Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni asemwe !!. Kwani jua halitatoka kesho kwa sababu Maghufuli amesemwa mapungufu yake ?!. Jiwe lingeruhusu uhuru wa habari wala usingemuona wa kumfikiria ushujaa. Toka siku ya kwanza madhaifu yake yangelikuwa wazi. Sasa ilikuwa OLE WAKO useme. Na kwa aliethubutu magazine nzima alimiminiwa mwilini . Huyo Acha asemweKama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
View attachment 1749044
View attachment 1749045
Huyo proff anaj.amba jamba tu...Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
View attachment 1749044
View attachment 1749045
Acha wazimu kijana. Mungu awalaani wote mnaotetea hili taifa kuangamizwa kwa utawala wa Mzee Wenu aliekwenda kuzificha nyaraka za MANUNUZI YA NDEGE/SGR/STIGLER'S kwake chato chini ya uvungu wa kitanda chake ili zisikaguliwe, mlaaniwe nyinyi pamoja na vizazi vyenu.Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Hakika !Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
View attachment 1749044
View attachment 1749045
Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Mkuu unapoteza muda wako bure kumuelewesha huyo mataga . Mataga wote Ni zero iqAna hoja ya msingi sana hata kama huikubali
Amehenga hoja kwa facts sio hisia
Yeye na wenzake watatu 2014 kabla hajawa CAG alitengeneza Business Plan ya ATC wakagundua kwa mazingira yetu haiwezi kuwa viable project wakashauri Serikal isilifufue shirika
JPM alipoingia akaanzisha Mchakato wa kufufua shirika kwa fedha nyingi tena cash payment
Akaomba feasibility study yake aisome ashauri akanyimwa
Akanyimwa haki ya kukagua nyaraka muhimu
Baadae tunajulishwa Shirika limetengeneza big loss japo lilipewa mtaji wa bure… ungekuwa Wewe ungesema mfanya maamuzi haya ana nia njema kwa Taifa?
Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Jizi limekufaWanatema nyongo ,baada ya kuzibwa mdomo ..
Kiwango changu cha elimu hukijuiKaongea sana wakati wa JPM sema kwa kiwango chako cha elimu hukuelewa
Sasa hivi umeelewa kwa kuwa wengi wamesaidia kutangaza habari yake na kuifasiri kwa lugha ya kinyonge ili uelelwa
Weee unadhan Paper kama ile kaiandaa ndani ya siku 21 za maombolezo?