Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Kuhusu nyama. Wamasai wanakula nyama na maziwa throughout the year lkn hawapati shida yoyote. Janabi anadanganya umma
Wamasai wanatembea siku nzima kukimbizana na mifugo hivyo mlo bora kwao hauwezi fanana na mlo wa anayeshinda na email na kukimbizana na mafaili au michongo kwa boda.

Kachunguze pia life Expectancy zao.

Maana baadhi ya tafiti zinaweza kuleta mkanganyiko.

Unasubiri mmasai augue moyo akizeeka, mwenzio anaenda porini analiwa na simba😅😅.

Sawa tu na wabongo, analewa anakula visivyoeleweka mwisho anakufa kwenye boda ndio wanaathiri tafiti na data hadi outlier ndiyo wanakuwa the norm.
 
Hii Ni Point Kubwa Sana Niliioverlook Na kiukweli Hii Ndo point Ulipaswa Kuanza nayo..

Kama Uliona Pia Report ya WHO ya mwaka Huu kuwa Tanzania Wamekuwa Miongoni Mwa watumiaji wakubwa wa Pombe kali na hasa watkto chini ya Miaka 15-19..

Haya ndo maswala ya Kuibua na Kuweka Initiative kujiuliza kama Pombe inauzwa kwa Watu walio na Zaidi ya miaka 18 why wanywaji wawe na Chini ya miaka hiyo?

Na kingine kwa nini Hawa watoto ndyo wawe wanywaji wakubwa whats Goes wrong..

Na kwa Point hii ya mwisho ambayo Sikuiona naomba nikuunge mkono..

Tunahitaji Research Zifanyike Nyingi kadri inavyowezekana Kuangalia Hasa ni kwanini Vijana wengi sasa wanapata Ugonjwa wa Figo kipi hasa ni Tatizo na chanzo ni kipi na Nini solution Vyombo vyetu vya Uchunguzi MNH, NIMR nafikiri Vina Ufinyu wa Bajeti kufanya hivyo..

Shukrani sana
Dr. uliona wapi pombe kali inawekwa kwenye ujazo wa viroba vya sh. 500, au pombe kali uuze sh. 1,000 Mzee Magufuli alipoingia alipiga marufuku jambo hili, sasa hayupo limerudi tena kwa kutumia chupa ndogo za plastic sh. 1,000 - 2,000 lakini kuna tatizo kubwa la standards hapa Tanzania, na hasa kwenye pombe, nani anapima sukari inayowekwa kwenye pombe ni ya kiwango kinachotakiwa? then utakataa kwamba pombe haiwezi kuwa sababu ya magonjwa ya kisukari kwa hali ya namna hii? halafu wanamshambulia Prof. Janabi akiwaambia ukweli..kwa suala la Nidhamu katika vitu vyote tu, nadhani ni watanzania hawazidi 3% wenye nidhamu stahiki, 97% suala la nidhamu ni zero! ndio maana unaweza kuona matusi, kejeli, kutojali, dharau, ujinga mwingi, ujuaji wa mitaani nk kwenye comments nyingi ukisoma..! Kwa kuwatizama wajapan na wachina maumbo yao je ni yakuvutia? lakini ndio watu wenye tija katika kila kitu! unawezaje kusema Prof. Janabi kuwa mwembamba au rangi ya ngozi kuwa mweusi kunaonyesha tatizo..!
 
JANABI TOKA MAGUFULI AMEUWAWA,NAONA KAMA KACHANGANYIKIWA,SIJUI ANA NINI MOYONI HUYU PROF JANABI.KUNA VITU VINGINE AKIVIONGEA MPK UNAJIULIZA,HIVI NI MZIMA KWELI?!.
Mbona huulizi hospitali alikopelekwa Magufuli huko kwa mzena kama kunastahili na hakupelekwa muhimbili? hiyo hospitali nje ya viongozi wanamtibu nani?
 
Wote wana Afya na wote ni Madaktari!

Mmoja ni Proffesor Janabi (PhD [Cardiology]) na Mwingine Ni Dr Chrispin (Dental Surgion [DDS]) Au anafahamika kama MC BIG CHRIS au Body Chriss

Una swali Jingine??
Nashukuru umeniambia kuwa naye Chris ni Daktari. Sasa nimekubali kuwa Prof Janabi ana matatizo yake binafsi wala siyo masuala ya tiba
 
Kuna vitu huwa haviwekwi wazi ..
Matatizo ya moyo au figo yanahitaji research sana ...

Mfano watu wananunua maji ya chupa ambayo yamekaa juani muda mrefu ... Hii inasababisha magonjwa ya figo na hata cancer ..

