Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
Kweli Elimu yetu ipo taabani! sasa hapo ndio umeandika kitu gani?
you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
huna kitu kichwani, jibuni hoja kuwa lipumba ameistukia ukawa
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
huna sababu ya kuyakashifu magazeti hayo. Cha msingi kwa statent hiyo ni kujiuliza kama kweli prof Lipumba ameyasema hayo maneno. Au kufanya utafiti wa kubaini kuwa kweli kauli hiyo imetamkwa popote na prof lipumba au viongozi baadhi toka cdm. nje ya hapo wewe huna tofauti na hayo magazeti unayoyaponda
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
Hayo nayo ni magazeti?sidhani kama mtu ananunua upuuzi huo wa TAZAMA na UHURU
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao
Inayopumulia machine ni Chagadema,wanahaha kutafta ndoa kwa vyama vingine walivyooviita CCM-B,sasa Ukawa ni CCM -C...kwi! kwi! kwi!
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao
Ameshtukia nini? Mbona hakijaelezwa kilichoshtukiwa?you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
Ameshtukia nini? Mbona hakijaelezwa kilichoshtukiwa?
Kula li-likeeee ilo mkuu
Kwa akili hizi kweli mnahaki ya kutumika kama dume condom ,furaha yako hasa ipo kwenye nini?
a) kufurahia wizi wa fedha za umma bila hatua kuchuliwa
b) kuwa lea wezi wana filisi rasilimali za umma yakiwemo mabilioni ya fedha.
c) serikali kushindwa kutoa huduma bora ha za afya kwa miaka 50