Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Haya ndugu kapuya , kuna watu wanakusubiri mahakamani , baada ya kusikia taarifa yako wamepiga vigeregere !
 
Mh. Kwa kusema hiyo no. Uliigawa hapo kwa kweli inajidhihirisha ya kuwa ni kweli umehusika kwa asilimia zote..
ngojà nikufundishe...siku nyingine usiseme umegawa no.
Bali ukubali na ung'ake kuwa WADUKUZI wametumia no. Yako ili WAKUCHAFULIE ila HUJAWAHI kuandika hizo sms...hapo kwakweli ungewateka watanzania wengi kwani tungekuamini tu kwa vyovyote...
ila kitendo cha wewe kusema ulishaigawa no. Yako, huo ni upungufu wa AKILI....Na hauna wa kumdanganya kwa hili....hapo umetuthibitishia wewe ni BAKAJI
 
Kapuya nchi inaendeshwa kwa sheria ipi wakati umedai watoto Wenu wanauza unga na hakuna wa kuwachukulia hatua? Hivi inawezekana mbakaji ndo akawa mshitaki? Mimi nadhani Prof. Atafute mwanasheria wa kumtetea endapo atashitakiwa sio yeye adai kushtaki anazidi kujidhalilisha
 
utetezi wake huo utamsaidia sana wakili wa mlalamikaji,kama kweli kesi hiyo itakuwa kwenye mikono salama ya hakimu mpenda haki,basi hukumu itatolewa ndani ya dakika mbili tu,ili kumpa mheshimiwa kapuya muda wa kutosha kupumzika gerezani for the rest of her life,sasa yeye anatakiwa aburuzwe kotini kwa kosa la kubaka,hapo hapo anatishia kumburuza kotini Victim wake!! makubwa!! Mlalamikiwa anapogeuka mlalamikaji!! Siku hiyo bila woga ntaingia mahakamani na chibuku yangu ya mbege,na kamkulima kangu huku nikifungulia yondo sister kwa sauti ya juu kabisa,kwa sababu ile hadhi ya mahakama itakuwa imehamia Mwafrika Bar.

Wanaharakati waipokee kesi..ni size yao, wahakikishe kuwa Kapuyea ananyea debe kama Babu Seeeya..au anakula kitanzi kabisa kwa kuangamiza maisha ya mtoto huyo na wengineo endapo itathibitika kweli kuwa mtoto anao Ukimwi.. !
Kwani awali si inajulikana kuwa Polisi Oysterbay walishaandika Jalada na kusuluisha, mzee Kapu akakubali kulipa 300K kila mwezi kukabili ada na matumizi ya binti huyo?? Au hata na Policcm wamechoma file? ...HAKI KWA TANZANI HII YA CCM itatokea nje, Mtaani na sio ndani ya uongozi wa serikani na taasisi za serikali ya CCM...!

My take is: Wanaharakati wainunue Kesi hii, ni muhimu sana kwa mwelekeo wa haki ya raia maskini nchini. Nawasilisha!
 
attachment.php

asante kwa picha kali ya mwaka kamanda !
 
Kapuya anajaribu kukimbia kivuli chake, nimeamini hakuna watu waongo kama wanasiasa, shame on you kapuya!
 

"Nimeijenga heshima yangu na familia yangu kwa jamii yangu kwa kipindi kirefu mno, kwa hivyo siwezi kuruhusu heshima niliyoijenga kwa miongo kadhaa karibiwa na kupotezwa na watu wachache tena kwa muda mfupi namna hii.
Hivyop basi nimechukua hatua za kisheria kuhakikisha heshima yangu inaendelea kulindwa na utu wangu unaheshimiwa." Mzee wa pekechapekecha na kono lililopotea njia🙁
 
Manina zake mbwa huyo Kapuya... kifo kibaya ni stahili yake. Hili halitapita hivihivi.... labda kama yeye ana nguvu kuliko Mungu.. muuaji mkubwa...
 
Mh. Kwa kusema hiyo no. Uliigawa hapo kwa kweli inajidhihirisha ya kuwa ni kweli umehusika kwa asilimia zote..
ngojà nikufundishe...siku nyingine usiseme umegawa no.
Bali ukubali na ung'ake kuwa WADUKUZI wametumia no. Yako ili WAKUCHAFULIE ila HUJAWAHI kuandika hizo sms...hapo kwakweli ungewateka watanzania wengi kwani tungekuamini tu kwa vyovyote...
ila kitendo cha wewe kusema ulishaigawa no. Yako, huo ni upungufu wa AKILI....Na hauna wa kumdanganya kwa hili....hapo umetuthibitishia wewe ni BAKAJI

Ahsante kwa kutokupepesa macho au kutikisa masikio..! Huyu mzee mlaku wa wajukuu hapo hatoki..! Na tena mwezi huu gazeti liliongea naye kwa kupitia namba hiyoooo!, eti ameigawa zaidi ya miezi 6 iliyopita? Mwezi wa 11 unayo miezi mingapi? Afadhali angetaja wilki au siku Kadhaa angeweza kujiridhisha angalau kutudanganya kiduchu!
 
hivi wanahabar walimsikiliza kabisa au? Kabuya huyu mzee wa vichenchede hanakama ukweli, poor kapuya
mkuu inawezekana aliwaita waandishi makanjanja, ambao huandika kile anachokipenda mteja, na sio chenye uhalisia!
 
Tamdhlia ilianza kwa Zito kabwe halafu ikaenda kwa Lema! Sasa imehamia kwa Kapuya!:A S 39::A S 39:
 
Ndibalema;7834443]Yani bado Kapuya anakomaa! ndo anazidi kuumbuka.

Kapuya ana kazi kubwa ya kuuaminisha umma wa watanzania juu ya shutuma yake.
 
Ahsante kwa kutokupepesa macho au kutikisa masikio..! Huyu mzee mlaku wa wajukuu hapo hatoki..! Na tena mwezi huu gazeti liliongea naye kwa kupitia namba hiyoooo!, eti ameigawa zaidi ya miezi 6 iliyopita? Mwezi wa 11 unayo miezi mingapi? Afadhali angetaja wilki au siku Kadhaa angeweza kujiridhisha angalau kutudanganya kiduchu!

Mkuu @not_ yet _uhuru umegundua hiyo namba ambayo anasema ameigawa bado ameitumia kwenye waraka wake kwa waandishi wa habari hapo mwisho chini na bado hiyo namba kwenye kumbukumbu za bunge hipo?
 
Back
Top Bottom