Mimi nilienda kijijini nikakutana na watu wengi wanakunywa gongo .. tena kali ...lakini huwezi sikia mtu ana umwa figo au maini yameoza ..

Sasa Tanzania tuna TBS sijui kama wanafanya kazi sao inavyotakiwa ..
Watu wanatengeneza Konyagi feki, K vant feki ..tena wanatumia plastics material ..wengine wanaweka jiki ..
Kwanini mtu asipate renal injury?

Dawa nyingi zinahifadhiwa vibaya ..zinaexpire kabla ya muda ..

Mtu anaenda supermarket ananunua nyanya iliyokaa miezi 3 kwenye fridge kutoa South Africa ...wakati kuna nyanya fresh kutoka sokoni tuu hapo jirani ...

Mtu ananunua mchicha, na mbogamboga supermarket ..ambazo zimewekewa madawa (preservatives) wakati sokoni unapata fresh kutoka shambani ...

Lakini pia kuna madawa shambani ya kuuwa wadudu ..hasa nyanya yanapuliziwa ...nyanya inavunwa bila kusafishwa ...mtu unakula kachumbari pamoja na kemikali za kuulia wadudu ..
Kuna sehemu nyingi za research ili kupunguza magonjwa ya kansa na kuuwa organ kama figo na moyo
..chips zilizotapakaa mitaani nani anajua upikwaji wake km unakidhi viwango, matumizi ya mafuta yanayotumiwa kupikia, na hujawahi kusikia TMDA wanakagua wauza chips holela, lakin uvuvi wa samaki kwa milipuko, uhifadhi wake unakidhi viwango kulinda afya za walaji?
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Research and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Wabongo kila eneo ni watalaamu na wanajua. Nashangaa hata hili la mvua watalaamu walionya na waliongea watu wakabeza. Hawajui Mana ya speculation through analysis na wanakuja na probabilistic judgement conclusions Ila wao wanataka hii nyeupe na hii Ni nyeusi Ila In between hawawezi elewa.
Wao wanataka yes and no. Na life haliko ivyo everything in life is school of probability, hata mkeo Kuna data fulani unacheki una guess/bet/speculate kuwa atakuwa best wife mkuu unadondosha wino/pesa kuwa awe mke wangu ingawa outcome can't be quiet different from your analysis/experiments findings.

Watu hawajui kuwa medicine is the schools of probability and everything in life is probability and our mind can't comprehend probability properly.

Watu walibeza watalaamu shida bongo kila mtu anaingilia kada ama career ya watu. Gorofa limedondoka dar hapo Ila kila mtu atataka aseme why ili just to feed his ego kuwa anajua na he's right since we live to be right and avoid being wrong at all and any cost.

Udongo inatakiwa upimwe uonekene bearing capacity, geological studies zinatakiwa ziwepo etc why iyo ardhi imeshindwa kubeba Ilo jengo.

Yaani umeongea na ulivyoandika tu nikajua umeenda shule so you know the school.

Watu wakishapata hela wanajua kuwa kusoma is nothing mbona fulani ana hela Ila hajasoma wakati huo huo anayeponda anasomesha watoto wake kwa cost kubwa mno.

Kama Hawa watalaamu tungewasikiliza wangeokoa maisha, Mali za watu Kama huko rufiji etc so alichofanya msomi kukuokoa wewe na Mali zako, ama kukuponya magonjwa yako ama ukapita salama juu ya daraja na familia yako sio Cha maana kuzidi hela zako. Na ukiumwa unaweza ukamaliza hela zako zinazokupa kiburi unalipa watalaamu wakucheki una shida gani.

Nadhani jamaa ni daktari wa mtandaoni aliyeandika
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Tunaomjua Janabi, huyo Bwana siyo Medical Doctor! Hakustahili hata kuwa DG wa Muhimbili.

Hapo alipo ni shukrani tu kapewa baada ya kazi ngumu kuikamilisha
 
Wote wana Afya na wote ni Madaktari!

Mmoja ni Proffesor Janabi (PhD [Cardiology]) na Mwingine Ni Dr Chrispin (Dental Surgion [DDS]) Au anafahamika kama MC BIG CHRIS au Body Chriss

Una swali Jingine??

[emoji1787]

Nimekuja kujua lately kuwa wewe ni wa mchongo

Nenda kakimbizane na mafile ya wagonjwa na pathological history
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Research and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Humjui Janabi wewe. Nenda pale Muhimbili ukamjue vizuri. Pale hakuna daktari pale ni janja jana tu
 
....

Afya siku hizi ni suala la visababishi na sio sababu.

