Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Kuna vitu huwa haviwekwi wazi ..
Matatizo ya moyo au figo yanahitaji research sana ...

Mfano watu wananunua maji ya chupa ambayo yamekaa juani muda mrefu ... Hii inasababisha magonjwa ya figo na hata cancer ..

Mimi nilienda kijijini nikakutana na watu wengi wanakunywa gongo .. tena kali ...lakini huwezi sikia mtu ana umwa figo au maini yameoza ..

Sasa Tanzania tuna TBS sijui kama wanafanya kazi sao inavyotakiwa ..
Watu wanatengeneza Konyagi feki, K vant feki ..tena wanatumia plastics material ..wengine wanaweka jiki ..
Kwanini mtu asipate renal injury?

Dawa nyingi zinahifadhiwa vibaya ..zinaexpire kabla ya muda ..

Mtu anaenda supermarket ananunua nyanya iliyokaa miezi 3 kwenye fridge kutoa South Africa ...wakati kuna nyanya fresh kutoka sokoni tuu hapo jirani ...

Mtu ananunua mchicha, na mbogamboga supermarket ..ambazo zimewekewa madawa (preservatives) wakati sokoni unapata fresh kutoka shambani ...

Lakini pia kuna madawa shambani ya kuuwa wadudu ..hasa nyanya yanapuliziwa ...nyanya inavunwa bila kusafishwa ...mtu unakula kachumbari pamoja na kemikali za kuulia wadudu ..
Kuna sehemu nyingi za research ili kupunguza magonjwa ya kansa na kuuwa organ kama figo na moyo
 
Tusishangae baada ya Uchaguzi 2025 prof.Janabi akiteuliwa kuwa Waziri wa Afya au Katibu wa Wizara ya Afya!
 
Inaonekana unatetea sana pombe kali kuwa hazina madhara ya figo na kwenye introduction yako, haukugusa kabisa kuhusu pombe. Mm sio daktari, katika specialization hiyo, lakin ni dhahiri na shahiri kuwa pombe kali inauwa, figo. Mfano:Gardiner alikuwa anavimba mwili hizo ni dalili kuwa ana matatizo ya figounatudanganya na alikuwa mnywaji wa pombe kali. Pia nimeshudia rafiki zangu wengi wanywaji wana matatizo ya figo,kwa kuwa wanywaji wa pombe kali. Kwa hiyo ndugu kama ww ni mnywaji, na unatetea pombe kuwa haina madhara kwenye figo, unatudanganya. Jaribu, kupunguza mapenzi kwenye pombe ili uokoe maisha ya watu wengi. Halafu, hilo suala la kuongelea GPA lisikuumize, sana, kwani GPA ni uwezo wa mtu darasani. Kama ulipata GPA ndogo, hiyo ni juu yako.

Unapotosha.

Mimi sijawahi kunywa hata mbege na inatengenezwa nyumbani

What I want is to debate scientifically tuache intimidation
 
Kwa muda miaka mingi sayansi unayotumia kama rejea iliidanganya Dunia kuwa ulaji wa mafuta ndio kisababisho kikubwa Cha ugonjwa wa moyo
Sayansi hiyo hiyo hadi muda huu imeendelea kudanganya umma kuwa magonjwa ya Presha na kisukari ni ya kuishi nayo kwamba ukipatwa nayo hayana tiba lakini ukweli ni kwamba Sukari na presha yanaweza kuondolewa kwa mtu kubadiri tabia ambazo kimsingi ndio chanzo Cha matatizo hayo

Kosa la Janabi ni kuhatatisha ajira za watu walizosomea kwa zaidi ya miaka 7 maana kama watu watakula na kuishi kadri ya asili ya mwanadamu watakuwa hawaugui na madaktari watakuwa hawana kazi

Hash your mouth

Unadharau sayansi, Simple example

Sayansi ndio umekufanya tuwasiliane hapa kuwa na adabu
 
Nimeishia hapo kwenye matumizi ya dawa za kienyeji,wazungu walivyofanikiwa kuwaondoa watu huko ni nani leo hii anatumia dawa hizo za kienyeji??
Pia unachanganya madesa,kama umesema wazee wazamani walitumia pombe na sigara but wakaishi miaka mingi,hao hao wazee walitumia madawa ya kienyeji.

