FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Nimeziona bahati mbaya mimi ni mwanaharakati sina ushabiki wa chama wala dini, tumeshaitoa CCM na serikali katika hili suala maana HALIWAHUSU we vipi?
Zitupie basi humu au weka link, sisi hatujaziona tunazisikia tu.