Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Huyo kidume aliejifanya ni bora zaidi hata kulilo Mungu yupo wapi

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.

Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Ni kweli asigimbee atachafuka bure kama Watanzania wa wastani ndiyo hawa wanaozungumzia mambo kwa ushabiki!
 
Kiukwel moja ya watu makin ambao hawayumbishwi na mihemko ya wachache wenye nguvu. Mcha Mungu, mtu wa haki
 
Waambie mkuu. Alihoji pesa ya Chattel na mengine mengi maovu. Yule Mungu shetani akamtoa. Ila Mungu ni fundi zaidi. Yako wapi sasa?
Kabla hajaondoka alidai atakuja gombea umalaika mkuu, labda yuko huko.
 
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.

Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.

Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
Assad ni profesa gani huyu asiyejua kusoma katiba. CAG anateuliwa kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya hapo anaweza kuteliwa tena kwa kipindi cha miaka mitano minge kwa ukomo wa miaka kumi. Yeye anseoma kuwa anatakaiwa awe CAG kwa miaka kumi? Alimaliza kipindi cha miaka mitano, halafu hakupewa kipindi kingine cha miaka mitano. Sasa analialia nini, CAG huteliwa na Rais, hachaguliwi na wananchi.

Kumbe ilimuuma sana, ndiyo maana mara tu baada ya JPM kufariki akaanza kelele; anatumaini mama atamrudisha! Halafu ofisi ya CAG ni taasisi siyo mtu; yeye mwenyewe Assad hakuwa anakagua vitabu bali kuna wakaguzi chini ya ofisi ya CAG. Sasa anataka kutuambia kuwa yeye ndiye aliyekuwa anafanya kila kitu bila kufuata eti "maelekezo;" mpuuzi sana huyu.

Kama kuna wakati hela za umma zilitumika vibaya ni wakati wa Kikwete; kuna kipindi ofisi ya rais ilipewa supplementary budget baada ya kukomba hela zote zilizokuwa zimetengewa kabla ya mda wake.
 
Naona kaona upepo umeelekea ufukweni hvyo anajua yoyote yule akiwemo yeye anaweza rudishwa kazini.

Uenda anatest zali kusoma upepo asije teuliwa maneno ikawa mingiii
 
Naona wajitahidi kukwepa suala halisi. Katiba ilivunjwa waziwazi kwa makusudi na Jiwe.
Inashangaza sana Jiwe anaposifiwa kwa tabia ya kuvunja Katiba. Waimba mapambio nao
Mkono wa Mungu ndio ulituokoa na udhalimu huu uliyokuwa unakuwa kwa kasi kubwa.
Nimetoa point zangu kama mlipa kodi. kama huzielewi au huzitaki sio lazima uchangie.
 
Back
Top Bottom