na chombo kimoja tu cha habari kinachotumiwa na chama kimoja cha siasa na baadhi ya wanasiasa wa chama changu wasiokitakia heri chama chetu, naomba kuwashukuru na kuwapongeza vyombo vingine vya habari kwa umakini wenu wa kuwa na nauelewa wa kutoandika kitu bila kukifanyia uchunguzi na kubaini ukweli ulivyo.

Chombo hiki cha habari kiliwahi kuripoti mwaka jana kuwa kuna mitambo imeingizwa nchini inayoweza kuandika ujumbe na kisha kuufanya uonekane umetoka kwenye namba Fulani, kwa kipindi kile sikuwaelewa, lakini sasa ninawaelewa na nimewaona kuwa wako sahihi na wao ndio waliouingiza mtambo huu na sasa wameamua kuutumia dhidi yangu kwa kutengeneza meseji na kuzihusianisha na mimi. Ninaamini ukweli utawaumbua muda si mrefu.
Ndugu wanahabari,
Nimeijenga heshima yangu na familia yangu kwa jamii yangu kwa kipindi kirefu mno, kwa hivyo siwezi kuruhusu heshima niliyoijenga kwa miongo kadhaa karibiwa na kupotezwa na watu wachache tena kwa muda mfupi namna hii.
Hivyop basi nimechukua hatua za kisheria kuhakikisha heshima yangu inaendelea kulindwa na utu wangu unaheshimiwa.
Nimemwagiza mwanasheria wangu afungue kesi na tayari amewashitaki watu wote wanaohusika kwenye mpango huu na tayari wameshapokea taarifa ya kuitwa mahakamani.
Nitaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wote watakaoendelea kutaka kujipatia umaarufu ama wa kisiasa au wowote ule kwa kutumia jina langu.
Hayo yote ni kwa kuzingatia ukweli kwamba nchi yetu inaendeshwa kwa misingi ya kisheria na kufuata na kuheshimu haki na wajibu wakila mmoja wetu.
Kwenye hilo ninawaambia ''janja yao nimeigundua, na hawatafanikiwa''
Ninatoa Rai kwa yeyote mwenye kuona hilo jambo lina ukweli alipeleke kwenye vyombo husika ili lishuhulikiwe kwa mujibu wa sheria na sio kutumia vyombo vya habari kuchafuana.
Mwisho ninasisitiza kuwa nitaendelea kuilinda na kuitetea heshima yangu niliyojijengea kwa jamii kwa muda mrefu sasa na sitaruhusukuiona ikiharibiwa na wajanja wachache kwa maslahi yao binafsi.
Tuendelee kuijenga nchi yetu,
Mungu Ibariki Tanzania

Imetolewa leo tarehe 15.11.2013 nami
Prof. Juma A.Kapuya
Mbunge – urambo magharibi
S.L.P 45 Kaliua Tabora
Simu 0784993930
 
Kapuya wewe pambana Tanzania Daima, JF walichofanya ni kunukuu tu hilo gazeti.

yaah hicho ndicho anatakiwa kufanya na cha kushangaza zaidi namba anasema hatumii alishampa mtu alaf hiyo namba hipo kwenye waraka wake na hata kwenye kumbukumbu za bunge.
 
Nilijua tu hizi ni siasa za kuchafuana.[/QUOTE

The man is guilty hakuna siasa hapo anaingiza siasa kama defensive mechanism.
Utetezi wake ni dhaifu sana na hauna mashiko vitu kama mitambo na kugawa simu huku ikiwa na line
ni ukichaa ambao ni mjinga ndio anaweza kuamini.

kudai kuwa mtoto huyo humjui hiyo ndio mbaya zaidi unawezaje kumtumia fedha mtu usiyemjua.
kamera za biashara building na message za kutoka kwy simu yake zimemaliza swali la kudai kutomtambua mtoto
hili suala lilikuwa mis handled na yeye mwenyewe na lilipofikia ni ngumu kulizuia au kuja na utetezi wa kijinga km huu.

suala limeshapelekwa polisi, taasisi mbali mbali za kijamii na hata bungeni hao wote kwa namna moja au nyingine inabidi
wakanushe ili kumlinda kitu ambacho hakiwezekani na nawakikishia mahakamani haendi kwani simu yake na maandishi aliyoyatoa kwy jinsia yatammaliza. haya maneno haliyoyatoa kwy utetezi atayakimbia baadaye

