Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,182
HAICHI KITU,mkuu hivi L800 inaweza printi juu ya cd na kuprint makasha magumu? na je ina print kwenye pvc na glossy paper?
CHA MUHIMU NI KUWA NA TRAY NA SOFTWARE YAKE.
HAICHI KITU,mkuu hivi L800 inaweza printi juu ya cd na kuprint makasha magumu? na je ina print kwenye pvc na glossy paper?
NA ZINATUWEKA MJINI KWA KUTUPATIA MIA MBILI MIA MBILI HUKU KITAA !!!EPSON Pinter nazikubali, bora ununue hata laki 8 lakini wino wa kujaza 6000 na zinafanya kazi vizur
Unanunua wino tu, unajaza mwenyewe ukiwa nyumbani mkuu.Zinajazwa wapi na sehemu gani ? Bro
Haya boss mi niliuliza sababu nataka ya unga!kuna mtu kanielekeza hii....![]()
HALAFU WE' JAMAA USIJIFANYE HUELEWI WEWE !!!
WE' UNGA UMEUONA WAPI HAPO-
HUONI CHUPA ZA WINO WA MAJI HAPO ?!?!
EEEEBOH !!!
Haya boss mi niliuliza sababu nataka ya unga!kuna mtu kanielekeza hii....
HP LaserJet M102a niambieni kuhusu printer hii
Vipi unaifahamu?
Ok asante![]()
SINA UZOEFU NAYO KWANI SIJAWAHI KUITUMIA,
ILA NACHOKIJUA NI KWAMBA HII NI SINGLE-FUNCTION i.e
INAPRINTI PEKEE,
HAITOI COPY WALA HAISCAN.
----
WINO/TONER YAKE NADHANI NI KUANZIA ELFU 50.