Mkuu Ukabila huoNimefika ukerewe kipindi flani hivi na kusema kweli kizazi hicho kiliibeba sana ukerewe. Wengine ni kina Profesa Machunda(rip), Yupo Askofu Lukanima (sina kumbukumbu sahihi sana), Pius Msekwa, Getruda Mongela kwa kutaja wachache. Ni kabila lenye watu wa IQ kubwa na ni wasiri sana ndo maana waliaminiwa sana na mwalimu hasa kwenye mambo nyeti hapo namkumbuka Mpambe/Close bodyguard wa mwl nadhani aliitwa Mkanzabi. Wana msemo wao mkelebhe ni mpelhe