Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

Nimehamasika sana nitajaribu kupita bookshop zote hapa Dar natumai sitakosa Moja ya hizo nakala . Lakini mie nafikiri ingependeza zaidi kama hivyo vitabu vingeweza wekwa kwenye online stores na watu wakanunua online na ingekuwa ni kipato kizuri kwa familia yake hata kwa siku za usoni
 
Siyo kwamba ni kwa sababu ya kanisa katoliki? Maana kanisa lilimjia juu kwa kutumia jina la Rosa Mistika ambalo linamafungamano na Bikira Maria na kwa Tabia za Rosa Mistika wa kitabuni kanisa liliona limechafuliwa na kitabu husika.

Waandishi wa Tanzania hawapo huru hasa wakiligusa tabaka tawala
Natamani sana kujua historia ya Karumuna Mboneko mwandishi wa 'Pambazuko Gizani' maana naye kalivua nguo kanisa katoliki
 
Aliyepata kusoma kitabu cha SOKONI KARIAKOO TAFADHALI PAMOJA NA SAFARI YA MWALIMU KATOTO mwandishi alijulikana kama Thomasi Kamugisha sasa nj marehemu
 
Back
Top Bottom