Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Kwanza Kabisa ume "mention" Jina lake na kusema Hafati Ethical za Kitabibu bali anafanya siasa..

Hii tayari ilitosha Kukuonyesha Ulivyodefame ukiacha maneno mengine uliyokuwa unayaandika kwenye Comments..

kiukweli nimerudi kusoma Hoja zako tena kuna baadhi ya hoja ziko sawa Na Zinahitaji majibu kutoka NIMR au sehemu zingine za Research studies..kutoka Tanzania..
Na zingine zimefanyiwa research na studies zipo..

Japo kuna baadhi ya vitu unahitaji kujifunza najua wazi kwa Hoja zako ulivyozipanga na ulivyozitetea na jinsi unavyoandika hapa Ni wazi nimejua Kada Unayotokea kwenye Medical Field.. You are a Scientist..

You Scientists (Medical Labs), Sometimes mnahitaji kujua Upande wa Kitabibu "Medical" Kabla ya kuja Na conclusion kwenye maswala haya..

Huwezi kumtibu Mgonjwa au Kupima tu bila kujua hasa anapresent na Dalili gani na kulingana na dalili hizo Dx yake ni Ipi..

Ukishakuwa na Impression ndo Unacomfirm na baadae unafanya Intervation aiza kwa Matibabu ambayo ni pharmacetical au Surgical

Shukrani sana
Mhubiri 4:13
Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo.
 
Hakika wewe ni msomi. Janabi must be warned to stop giving scientific opinions based on his personal experiences anakera sana.
Janabi ni mgonjwa. Angalia uso wake, mwili umenyauka na uso umekata tamaa. Maradhi yake anayajua ndiyo maana anapiga vita wenye afya
 
Anasema janabinsky awe mpiga blah blah kunako kijani fedenge
Nani ana afya kati yao?
Screenshot_20240426_052516_WhatsApp.jpg
 
Nyakati zimebadilika sana vyakula walivyokula wazee wetu na sisi vina tofauti kubwa na hata mtindo wa maisha Yao ulikuwa tofauti
1.walifanya kazi za Mikono nyingi sana.
2.hawakukesha bar na labda umesahau ila waliokunywa pombe kupitiliza wengi walikufa mapema walio enda miaka zaidi 60 ni waliojitunza
3.Pombe zao zilitenezwa kwa mimea Sasa pombe ni wakemia wanakaa maabara na kuunda formular ya pombe
4.Binafsi naona Janabi yuko sahihi
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Na wewe pia umefanya counter political attack! Ahahahahaha!!!
 
Ulaji mbovu ni tatizo kubwa sana karne kwa binadamu wengi hasa wa kipato cha chini, angalia mijini watu wenye viribatumbo na matakunyuma walivyojazana.
 
Janabi anapotosha sana. Vyakula vya wanga (sukari) ni vingi na vinapaswa kuliwa kwa wingi kwasabb miili inahitaji sukari kwa wingi sana ili kupata nishati (ATP) ya kuuwezesha kufanya kazi mbalimbali za kifiziolojia.

Kuhusu nyama. Wamasai wanakula nyama na maziwa throughout the year lkn hawapati shida yoyote. Janabi anadanganya umma.
Janabi yuko sahihi,mfumo wa maisha umebadilika sana hasa mijini. Watu wanakaa sehumu moja muda mrefu bila kujisogeza siku nzima huku wanashindia vitumbua, chapati na chips mayai. Angalia watu wenye viribatumbo na matukunyema walivyojazana, zamani watu karibia wote walikuwa wembamba.

Wamasai wa sasa wana shida nyingi tu za kiafya, zamani ilikuwa nadra sana kumkuta Mmasai bonge ila sasa hivi Wamasai mabonge wamejaa kila mahali.
 
Hiyo paragraph ya mwisho umechanganya bia na juice na soda na mafuta na maji, kwanini ifanyike research kama hyo wakati majibu yapo wazi?? Kama wasomi wote mmekimbilia siasa hata hzo hela zikiandaliwa kwaajili ya health related research si watazilamba zote?? Pia kuna channel ya YouTube nadhani ni ya MNH au JKCI zinaelezea hayo anayoongea Prof, wewe unachukua zile headlines tu kama muandishi wa habari!! Unajua ni wangapi walienda kufwatilia kiundani baada ya hizo headlines kutrends, watz 90% ni wavivu kusoma unadhani akianza kuelezea MOA za mfno, wali au chips anavyozi-relate-sha na hizo matatizo wangapi wangefwatilia,🤔 anyway good thread! Bt next time jitahidi kupangilia mada vzur usiwe paragraph hii unatoka nje ya mada kabsa paragraph ijayo unarudi😶
Paragraph ya mwisho ya mleta mada ndio hitimisho zuri ambalo limeeleza hali halisi ilivyo kwa watunga sera wetu ambao wao ndio wamechanganya juice bia na mataputapu pamoja !! 🙏
 
Janabi anapotosha sana. Vyakula vya wanga (sukari) ni vingi na vinapaswa kuliwa kwa wingi kwasabb miili inahitaji sukari kwa wingi sana ili kupata nishati (ATP) ya kuuwezesha kufanya kazi mbalimbali za kifiziolojia.

Kuhusu nyama. Wamasai wanakula nyama na maziwa throughout the year lkn hawapati shida yoyote. Janabi anadanganya umma.

Mm nashawishika kuamini kuwa matatizo ya moyo na figo yanasababishwa na pombe, matumizi mabaya ya dawa (neno kutwa linapotpsha wengi sana. Kutwa mara 3. Mtu anameza mara 3 kwa masaa 12 badala ya masaa 24), dawa feki, dawa hazihifadhiwi vizuri kwenye maduka ya madawa,
Umenena sahihi kabisa !
Dawa kunywa mara tatu kwa siku tulikuwa tunajua ni kila baada ya masaa manne tunatakiwa tunywe au tuwanyweshe watoto wetu !

Na ndivyo tulivyokuwa tukifanya miaka nenda rudi until recently !
Tumekumbuka shuka kumeshakucha !!
 
Duh

Ni kama una Hoja hivi 🐼
Mzee wangu alifariki mwaka 2014 R.I.P akiwa na miaka 82 amekuwa mvutaji wa tumbaku maisha yake yote.Lakini kifo chake akikusababishwa na hiyo tumbaku.Kaka yake ana 100+ mnywa gongo makubwa Hapo masasi na anadunda tu.Mtoa mada ana hoja.Yule Mzee analeta sintofahamu kwenye jamii au Karma imeanza kufanya kazi.
 
Sijui ni kwann watu wanaoonekana wana afya au wanaofanya kazi zinazohusu mambo ya afya mara nyingi utawakuta wanaumwa magonjwa makubwa makubwa.

Tusishangae jamaa akiwa na magonjwa kama kisukari, figo, kifua kikuu n.k
Lakini sura ya huyo Dr. Inaonyesha kabisa he is not normal ana tatizo gani mie siyo Daktari. Kama sura yake Haina mng'ao wa kibinadamu basi sidhani kama Mimi nitashawishika kupokea ushauri wake
 
Back
Top Bottom