ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,003
- 29,457
Kuna watu wanabenefit na Ulaji mbovu na Sedentary life za watu kwahyo wakiona jamii inabadilika wao wanaumia sanaUkweli wa Prof Janabi unawauma baadhi ya watu!
Kuna watu wanabenefit na Ulaji mbovu na Sedentary life za watu kwahyo wakiona jamii inabadilika wao wanaumia sanaUkweli wa Prof Janabi unawauma baadhi ya watu!
Mbona kama una ego fulani, umejuaje kama hajasoma? By the way unajuaje kama huyu ni nutritionist ambaye ni mtaalamu zaidi kuliko medical Dr?Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..
Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..
kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??
Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?
Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..
Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..
Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???
Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..
Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Mkuu umerusha jiwe gizani..vaa helmet sasa!Huna cha kunifundisha na sina cha kujifunza kwako and probably huna cha kujifunza kwangu , then let’s talks fact and scientifically
Symptomatic treatment, is it a practical treatment ? I am doubting kama na wewe ni MD au ndio wale wakukaririshwa kwenye anatomy !
Niletee data za watu 200 ambao wamekojoa mkojo wa povu and had issue kwenye kidney ? Wapo watanzania wengi tu ambao wanakojoa povu , nenda kawapime na uniletee majibu,
I am still doubting kama upo kwenye medical industry ikiwa unashindwa kujua other factors ambazo healthy person anaweza kukojoa povu na asiwe na dalili yoyote ya figo ,
Research za Alcohol zina onesha alcohol kama risk factor, stop being dumb , Alcohol isn’t causal relationship to kidney disease , leta hiyo research inayosema Alcohol inasababisha kidney disease. If that is the case , watanzania wote wangekuwa na figo
It is such a shame kusoma maandishi yako
Mkuu wa taasisi ni kwako mimi inanihusu nini, I am presenting facts , bring your facts and let’s talk
stop being emotional and subjective focus kwenye point and debate it scientifically.
Unazungumzia research za uprof ambazo 90% zinafanywa na wanafunzi kisha zinakuwa published na masupervisor na kupelekea u prof
Hizo Fellowship unazozungumzia , tell me zinashida gani kuzipata? One of the easiest thing kupata hizo fellowship hasa kwa kipindi hiki , acha kutumia maneno as if kuna anything , kwa mentality unayoonesha sidhan hata kama umeshawahi kutoka nje ya hapo TZ
Sio kila mgonjwa mwenye homa kali na kichwa maana yake ana malaria, you can’t focus kwenye symptoms ukaenda ku generalize
hakuna science wala medical ya namna hiyo na ukweli uongewe na ni kuleta intimidation kwenye society , the MoH should stop him sio jukumu lake kuwaambia watu what to eat and not what to eat bila ya kuwa evidence za kutosha
Tusiwe nchi ya mtu yoyote ataongea chochote, msemaji wa mambo ya Afya Tanzania ni Wizara na sio Janabi,
[emoji419][emoji375]Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..
Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..
kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??
Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?
Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..
Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..
Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???
Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..
Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
PRoff Janabi ni Mzee na anakaribia 70 unataka Aonekane na Muonekano wa Kijana??Lakini sura ya huyo Dr. Inaonyesha kabisa he is not normal ana tatizo gani mie siyo Daktari. Kama sura yake Haina mng'ao wa kibinadamu basi sidhani kama Mimi nitashawishika kupokea ushauri wake
70 years kisha bado ni mtumishi wa umma? Well mie navyomwona uso wake haupo sawa na siyo kwaajili ya uzee, labda naona vibaya! Na kama ni diet yake basi mwili utakuwa pengine umekosa virutubisho vya kutosha hasa nyakati hizi za umri wake, na yeye awe makini piaPRoff Janabi ni Mzee na anakaribia 70 unataka Aonekane na Muonekano wa Kijana??
Utaalamu haupimwi kwa kumpinga Mtu mwingi ila utaalamu unapimwa kwa kuingia field na Kutupa Namba Halisi ya Unachokihoji Dr Janabi is not only a Medical Doctor..Mbona kama una ego fulani, umejuaje kama hajasoma? By the way unajuaje kama huyu ni nutritionist ambaye ni mtaalamu zaidi kuliko medical Dr?
