utetezi wake huo utamsaidia sana wakili wa mlalamikaji,kama kweli kesi hiyo itakuwa kwenye mikono salama ya hakimu mpenda haki,basi hukumu itatolewa ndani ya dakika mbili tu,ili kumpa mheshimiwa kapuya muda wa kutosha kupumzika gerezani for the rest of her life,sasa yeye anatakiwa aburuzwe kotini kwa kosa la kubaka,hapo hapo anatishia kumburuza kotini Victim wake!! makubwa!! Mlalamikiwa anapogeuka mlalamikaji!! Siku hiyo bila woga ntaingia mahakamani na chibuku yangu ya mbege,na kamkulima kangu huku nikifungulia yondo sister kwa sauti ya juu kabisa,kwa sababu ile hadhi ya mahakama itakuwa imehamia Mwafrika Bar.