Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Acha wazimu kijana. Mungu awalaani wote mnaotetea hili taifa kuangamizwa kwa utawala wa Mzee Wenu aliekwenda kuzificha nyaraka za
MANUNUZI YA NDEGE/SGR/STIGLER'S kwake chato chini ya uvungu wa kitanda chake ili zisikaguliwe, mlaaniwe nyinyi pamoja na vizazi vyenu.
(1) Tundu Lissu aliongea ukweli kipindi cha huyo kichaa, aliishia kupigwa risasi 32.
(2) Ben Saanane aliongea ukweli, aliishia kupotezwa mpaka leo hajulikani alipo.
(3) Jakaya Kikwete aliongea ukweli kuhusu kuji mwambafai, aliishiwa kuambiwa na Magufuli kwamba "Anawashwa Washwa".
(4) Huyu Prof Assad aliongea ukweli kwamba Trillioni 1.5 hazijulikani zilivyotumika na akaishia kutukanwa, kudhalilishwa na kufukuzwa kazi hata kabla ya muda wake, na angeongea zaidi maswala haya ya kunyimwa nyaraka za
SGR/AIR TANZANIA/STIEGLER'S pengine mngempiga mabomu ya kivita kabisa badala ya Risasi.
Kipindi cha utawala wa Magufuli, mtu aliesoma (PhD au Dr) akiongea ukweli alikua haeleweki na aliitwa msaliti, ila mnafiki akiongea uongo ndio anaeleweka na kusifiwa. Ilifikia hatua mpaka ma Profesa wakubwa walilijua hili wakaamua sasa na wao kuwa wanafiki wa kiwango cha 4G, ili wapate kula.
● CAG Kichere ameteuliwa na huyo huyo Magufuli, ila mbona amekua mkweli na ameweka wazi ufisadi wote hadharani???
● Speaker Ndugai ameteuliwa na huyo huyo Magufuli, na alikua akisifiwa na Magufuli, na alishiriki kumdhalilisha na kumtukana CAG Prof Assad, mbona ameanza kupata akili na amemgeuka Magufuli mbele ya bunge???
● Mama Samia alichaguliwa na huyo huyo Magufuli, ila mbona anaongoza nchi kwa uwazi, ukweli na uhuru bila kuwa mnafiki na muongo???
UTAWALA WA MAGUFULI HAUKUA NA NIA NJEMA KWA TAIFA LETU, ALIKUA MBINAFSI SANA, ALITAKA KUANZISHA MAMBO MENGI SANA YASIOWEZEKANA HALAFU RAIS AMBAE ANGEFUATIA YANGEMHARIBIKIA MIKONONI MWAKE. . . ILI YEYE MAGUFULI ANGESIFIWA BAADA YA KUONDIKA KWAMBA ALIANZISHA JAMBO FULANI NA FULANI NA RAIS AMBAE ANGEMFUATIA ANGETUKANWA KUSHINDWA KUYAENDELEZA.
#Wamejua kwamba zama za
"UONGO, UONEVU NA UFISADI" umekwisha sasa, zama hizi ni za
"UKWELI NA UWAZI" ukiwa muongo unaumbuliwa mchana kweupe na unapigwa chini.[/B]