Je unao ushahidi na wewe wa kumhusisha na hizi tuhuma?
 
ila kapuya sio mzee na wala sio mzinzi....silly wewe ni mkewe nini

Ushakuwa unawashwa 0713, inaonekana unahamu ya kutiwa mtarimbo sasa, ndio maana unatoa matusi kama m se nge.
 
silence is the best answer.
kuishtaki jamii forum ni upuuzi mwingine
Hii n content generated site,mtoa mda alikopy kutoka gazeti la Tanzania daima akaiweka humu watu wakajadili
atamshtaki nani hapa? huyo wakili wake nae kilaza mwingine akasome ICT law hata certificate amshauri vema mteja wake.
Kuhusu aliebakwa kuthibitisha kama prof ana ukimwi,its easy mahakama itaamuru wakapimwe wote kwa pamoja ili kuondoa doubt..sio lazima binti yeye athibitishe ni mahakama itaamuru wote wakapimwe.
Utetezi wake ni wa kitoto, kama number imesajiliwa kwa jina lake bado atakuwa responsible kwa ujumbe alizokuwa anatuma.
kama aliigawa simu alitakiwa kufuta usajili,,,,
Hivi unaweza kugawa simu na number kabisa? ahh wapi asituone mazuzu.
Professor mzima unabishana na mtoto wapi na wapi bwana
UDSM tafadhali mnyanganyeni huyu bwana professor anawaibisha.
 
Tatizo lao huwa wanatishia na kuishia mitini. Asijekuwa kama Zitto, kuitwa kutoa maelezo polisi ikawa ndiyo amewaburuza mahakamani.

Ah.huyo zitto, inabidi atumie jesus approach kwa kuuliza, 'watu watu wanasema mimi ni nani?' au je watu wanasemaje juu yangu, ila nahisi haitamsaidia at all maana wakimpa mrejesho ataanza kubisha, kama ilivyo kawaida yake.
Back to Kapuya, wakili wake lazima atakuwa ni mganga wa kienyeji, hawezi kuwa learned lawyer. Wakiri wa kuchukua malalamiko ya mteja na kukimbilia kuandika matamko au kwenda mahakamani bila jhata ya kumtikisa mtajo wako ili upate ukweli nje ya maelezo, si lawyer huyo.
 
mbona namba ya simu aliyoikana ndo ile ile aliyoweka kwenye taarifa yake au ndo kuzeeka nn naomba mnisaidie hapo
 
silence is the best answer.
kuishtaki jamii forum ni upuuzi mwingine
Hii n content generated site,mtoa mda alikopy kutoka gazeti la Tanzania daima akaiweka humu watu wakajadili
atamshtaki nani hapa? huyo wakili wake nae kilaza mwingine akasome ICT law hata certificate amshauri vema mteja wake.
Kuhusu aliebakwa kuthibitisha kama prof ana ukimwi,its easy mahakama itaamuru wakapimwe wote kwa pamoja ili kuondoa doubt..sio lazima binti yeye athibitishe ni mahakama itaamuru wote wakapimwe.
Utetezi wake ni wa kitoto, kama number imesajiliwa kwa jina lake bado atakuwa responsible kwa ujumbe alizokuwa anatuma.
kama aliigawa simu alitakiwa kufuta usajili,,,,Hivi unaweza kugawa simu na number kabisa? ahh wapi asituone mazuzu.
Proffesor mzima unaboshana na mtoto wapi na wapi bwana
UDSM tafadhali mnyanganyeni huyu bwana professor anawaibisha.

Lokissa umegundua hiyo namba anayosema alisha igawa lakini hipo hapo kwenye waraka wake alio utoa kwa vyombo vya habari? umegundua kapuya kachanganyikiwa?
 
Last edited by a moderator:
huyu profesa nae ukigawa cm hadi na line unagawa?hebu ajipange ndo arudi tena

hivi katika hiyo taarifa yake Kuna mahala kokote alipoandika juu ya kumpa au kugawa simu yake?? Au ndo kama kawaida yenu you chose to believe what U like to see, badala ya kuchagua kuamiini kilicho kweli na kikathibitishwa???
 
yaah hicho ndicho anatakiwa kufanya na cha kushangaza zaidi namba anasema hatumii alishampa mtu alaf hiyo namba hipo kwenye waraka wake na hata kwenye kumbukumbu za bunge.