Amesema kitu ambacho na Mimi nimesikia wataalamu wengi wakilalamikia...
Unafahamu Kanuni na sheria za Ukomo wa Miaka kwa Daktari bingwa ni Miaka mingapi kwenye Utumishi wa umma??70 years kisha bado ni mtumishi wa umma? Well mie nabyomwona uso wake haupo sawa na siyo kwaajili ya uzeeni, labda naona viba! Na kama ni diet yake basi mwili utakuwa pengine unekosa virutubisho vyakutosha hasa nyakazi hizi za umri wake, na yeye awe makini pia
Yes umri wa ukomo ni 65 Kwa lazima...Pengine wewe ndiyo uji update...Ukisoma post huoni hapo facts? Tatizo unachukua upande you do not open your mind ..Mie Kwa hili naona anahoja....Lakini Prof. Janabi si Kila kitu chake nitakikataa isipokuwa kwenye hii nutrition linked to non cominivable diseases no he is exegarating na kuwa more political kuliko kuwa technocratUtaalamu haupimwi kwa kumpinga Mtu mwingi ila utaalamu unapimwa kwa kuingia field na Kutupa Namba Halisi ya Unachokihoji Dr Janabi is not only a Medical Doctor..
Usisahau Proffesot Janabi pia na yeye alisoma Molecular science and Nutrition study as a Post Doctrate mwaka 2004 Huko Japan Osaka University..
So Aliyeandika Mada he may be A Nutrionist but Janabi has The advantage most kwa sababu pia amesoma Post Doctrate Nutriotion degree Pia baada ya PhD ya Cardiology mwaka 1995
Yeah nimeeleza na kama Ukiangalia baadhi ya post zangu Nimesema hivyo ila Tatizo liko Moja kudefame mtu huwa sio mpenzi wa kufanya Hivyo..Ukisoma post huoni hapo facts? Tatizo unachukua upande you do not open your mind ..Mie Kwa hili naona anahoja....Lakini Prof. Janabi si Kila kitu chake nitakikataa isipokuwa kwenye hii nutrition linked to non cominivable diseases no he is exegarating na kuwa more political kuliko kuwa technocrat
Hahahaha, na anaongezea "acha ujuaji mjukuu wangu"Uko right, my Babu 89 and still he smokes, ukimuambia ni hatari anakujibu nilianza kuvuta kabla hata sijajuana na bibi yako.
Janabi anataka ubunge. Janabi anajijua ana tuhuma na hajui anaifutaje. Lakini pia Janabi hakuwa maarufu Kwa Wananchi wa kawaida. Hivyo ili kujulinana anatumia matatizo ya watu wa kawaida kujitangaza.Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.
Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.
Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.
The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!
Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .
Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?
kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc
Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.
Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.
Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!
Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .
Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.
It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.
Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?
Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.
Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Mimi nimekuelewa sana usikatishwe tamaa na hao paper centered.Hapo ndio manapofeli kusema sufficient factor ; shida ya elimu ya TZ ni lots of books than practical
How do you say Alcohol ni sufficient factor ? Mjomba duh
Nikikuletea watu 100 ambao ni drunkes , na tukawafanyia vipimo over follow up na tusiwakute na figo
Would you comment Alcohol kuwa ni sufficient factor ?
