Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Akizungumza kupitia kwa wakili wake, Yasin Memba, mbunge huyo alitishia kuliburuza gazeti hili mahakamani endapo halitamwomba msamaha ndani ya siku saba.

Pamoja na kukataa kwake kumfahamu binti huyo, Kapuya amekiri kumiliki simu namba 0784993930 ambayo imekuwa ikitumiwa kuwasiliana naye ikiwemo kumtumia ujumbe mfupi wa maneno (sms) wa vitisho.

Hata hivyo, katika namna ya kushangaza, Kapuya alidai kwamba simu hiyo aliishaigawa miezi sita iliyopita, na hivyo hausiki kwa namna moja ama nyingine na tuhuma alizopewa.


Kweli njia ya MUONGO ni FUPI. Wakati wakili wa Prof. Kapuya, Yasini Memba anadai kwamba mobile No. 0784993930 ya Prof Kapuya alishaigawa simu na line yake MIEZI SITA iliyopita. Tamko la Prof Kapuya alilotoa kwa waandishi wa habari Jana 15/11/2013 linaosha kwamba Prof Kapuya bado anatumia namba hiyo.

Yaani kesi hii hata akipewa mwanafunzi anayesoma sheria mwaka wa kwanza hawezi hata kutumia zaidi ya saa nzima kabla hajamfunga Prof Kapuya miaka 30 Jela na mijeredi 20!
Mpunguzie mkuu!! Mijeledi 20 kwa mwathirika ni mingi mno mkuu!! Tafaadhali mkuu.
 
Kwa vile kashasema yeye ni mwenye nchi, nadhani anapanga kuwahonga majaji wote! Ni vizuri aende mahakamani, ukweli utajulikana huko! Amini msiamini Kapuya amembaka huyo binti, kwa nini wasitajwe wengine?
 
Eeh ni vichekesho vyenye huzuni kubwa pia ili nisomo kwa mabinti tujiadhari na baba wa tabia kama hizi tumuombe mungu kwa bidii pia wenye tamaa wajichunge huu ni unyama
 
Imetolewa leo tarehe 15.11.2013 nami
Prof. Juma A.Kapuya

Mbunge – urambo magharibi
S.L.P 45 Kaliua Tabora
Simu 0784993930 halafu namba anasema aligawa miezi sita iliyopita wakati address yake ikiionyesa
 
Sasa hii namba ya simu kwenye signature yake hapo juu si tayari ameikana na kusema aliisajili kwa majina yake na ameigawa miezi 6 iliyopita. Na namba hyo hyo alokua akiwatumia pesa..kweli madogo tindikali inawasubiri
 
Eeh ni vichekesho vyenye huzuni kubwa pia ili nisomo kwa mabinti tujiadhari na baba wa tabia kama hizi tumuombe mungu kwa bidii pia wenye tamaa wajichunge huu ni unyama

Tatizo njaa Mama. Watu wanaanzisha familia bila kuandaa future za watoto wao.
 
Kwako Profesa Kapuya niliyazingatia maelezo yako mwaka 1997 oktoba 22 ulipofika shuleni ketu katika mahafali ya kumaliza kidato cha nne mwaka huo, nilikuwa mmoja wa wahitimu ukanipatia leaving Certificate, baada ya kutoa nasaha zako mbali mbali kama waziri wa elimu wa wakati huo... niliyaamini yote uliytosema na kuyafanyaia kazi huenda mengine ndiyo yamenifikisha hapa leo, Jmabo moja ninaloweza kukueleza katika haya yanayokukabili ni kwamba tambua imani yako haitaki mtu kusema uongo, ufitini umeikana namba yako ya simu uliyowasiliana nami hivi karibuni baada ya kutoka katika ofisi za Chadema wilaya ya Kaliua thamani yako ya kwangu imeshuka kwa hilo tu inakuwaje namba uliyokuwa nayo wewe itumiwe na mtu mwingine kuelezea yale yanayokuhusu halafu wewe uikane huku ukiiambatanisha namba hiyo ho hiyo katika waraka wako hapa jamii forum? umewahusisha Chadema katika hili kwamba wameingiza mtambo uliotumika kutuma ujmbe unaoonyesha umetoka katika simu yako vipi na hata sauti yako katika mawasiliano uliyoyafanya juu ya kadhia hii pia imetolewa kooni mwako na huo mtambo unaousema?
 