Mnamshangaaa kujiweka wazi kiasi hicho! halitaslia jiwe juu ya jiwe. Mpaka 2015 chekecheo litakuwa limewapitia wote. We need fresh mind and innocent leaders 2015. Kwa utetezi wake anaona amechafuliwa kwa sababu za kisiasa. Sasa ndo tumejifunza magamba yanavyofanya unyangau kisha kutafuta huruma za kisiasa. Yaleyale ya EL. Hatudanganyiki.

Kova anasemaje sasa baada ya utetezi wa kapuya?

Wanaharakati mnasubili nini?

My Tanzania!
 
come clean prof.
una ngoma au huna? japo ni swala binafsi lakini unapojinasibu kuwa umejijengea heshima kwetu tena kwa muda mrefu, basi kwa nasaba hiyo hiyo iambie jamii hii unayodai inakuheshimu mustakabali wa afya yako na maambukizi ya vvu.

ninavyofahamu mimi jitihada zote ukizifanya ilikuwa kwa maslahi binafsi.

Nimeitoa leo tarehe 16.11.2013
Jogi wa Jf
S.L.P jf
mtandaoni
 
Prof Kapuya amesema kuwa Mtambo unaosambaza msg unamilikiwa na Chama fulani cha siasa je mtambo unaosambaza Ukimwi unamilikiwa na nani??????
Tamko la Kapuya linachekesha.

attachment.php

Angalia kwenye highlight in red: Hichio chombo cha kutengeneza massage kinamilikiwa na chama kimoja cha upinzani (bila shaka CDM) na chama chake pia.
Lakini ukweli ni kwamba chombo hicho kililalamikiwa na CDM kwamba CCM ndiyo walikileta nchini na si CDM. Kama itakumbukwa, miezi kadha iliyopita kulitokea kutumiani meseji za kashfa kwa wabunge wa CDM ambao walilamika kuwa CCM ndiyo waliingiza kifaa hicho.
_____________________

TAMKO LANGU KWA UMMA JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA DHIDI YANGU.
Ndugu wanahabari,
Baada ya kumshukuru na kumtukuza mwenyezi Mungu mwingi wa rehema. Natanguliza salamu zangu za pole kwa familia ya marehemu mwanazuoni na mwanaharakati mwenzangu Dkt Sengondo Mvungi aliyetangulia mbele ya Haki siku chache zilizopita huko Afrika ya kusini.
Ndugu zangu wanahabari,
Wengi mnanifahamu na kuifahamu vema historia yangu katika utendaji kazi na utumishi wa umma wa Watanzania. Nimekuwa nikiitumikia nchi yangu kwa kipindi kirefu katika Nyanja na sekta mbali mbali kuanzia Darasani mpaka kwenye siasa.
Kwa msingi huo, mimi Profesa Juma Kapuya, siku zote ninajikuta mwenye wajibu endelevu wa kuendelea kulitumikia Taifa langu kila siku mpaka kufikia mwisho wa Nguvu zangu.
Ndugu wanahabari,
Hivi karibuni nikiwa huku jimboni kuendelea na shuhuli za utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi kumezuka Tuhuma kadhaa zilizoelekezwa dhidi yamgu zikiasisiwa na wanasiasa wenzangu wa ndani na nje ya chama changu ili kudhoofisha juhudi na utendaji wangu wa kila siku.
Tuhuma hizo zisizokuwa na kichwa wala miguu na pia kutokuwa na ukweli wowote, wamekuwa wakizitoa kwa kumtumia msichana anayedai amefanyiwa vitendo visivyofaa na mimi. Mimi simfahamu na sijui hizi shutuma zinatokea wapi.
Ndugu wanahabari,

Kwa tamko hili ninapenda kuwaambia kuwa nimefedheheshwa sana na uwezo mdogo wa kisiasa unaofanywa na hawa watu kwa kuwa dhamira yao haitatimia. Napenda niwakumbushe ndugu zangu kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na wapinzani wangu wameanza kunichafua ili nionekane sifai.
Ninapenda kuwaambia watanzania na wananchi wa jimbo langu kuwa wanatakiwa wazipuuze taarifa hizi kwa kuwa hazina ukweli wowote na kwamba ni za kutungwa zenye lengo la kunidharirisha na kuniondolea heshima yangu niliyojijengea kwenye jamii kwa kipindi kirefu sasa. Waswahili wanasema dawa ya mjinga ni kumpuuza
Na hili linajidhihirisha zaidi kwa habari hii kuandikwa na chombo kimoja tu cha habari kinachotumiwa na chama kimoja cha siasa na baadhi ya wanasiasa wa chama changu wasiokitakia heri chama chetu, naomba kuwashukuru na kuwapongeza vyombo vingine vya habari kwa umakini wenu wa kuwa na nauelewa wa kutoandika kitu bila kukifanyia uchunguzi na kubaini ukweli ulivyo.

