Habari zenu wakuu.
Kwakweli kwa nafasi niliopata kazini inanilazimu niwe na printer ili nifanyie baadhi ya kazi nyumbani.
Sasa mie hizi mashine sizijui fresh, nikaona nikiingia kichwa kichwa kariakoo ntauziwa printer la stationery au printer la kitajiri lenye gharama kulitumia.
Naomba msaada ni printer ipi ndogo ndogo itanifaa na kuitumia kwake sio gharama, namaanisha iwe na gharama nafuu ya wino yaani wenu uwe unajazika mitaani na iwe inatumia chupa mbili tu za wino. Ya rangi na nyeusi.
Bajeti yangu ni 80,000 - 100, 000
Natangulisha shukrani wakuu.