Matatizo 99% ya Afya kwa Tanzania yanachangiwa na TBS na wizara ya kilimo,tunatumia vyakula na vitu visivyokuwa na ubora.

Unakuja na kutoka
 
Matatizo 99% ya Afya kwa Tanzania yanachangiwa na TBS na wizara ya kilimo,tunatumia vyakula na vitu visivyokuwa na ubora.

Hili pia ninaweza kukubaliana na wewe, lakini hiyo 99% significance umeipataje?

Unazodata kusema matatizo yanachangiwa na TBS by 99?

Nakubaliana na wewe kuwa ni kweli hatuna strong regulatory authority kwenye mambo ya Food and cosmetics , lakini kusema chanzo ni TBS 99% unafanya makosa ya kitaalum

Tulishauri Food and Cosmetics irudishwe TMDA, TBS wamefeli kinadharia
 
Mkuu, umefikiria vizuri sana, lakini tunapolinganisha enzi tuangalie pia na mabadiliko ya teknolojia yaliyopo.
Wazee wetu walifanya yote hayo (Unywaji pombe, uvutaji sigara n.k) lakini ni aina ipi ya pombe iliyokuwa ikinywewa? Vyakula vipi walivyokuwa wakila?

Ugali ulikuwa ukiliwa sana, nyama zilichomwa na kuliwa sana lakini vyakula hivi vilitokana na uasili kuanzia uzalishaji mpaka kuhifadhiwa.

Leo hii unajionea mwenyewe hata ladha ya vyakula iliyozoeleka imepotea, unakula wali/ugali kama unakula makapi, ukija kwenye nyama ndo usiseme.

Nina amini si pombe pekee inayosababisha matatizo ya ini/figo, ni muunganiko wa mtindo wa maisha kwa ujumla (Ulaji na unywaji).

Environmental factor and behavior change

I agree
 
Dar es salaam inaongoza kuwa na miundo mbinu Mibovu ya Sewage and sanitation hasa wakati wa Mvua na Inaongoza kwa Uchafu sana..

Lakini Kwenye Magonjwa Kumi Yanayoongoza Mkoa Top5 hakuna Ugonjwa unaohashiria Hiyo Condition kama Kuhara wala magonjwa ya Mfumo wa Chakula Unaizungumziaje hiyo Hali??

Kuna Kitu kwenye Epidemiology na Biostatistics Tunaita sufficient factor (Sufficient Cause) na necessary factor (Necessary Cause)..

Pombe sio Necessary factor kwa Mtu kupata ugonjwa wa Figo ila ni Sufficient factor kupata Ugonjwa wa Figo..

Kwa hiyo kwa point hiyo hapo juu ya Kiutafiti Ina conclude kuwa sio Kila anywaye Pombe huishia Kupata ugonjwa wa Figo (Necessary cause)..
Ila Asilimia Kubwa ya Wagonjwa Wa FiGo walikuwa wanywaji wa Pombe kupindukia (Sufficienf Cause)..

Sijui kma umenielewa

Now you are coming to a point ; ukiongea kitaalam i will tell you

That said, Janabi anapo comment mambo yake ni lazima awe specific with clear language. Otherwise anafanya misleading na intimidating

Sidhan kama ana mass communication kwenye health , hii ni certificate on how to present health issue bila ya intimidation

With your comment , you have come to truth by 50 % na sio kutuambia habari za mkuu wa taasisi, who cares na ukuu wa kuteuliwa?

Ukuu ni wa kushindanishwa na sio ukuu wa prudence ya kiongozi
 
Mnapoteza muda kupigizana kelele na huyo kandia, mwisho wa siku ni suala la maamuzi binafsi, anayetaka kumsikiliza Janabi ni shauri lake na asiyetaka aache.
Janabi hata kama anakosea katika uwasilishaji wake, bado kwa sehemu kubwa sana anapatia, kwasababu anatoa awareness.
Mengine ni makelele na ujuaji…
Hawa unakuta ni wale vijana waliosoma Molecular Biology and Biotechnology, Medical lab, Microbiology and the likes. Ambao kimsingi wao ni scientists tu na sio health care providers (MDs) sasa unakuta wakisoma articles tu chache ( tena bila kwenda deep) wanakariri tu baadhi ya vitu na si ajabu ni very outdated researches wanakuja jukwaani kujifanya wanajua kila kitu..