Chombo hiki cha habari kiliwahi kuripoti mwaka jana kuwa kuna mitambo imeingizwa nchini inayoweza kuandika ujumbe na kisha kuufanya uonekane umetoka kwenye namba Fulani, kwa kipindi kile sikuwaelewa, lakini sasa ninawaelewa na nimewaona kuwa wako sahihi na wao ndio waliouingiza mtambo huu na sasa wameamua kuutumia dhidi yangu kwa kutengeneza meseji na kuzihusianisha na mimi. Ninaamini ukweli utawaumbua muda si mrefu.
Ndugu wanahabari,
Nimeijenga heshima yangu na familia yangu kwa jamii yangu kwa kipindi kirefu mno, kwa hivyo siwezi kuruhusu heshima niliyoijenga kwa miongo kadhaa karibiwa na kupotezwa na watu wachache tena kwa muda mfupi namna hii.
Hivyop basi nimechukua hatua za kisheria kuhakikisha heshima yangu inaendelea kulindwa na utu wangu unaheshimiwa.
Nimemwagiza mwanasheria wangu afungue kesi na tayari amewashitaki watu wote wanaohusika kwenye mpango huu na tayari wameshapokea taarifa ya kuitwa mahakamani.
Nitaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wote watakaoendelea kutaka kujipatia umaarufu ama wa kisiasa au wowote ule kwa kutumia jina langu.
Hayo yote ni kwa kuzingatia ukweli kwamba nchi yetu inaendeshwa kwa misingi ya kisheria na kufuata na kuheshimu haki na wajibu wakila mmoja wetu.
Kwenye hilo ninawaambia ‘’janja yao nimeigundua, na hawatafanikiwa’’
Ninatoa Rai kwa yeyote mwenye kuona hilo jambo lina ukweli alipeleke kwenye vyombo husika ili lishuhulikiwe kwa mujibu wa sheria na sio kutumia vyombo vya habari kuchafuana.
Mwisho ninasisitiza kuwa nitaendelea kuilinda na kuitetea heshima yangu niliyojijengea kwa jamii kwa muda mrefu sasa na sitaruhusukuiona ikiharibiwa na wajanja wachache kwa maslahi yao binafsi.
Tuendelee kuijenga nchi yetu,
Mungu Ibariki Tanzania

Imetolewa leo tarehe 15.11.2013 nami
Prof. Juma A.Kapuya
Mbunge – urambo magharibi
S.L.P 45 Kaliua Tabora
Simu 0784993930

Mie Bado sijapata "SAMASI" au Sijui niende Mwenyewe kituoni unikutage huko..!? Kuna vitu unaweza weka siasa Mzee sio hiki..! Asa hiki utawekaje siasa?!? Mie nyashangaa Uwezo wa profesa Wa kifikiri..!
 
siwezi kusema kachanganyikiwa labda akishapimwa na madaktari wathibitishe his insanity.
lakini kwa utetezi wake wa simu bado sijamuelewa...
kama number aliigawa na bado watu wa media waliitumia na wakampata na hajaiweka katika tamko lake hilo nalo shaka jingine against his credibility.
kusema ni chombo maalumu kinaingilia number za watu kama walivofanyiwa chadema bado haina mashiko,
kama anadhani ni hivo mbona waliwapuuza chadema walipokuwa wakilalamika kuingiliwa mawasiliano??Mobile companies can prove this,they have his electronic communications made and destination.
The best thing afungue kesi,kule ndio haki itapatikana.
Tukiangalia previous record yake pia inaweza kutumika against him.
nashangaa CCM wanamlinda,anakiharibu chama na sifa nzuri ya chama, anapaswa kustaafu mapema kuonyesha uwajibikaji.

Back
Top Bottom