Unajua ukweli unauma,waandishi wengi ni wahuni sana,hivi mpaka wanaandika habari hiyo just kwa habari ya kumsikiliza Huyu binti,hivi niwaulize wangapi mnarhibitisha kuwa kapuya ni muathirika wa ukimwi?hivi kapuya akipimwa ikathibitishwa hajaathirika mwandishi utakua na la kujibu,au mtaendekea kulazimisha siasa zenu za kihuni mnazochafua watu?kwa nini tunajenga taifa la watu wanaotunga kusingizia na kuchafua watu?kwa nini hayuhangaiki kuyakabili mabonde mazuri na misitu kulima na kuzalisha badala yake siasa za kihuni ndo kazi zetu za kutwa?tunashabikia utumbo vijana kwa wazee,tunawezajekushindana katika ulimwengu huu kwa kuwa na kundi kubwa la vijana wanaofikiria siasa chafu na kuzishabikia?

Kama kijana Makini nawashauri vijana wakitanzania tuibane setikali tuzalishe katika kilimo,ufugaji na usindikaji,tuyakabili masoko ya ndani na nje,tuijenge nchi,tuache kushabikia mambo ambayo yanadumaza akili na utashi wetu,Tanzania ni nchi pekee katika Ukanda wa Afrika ya mashariki ambapo kila kijana Amekua politician,

Vijana wengi hatuna makazi bora,tuishinikize serilali tuzalishe na kukopeshwa nyumba,tuna viongozi makini kama skins Mchechu wa NHC tuwstumie kuliko kujipendtkeza kutwa kwa wanasiasa tukidhani tunalikomboa taifa.

Hakuna mijadala ya maana,kutwa kushabikia umbea na uzandiki,Kuna mambo ya Elimu,Ajira,Kilimo na sayansi,lakini vijana wote humu ni upuuzi tuu,wachache watanielewa.
Wewe nawe ni kapuya tu!! Kilichowapelekea vijana hao wengi kuwa politicians ni sababu ya hapo kwenye BLUE,wamegundua kuwa politicians ni waongo,wanafiki,wazandiki na pengine wauaji,(hasa walioko madarakani), nao wamejifunza kutumia method ile ile ya IF YOU CANT FIGHT THEM,JOIN THEM, hapo chini kwenye purple wapinzani wameshahangaika napo sana,wamepiga kelele sana,lakini wakati wote mibunge ya ccm(kina kapuya)wamekuwa wakiikwamisha kwa kutumia wingi wao bungeni, Nb-naona mukiumbuliwa ndiyo munajifanya muna hekima kweli kweli!! Maajabu!! Leo ndiyo mumekumbuka umuhimu wa vijana wakati mumeshawaadhibu vya kutosha? Ukitaka kujua kama shimo ni la nyoka ama mchwa,mwaga petroli au mafuta ya taa ndani! Watajitokeza tu.
 
mbona namba ya simu aliyoikana ndo ile ile aliyoweka kwenye taarifa yake au ndo kuzeeka nn naomba mnisaidie hapo

Wahenga walisema "njia ya mwongo ni fupi!" Huyu les prof ni prof wa div 5 - sikuwa ninajua kama ana tabia za kifarauni lakini mara ya kwanza niliposikia ameteuliwa kuwa waziri nilibaki na kizunguzungu kwa jinsi nilivyokuwa namfahamu kuongea pumba! Kumbe nilikuwa sahihi, si pumba tu!
 
Kwanza Haija Kuwapo Shariya Nchi Hi Yenye Mabavu Ya Kuiihukumu Mitandao Ya Kijamii, Kwa Kosa Lolote Kisheria. Pia Tuna Miamba Ya Sheria Humu Akina Tundu Na Mabere, Ambao Kwao Hatuna Hofu Na Kesi Hi Ya Kitoto. Tena Nina Mashaka Na Mwanasheria Wa Kapuya Inaelekea Ndo Wale School Bus Tangu "a'' mpaka University Na Hata Kama Ni Kayumba Basi Anamezeshwa Maneno Na Bosi Wake Ambaye Kitaaluma Ni Mbakaji Na Si Mwanasheria.
 
Yaleyale anasemaga mbunge Msigwa kwamba maprofesa wa ccm wakichangia hawana tofauti na mtoto wa darasa la pili, sasa kapuya kajitetea nini hapo. Shame on him
 
mtu akiwa anazama ndani ya maji kutapatapa ni kawaida,haki iliyochelewa ni haki iliyonyimwa awahi mahakamani
 
Back
Top Bottom