Science ya utabibu haijui, pia epidemiological evidences hana, cases hazijui, Biostatistics hajui hata Medical ethics or bioethics pia hazijui anakuja kubeza jitihada za watu wanaosaidia jamii.
 
Hawa unakuta ni wale vijana waliosoma Molecular Biology and Biotechnology, Medical lab, Microbiology and the likes. Ambao kimsingi wao ni scientists tu na sio health care providers (MDs) sasa unakuta wakisoma articles tu chache ( tena bila kwenda deep) wanakariri tu baadhi ya vitu na si ajabu ni very outdated researches wanakuja jukwaani kujifanya wanajua kila kitu..

Science ya utatibu haijui, pia epidemiological evidences hana, cases hazijui, Biostatistics hajui hata Medical ethics or bioethics pia hazijui anakuja kubeza jitihada za watu wanaosaidia jamii.

Bado upo kwenye Assumption
 
Pia kuna channel ya YouTube nadhani ni ya MNH au JKCI zinaelezea hayo anayoongea Prof, wewe unachukua zile headlines tu kama muandishi wa habari!! Unajua ni wangapi walienda kufwatilia kiundani baada ya hizo headlines kutrends, watz 90% ni wavivu kusoma unadhani akianza kuelezea MOA za mfno, wali au chips anavyozi-relate-sha na hizo matatizo wangapi wangefwatilia,🤔 anyway good thread! Bt next time jitahidi kupangilia mada vzur usiwe paragraph hii unatoka nje ya mada kabsa paragraph ijayo unarudi😶
Halafu ni kama vile hoja anazo ila anajambo limejificha, ni kama anatamani kum attack Janabi ila anakosa proper entry point, ingependeza yeye ndiyo aje na takwimu za kimaabara zisizo na shaka zinazoonyesha Janabi amekosea, nimekutana kwenye workshops nyingi na wataalam wa afya kadhaa kabla ya kumfahamu Janabi wote walikuwa wanaasa kama Janabi asemavyo
 
Halafu ni kama vile hoja anazo ila anajambo limejificha, ni kama anatamani kum attack Janabi ila anakosa proper entry point, ingependeza yeye ndiyo aje na takwimu za kimaabara zisizo na shaka zinazoonyesha Janabi amekosea, nimekutana kwenye workshops nyingi na wataalam wa afya kadhaa kabla ya kumfahamu Janabi wote walikuwa wanaasa kama Janabi asemavyo

Why ni muattack

Shida kubwa ya watanzania mpo subjective snaa inawapa blind kwenye truth

Ingekuwa kumu attack ningeenda further , nimetarget only about what is doing that is all

Tumia akili
 
You can’t teach me what to write, you have the room to initiate your own thread, I am presenting serious issue and not blah blah

Hatujifunzi sayansi kupitia clip za YouTube au JKCI .

JKCI ni kituo cha matibabu na sio kituo cha Sayansi .

Everything, every treatment that JKCI provides has already been established by scientist, there is nothing new they do , ni kufuata guideline na miongozo


I am doubting kama umeelewa the threads

Come next time
Scrap
 
Halafu ni kama vile hoja anazo ila anajambo limejificha, ni kama anatamani kum attack Janabi ila anakosa proper entry point, ingependeza yeye ndiyo aje na takwimu za kimaabara zisizo na shaka zinazoonyesha Janabi amekosea, nimekutana kwenye workshops nyingi na wataalam wa afya kadhaa kabla ya kumfahamu Janabi wote walikuwa wanaasa kama Janabi asemavyo

Hii ndio research yako
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Mkuu, hoja yako ni nzuri sana na inaeleweka kwa mwenye uwezo wa kukuelewa, lakini unaipotezea hadhi kwa kuchanganya lugha ya mkoloni [kiingereza]na kiswahili.Jitahidi kuwasilisha hoja yako kwa kiswahili [bila kuchanganya lugha]ili iwafikie na hata kuwaelimisha wasiojua kiingereza.Kwa kufanya hivyo itadhihirisha usomi wako.
 
Back
Top Bottom