Bado kuna shida kubwa kwenye mfumo wa elimu TZ hasa kwenye medical
Na ndio maana mgonjwa anaenda muhimbili anakuwa recommended for surgery , akienda India au Germany , wanamwambia ungeruhusu wakufanyie upasuaji… usingedumu , mgonjwa anafanyiwa treatement ya kawaida na kurudi salama
Bado tunashida kwenye mfumo wa elimu , medical field haipaswi kuwa paper centered ;
Ni hatari sana kuwa smart kwenye jamii ya Wajinga. Nilichokibaini hapa, ni mlevi mmoja ivi anayejaribu ku justify tabia zake za Kilevi kwa kuukataa ushauri wa kisayansi. Laiti ungekua na ufahamu wa Pathophysiology ya moja tuu ya NCDs ulizozitaja, ungemuelewa Prof. By the way, NCDs karibu zote, hazina direct cause kama ilivyo kwa communicable diseases. Kitu pekee sayansi imeweza kubaini kwenye pathogenesis ya magonjwa hayo ni risk factors/behaviors. Na Prof siku zote anaelimisha watu kuchukua tahadhari kwa kuepuka tabia hatarishi na vihatarishi vya magonjwa yasiyo ambukiza na si visababishi vya magonjwa hayo. Prof hajawahi ku mislead watu bali, wafuatiliaji wake wasioelewa , wanaji mislead kama mwandishi wa thread hii.Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.
Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.
Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.
The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!
Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .
Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?
kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc
Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.
Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.
Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!
Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .
Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.
It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.
Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?
Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.
Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Jamaa Ni bonge la chawa n a ndivyo naye kaamua kuwa kama Steve NyerereKutompuuza ni pamoja na kumtafutia mshauri mzuri Ili atibu afya yake ya akili.
Hii Ni Point Kubwa Sana Niliioverlook Na kiukweli Hii Ndo point Ulipaswa Kuanza nayo..Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Mwulizeni mpishi wa mzee Mwinyi alikuwa anakula vyakula gani, maana miaka 99 siyo mchezo. Juzi Malecela ametimiza miaka 90, umri nao ni neema pamoja na kwamba life style inachangiaNilishangaa ati tule kipande kimoja cha mhogo... As if mahitaji ya nutrients yapo sawa kwa wote licha tofauti za mahitaji yetu ya kimwili - kazi, hali ya hewa, afya, uzito, umri, jinsia, n.k.
Nipe thesis yake huyo prof wako, jamaa Ni fake kama fake wengineNi hatari sana kuwa smart kwenye jamii ya Wajinga. Nilichokibaini hapa, ni mlevi mmoja ivi anayejaribu ku justify tabia zake za Kilevi kwa kuukataa ushauri wa kisayansi. Laiti ungekua na ufahamu wa Pathophysiology ya moja tuu ya NCDs ulizozitaja, ungemuelewa Prof. By the way, NCDs karibu zote, hazina direct cause kama ilivyo kwa communicable diseases. Kitu pekee sayansi imeweza kubaini kwenye pathogenesis ya magonjwa hayo ni risk factors/behaviors. Na Prof siku zote anaelimisha watu kuchukua tahadhari kwa kuepuka tabia hatarishi na vihatarishi vya magonjwa yasiyo ambukiza na si visababishi vya magonjwa hayo. Prof hajawahi ku mislead watu bali, wafuatiliaji wake wasioelewa , wanaji mislead kama mwandishi wa thread hii.
Kuhusu nafasi ya JKCI kama Hospital na ushiriki wake kwenye taasisi.
Moto wa Hospital zote ni TIBA, ELIMU NA UTAFITI. na JKCI kama moja ya hospital, wanafanya medical research za kutosha wanazopublish kwenye local na international journals.
Huyu mwamba nadhani hajui hata scientific data zinapatikanaje! Hiyo Cohort study aliyoisema hajui data zake zinapatikanaje! Nimpe taarifa tu Hospitali zote ikiwemo JKCI, ni eneo sahihi kabisa la kukusanya data za kisayansi!Umenihuzunisha sana "hatujifunzi sayansi kupitia YouTube" na huko nyuma umesema kwenye post yako umenukuu baadhi ya studies ambazo zilichapishwa kwenye majarida, YouTube is just a means of sharing info, kwahyo ulitaka hao wakina janabi wapiti kwenye majumba kutoa baadhi ya shauri za kiafya?
Then umesema JKCI sio kituo cha sayansi sawa lakini haimaanishi wao wasiwe na vitengo vya elimu kwa jamii ambayo pia ndio clients wao et kisa wao sio kituo cha sayansi.
Then "You cant teach me what to write" mi sijakufundisha bali nmetoa maoni yangu kwenye mada yako uliyoielezea, so my brother sometimes accept critics especially in this online platforms