Profesa Kabudi ni namba ingine kwenye kitivo cha ufaulu wake WA digrii ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam rekodi yake ya ufaulu haijawahi vunjwa na yeyote toka Tanzania ipate uhuru hadi leo kwa yeyote anayesoma digrii ya sheria. Mwanae pia aliweka rekodi ya ufaulu chuo kikuu cha ardhi ambayo haijawahi vunjwa tokea Tanzania ipate uhuru na haijavunjwa hadi Leo. Huyo huwezi mshindanisha na wapiga yowe na makelele Kama akina Lisu, mbowe, akina lema na Sugu the music rapper.Mwingine mwenye akili kupindukia ni profesa Lipumba alivunja rekodi ya ufaulu kwenye digrii ya uchumi chuo kikuu cha dar es salaam ambayo toka uhuru hadi sasa Hakuna mtanzania aliyevunja rekodi ya Lipumba
huwa nachukia sana kuona mnawatofautisha wabunge wakiwa mjengoni kwa kusema hawa ni wapinzani na hawa ndo wenyeweHakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Magufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo
Kiboko yake ni Antipas mughwai lissuMagufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo
Daah ni kweli jamaa ni kichwa i see. Bravo prof
Yuko vizuri. Nimempenda.Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Hata ndalichako alianza vizuri lkn walivyomcorrupt akabadilika kabisaMagufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo
Kama Sugu katoa macho, wale ndugu zangu wengine akina Msukuma, Lusinde na Majimarefu company, wao si watakuwa wametoa vipumulio kabisa.Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Tehehehe hadi Mwakyembe na vyeti vyake vya kuzaliwa.Magufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo
Kula like Mkuu[emoji106]Yeyote aliye ndani ya ccm ni adui wa maendeleo ya kweli kwa watanzania. Vimaendeleo wanavyofanya ni vya hadaa ya kuombea kura tu kipindi cha uchaguzi. Tunasubiri mtakavyotetea ununuzi wa ndege kwa maendeleo ya Taifa kipindi cha kampeni
Yuko vizuri ndio maana aliteuliwa. Atawanyoosha wabunge vilaza kama yule mwenye zero form 6 yule mwenyekitiHakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Bavicha bana hamtaki kukubali ukweli.Eti vimaendeleo!Yeyote aliye ndani ya ccm ni adui wa maendeleo ya kweli kwa watanzania. Vimaendeleo wanavyofanya ni vya hadaa ya kuombea kura tu kipindi cha uchaguzi. Tunasubiri mtakavyotetea ununuzi wa ndege kwa maendeleo ya Taifa kipindi cha kampeni