Visababishi - factors

Sababu - cause

Magonjwa yanayopatiwa cause ni magonjwa yanayosababishwa na vimelea. Unamtafuta mdudu unampata, unaitafuta sumu ya huyo mdudu. Ukimuua unaitangazia dunia kuwa dawa ya ugonjwa x ni hii.

Lakini sio leo, kwa haya magonjwa ya mtindo wa maisha.

Anachofanya Profesa Janabi ni kuutangazia umma uvitambue visababishi vya matatizo yao.

Unachokifanya wewe ni kuuambia umma kwamba wasijali kuhusu hivyo visababishi havina maana, labda wangemsikiliza kama angekuja na sababu.
Unawapatia mifano wanayoijua ati mbona babu wa fulani alikuwa na kisababishi x na hakupatwa na hali fulani hadi anakufa?

Bro, ukisubiria sababu hutakaa uipate kwa hali zisizoambukiza kamwe. Acha tu watu waendelee kuelimishwa kuhusu visababishi.

Na ni kweli kabisa kisababishi kimoja pekee hakina nguvu ya kuisababisha hali maana sio sababu. Mtu anapoambiwa aelezwe hilo na ajue

Umejiandaa kujibu na sio kuelewa
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Huyu mzee siyo wa kuzingatia sana! Wacha nijiandae kula wali mimi!
 
Suala la findings za ugonjwa, sio la kuni

Then, mm nakushauri tu kuwa kama unataka debate ambayo ni scientifically, hatuendi hivyo. Samahani, naomba nikupe utaratibu mzuri. Kwanza acha kuongea vitu bila ushahidi. Lete hapa JF, abstracts hata 10 tu kutoka kwenye Journal za medicine maarufu duniani ambazo, zinaongelea causes of kidney failure. Zipo Journal nyingi tu mfano:International Medicine Journal, New England Medicine Journal etc.
Mkuu wewe ni MD au Scientist? Umesomea wapi na una qualification(s) gani?
 
Tunaomjua Janabi, huyo Bwana siyo Medical Doctor! Hakustahili hata kuwa DG wa Muhimbili.

Hapo alipo ni shukrani tu kapewa baada ya kazi ngumu kuikamilisha

Nimeomba CV yake jamaa kakimbia , shida humu tunachat na wengi non medical ndio maana hatuelewani

Alete CV ya janabi, iliyoandikwa kwenye website ya MNH haijitoshelezi

He is cardiologist by fellowship ?

Atuambie MMED yake aliipigia wapi

Napenda kuona CV yake

Form
6 alimaliza wapi

First degree akapiga wapi
Au ndio Zile master za Urusi degree na master unaunganisha humu humo

Second degree yake was it master of medicine in Cardio au alipiga master of Science akaingia
Kwenye fellowship hili liwekwe wazi

PHD yake alikimbizana nayo wapi

Mimi
I don’t count huo u prof , ukishakuwa na PHD Uprof ni papers published na kama upo kwenye teaching , unaupata

Paper nyingi zinafanywa na wanafunzi , wao wanaboresha nakujipublishia as their work

CV ya Janabi kwenye website ya MNH haipo formal

MNH kuna vichwa na
Vijua na vingine vilishasepa kwenye masilahi

ambao walikuwa na elimu iliyonyooka km wembe na ni MaMEd konki hatua kwa hatua

Ambao hao kama nafasi ya U DG MNH ingekuwa inatangazwa na madokta kushindanishwa, Janabi asingetoboa hata first round ki uwezo na ki CV

huyo alipata popularity baada ya kuinuliwa na JK , na sio kwa uwezo wake

Hoja ya msingi ni matamshi yake ni intimidating na sio scintifically. Kama anatoa warning kwenye jamii kuna namna ya kupresent na sio kusema ukila muhogo kwa siku inatosha, ukikojoa povu figo just because he met cases kama hizo kwa watu 3

Science haipo hivo and it does not entertain hizo symptomatic issues ndio maana mmewekewa maabaara to prove your hypothesis kama unachowaza kupitia pathological history taken ni sahihi
 
Tunaomjua Janabi, huyo Bwana siyo Medical Doctor! Hakustahili hata kuwa DG wa Muhimbili.

Hapo alipo ni shukrani tu kapewa baada ya kazi ngumu kuikamilisha
Janabi kahitimu MD mwaka 1989 MMED mwaka 1994 na Fellowship Mwaka 1995 na mwaka 2000 kamaliza PhD ya Cardiology...

Sjui kama hta unamjua au umeanza kumjua akiwa Muhimbili?
 
Back
Top Bottom