Printer ya matumizi madogo

Printer ya matumizi madogo

Kama unataka printer tu bila photocopy na uwezo wa kuscan unapata hata kwa chini ya hio budget, last time niliziona kwa 60,000. Mfano huu
31IvMgRMJML._AC_SY350_FMwebp_.jpg

Ukitaka yenye copy/print/scan (3in1) zipo around 100,000 mpaka 120,000 hivi

Kuhusu wino mkuu cha kuangalia sio bei, unaweza ukauziwa wino wa 10,000 ukatoa page 20 na wa 30,000 ukatoa page 500 hivyo ukawa wa 10,000 ni ghali zaidi. Cha muhimu ufanye tu utafiti.

Ila zote hapo juuu ninavyofahamu ni economy hazili sana wino unless unaprint picha na vitu vinavyokula sana wino.

Asante sana mkuu.

Sasa kwa uzoefu wako naomba ni-suggestie printer ndogo ya kununua ambayo itakuwa economic kuitumia.
 
kujaza wino ni approximately bei gani
- Inategemea umechukua printer ipi? kuna za mitungi minne (4) au mitungi (6)
- Pia inategemea umenunua chupa za wino zenye ujazo upi?
- Chupa za 250ml huuzwa kati ya TZ 12,000 hadi TZS 18,000
- Ukiwa na hizi chupa za ujazo wa 250ml, kwa mwaka utahitaji chupa moja moja kwa hizo za rangi wakati kwa black waweza tumia chupa mbili
1542543748604.png

Ukichukulia una mfano Epson L300
- Ina mitungi minne (4), hivyo utahitaji chupa 5tu kwa mwaka
- Chupa tatu (moja moja za rangi) na chupa mbili ambazo ni Black
- Kila chupa moja TZS 14,000 (mfano) hivyo kwa chupa 5 ni TZS 70,000
- Hivyo utaona ghalama ya kutumia printer kwa mwaka ni kiais kisichozidi TZS 70,000

Wakati kwa aina zingine za printer, kila baada ya wiki tatu unalazimika kununua cartilage mpya (sio kujaza wino) wakati hizi epson wewe unajukumu la kujaza wino tu.
1542544377195.png
 
Mkuu nimependa maelezo yako...nahitaji moja ambayo naweza nikaprinti hata ream mbili bila kuisha!ni ipi?
Tafuta CISS printer
- Ina mitungi ya nje
- Running cost iko kwenye karatasi tu na sio wino wa printer - Hiki ndio cha kuzingatia zaidi
- Ziko mode/ brand nyingi tofauti tofauti kutegemea na bajeti yako
- Ila epson ndio zinapatikana kiurahisi pamoja na wino wake

1542544724121.png

1542544769428.png
 
Habari zenu wakuu.

Kwakweli kwa nafasi niliopata kazini inanilazimu niwe na printer ili nifanyie baadhi ya kazi nyumbani.

Sasa mie hizi mashine sizijui fresh, nikaona nikiingia kichwa kichwa kariakoo ntauziwa printer la stationery au printer la kitajiri lenye gharama kulitumia.

Naomba msaada ni printer ipi ndogo ndogo itanifaa na kuitumia kwake sio gharama, namaanisha iwe na gharama nafuu ya wino yaani wenu uwe unajazika mitaani na iwe inatumia chupa mbili tu za wino. Ya rangi na nyeusi.

Bajeti yangu ni 80,000 - 100, 000

Natangulisha shukrani wakuu.
kwa hiyo budget utapata printer ya inkjet ambayo siyo friendly kwenye matumizi ya wino printer nzuri ni laserjet ndiyo inatumia wino vizuri ambapo catridge moja black and white una print mpaka karatasi 1500. ila unaweza nunua inkjet ukanunua na makopo ya wino kila moja ni 5000 so utanunua manne, la nyeusi, blue, green na nyekundu utakuwa watumia sindano kujaza catriges utakaa nayo hata miaka miwili hadi wino uexpire
 
Huu ndio ukweli, kama ameelewa mleta mada, achukue hatua.

Labda kwenye pendekezo la printer

1. Kwa bajeti ya TZS350 hadi 450,000 hapo atapata EPSON L300 - ( Hii kujaza wino ni mara moja kwa mwaka - kwa matumizi ya kawaida)

2. Kwa bajeti ya TZS 550,000 hadi 800,000 - Hapo achukue L800

Hakika hatojutia.
mkuu hivi L800 inaweza printi juu ya cd na kuprint makasha magumu? na je ina print kwenye pvc na glossy paper?
 
EPSON Pinter nazikubali, bora ununue hata laki 8 lakini wino wa kujaza 6000 na zinafanya kazi vizur
 
Kama unataka printer tu bila photocopy na uwezo wa kuscan unapata hata kwa chini ya hio budget, last time niliziona kwa 60,000. Mfano huu
31IvMgRMJML._AC_SY350_FMwebp_.jpg

Ukitaka yenye copy/print/scan (3in1) zipo around 100,000 mpaka 120,000 hivi

Kuhusu wino mkuu cha kuangalia sio bei, unaweza ukauziwa wino wa 10,000 ukatoa page 20 na wa 30,000 ukatoa page 500 hivyo ukawa wa 10,000 ni ghali zaidi. Cha muhimu ufanye tu utafiti.

Ila zote hapo juuu ninavyofahamu ni economy hazili sana wino unless unaprint picha na vitu vinavyokula sana wino.

IKIWA UCHUMI WAKO SIO IMARA,
HII PRINTA HAIFAI.
 
- Inategemea umechukua printer ipi? kuna za mitungi minne (4) au mitungi (6)
- Pia inategemea umenunua chupa za wino zenye ujazo upi?
- Chupa za 250ml huuzwa kati ya TZ 12,000 hadi TZS 18,000
- Ukiwa na hizi chupa za ujazo wa 250ml, kwa mwaka utahitaji chupa moja moja kwa hizo za rangi wakati kwa black waweza tumia chupa mbili
View attachment 938527
Ukichukulia una mfano Epson L300
- Ina mitungi minne (4), hivyo utahitaji chupa 5tu kwa mwaka
- Chupa tatu (moja moja za rangi) na chupa mbili ambazo ni Black
- Kila chupa moja TZS 14,000 (mfano) hivyo kwa chupa 5 ni TZS 70,000
- Hivyo utaona ghalama ya kutumia printer kwa mwaka ni kiais kisichozidi TZS 70,000

Wakati kwa aina zingine za printer, kila baada ya wiki tatu unalazimika kununua cartilage mpya (sio kujaza wino) wakati hizi epson wewe unajukumu la kujaza wino tu.
View attachment 938536

HIZI ND'O PRINTA RAFIKI KWA WANYONGE.

I REALLY ENJOY USING DEM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom