Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Baada ya maufundi ya Babu...
![]()
Binti hoi "Babu mie nimechoka tukalale...."
![]()
Naona binti alikolea!
Baada ya maufundi ya Babu...
![]()
Binti hoi "Babu mie nimechoka tukalale...."
![]()
Mzee anapima oil, akasoma meterguage ikawa tarakimu zinasoma gari limetembea km chache.....!Baada ya maufundi ya Babu...
![]()
Binti hoi "Babu mie nimechoka tukalale...."
![]()
Waswahili wanakuambia mtu mzima taulo likikuvuka dawa ni kuchutama tu.
Source:Wakuchutama
You are not only Great Thinker but also Great ReaderMkuu @not_ yet _uhuru umegundua hiyo namba ambayo anasema ameigawa bado ameitumia kwenye waraka wake kwa waandishi wa habari hapo mwisho chini na bado hiyo namba kwenye kumbukumbu za bunge hipo?
inaonekana yeye(mtoto)amepima,maana kuna tetesi kuwa alishaanza kutumia mashudu(arv's). Tatizo ninaloliona mimi,anaweza kuwa ameambukizwa na wahuni na wengine lkn akaamua kuangushia mzigo kwa kapuya. Hv ikithibitika kapuya hana ngoma itakuwaje?
Ivi ndo huyu au mwingine ??View attachment 121613
Ni kweli, mimi mwenyewe namuona anapuyanga ovyo tu, mara aseme simu alishaigawa kwa mtu mwingine miezi sita iliyopita, tena hapo hapo anadai kuwa wametumia mtambo maalumu kumtengenezea meseji ili ionekane zimetoka kwenye simu yake hiyo.Huyo Kapuya akapuyange ukapuya wake huko.
Ukistaajabu ya Mussa utakutana na ya Firauni.
Tamko la Kapuya linachekesha.
Kila baada ya mistari miwili "Heshima yangu niliyojijengea kwa muda mrefu"
Bila shaka heshima anayozungumzia ni hii hapa:
![]()
Alivyojikausha ni kana kwamba huo mkono hajachomeka sehemu nyeti.
Otea ilikuwa inapigwa ngoma gani apo
WANAJF,HEBU NISAIDIENI,INAWEZEKANA NAONA PEKE YANGU au. Ile namba ya 0784993930 anayoikana Kapuya kuwa haitumii tena since 6 months ago, mbona tena kwenye tamko lake na waandishi wa habari jana ndiyo kaiweka kama CONTACT YAKE mwishoni?(tazameni hapo juu) Huyu -------- kapuya anatuchezea akili Jamani. KWELI UKIAMUA KUWA MUONGO kumbuka na kuweka kumbukumbu.shiiit mzee wa kuunganisha vibinti kwenye gridi ya taifa ya Megawatt laki!