Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,061
Reaction score
79,418
Hamjambo!

Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.

Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa

Vita ya maneno ili ushinde lazima uangalie tension, shauku, hamu kubwa ya watazamaji, vita ya maneno watazamaji hutaka kusikia kombora kubwa kuliko hasa likitolewa dakika za mapema kabisa ili kumaliza kazi.

Vita ya maneno hasimu huwa na hofu ya kusemwa zile tabia zake mbaya za siri, usipomsema katika dakika za mwanzo, ukasema mambo ya kawaida. Tayari unampa mazingira ya kuzoea hofu na kisaikolojia ukishazoea hofu ya kile unachotarajia inapunguza uzito wa kombora lenyewe hata likitupwa.

Ikiwa unamchelewesha mtu katika vita ya Maneno jitahidi uwe na taarifa kubwa ya kutisha ambayo yeye(hasimu wako) anajua taarifa hiyo hauna. So inakuwa suprise sio tuu kwa Mashabiki bali hata kwa adui. Na hilo linakuwa pigo moja takatifu ambalo lazima liitwe Knock out.

Sasa Polepole press ya kwanza watu walijua atatuma vyuma vya uhakika, kisha awamu ya pili kutuma ushahidi, yeye watu wanamsubiri wakijua atakuwa na jambo zito. Akaboronga.

Watu wakasema huenda anavuta kasi, kapanga shambulizi la Pili, akaboronga.

Mpaka hasimu zake wamemdharau.
Alafu mbaya zaidi mlengwa Mkuu ambaye ni Rais yupo Kimya.
Na hili nilishaeleza kuhusu mpambano unavyokuwa.

Rais hawezi kujibu shambulizi lililopoa. Na nilimwambia kuwa ukimya wa Rais kwake auhesabu kama ishara ya hatari.

Kikawaida mtu ambaye unajua siri zake ukianzisha vita naye. Kama atakupiga shambulizi lililopoa huwezi mjibu kwani unajua hajamaliza risasi zake. Kwamba kuna risasi anayoitegemea.

Ni tofauti na Gwajima Vs Makonda. Gwajima alipokuwa katika vita vya Maneno na Makonda, Gwajima alianzia moja kwa moja kwenye kiini. Kisha akaacha ngoma imehang huku ushahidi ukiwa unafuata kwa shambulizi alilofanya.

Gwajima Vs Serikali ambao ni kivuli cha watekaji kwa Mujibu wake.

Shambulizi lake alianzia juu na hakuwa na risasi nyingine. Vita ilianza kwa tensioni kubwa.

Rais alimjibu kwa sababu alijua Gwajima amemaliza risasi zake na hana tegemeo jingine tena. Hana kipya atakachoongea.

Polepole yeye katoa shambulio lililopoa Sana. Madhara yake sio makubwa.
Hata kuzima mitandao ni hofu tuu.

Lakini ni kiashiria kuwa Polepole anataarifa nyingi na nyeti sana.

Polepole angerusha mawe mazito hata vipande nusu ambavyo vitamfanya awaabishe adui zake na awapagawishe. Kisha hatua inayofuata aseme anakuja na ushahidi ambao utawashangaza, na aseme atauweke hadharani na kila mtu atauona.

Huku akisema amebakisha vyuma vingine ambavyo vitaitetemesha nchi.

Ukishatoa madai ya kumdhalilisha hasimu wako utakuwa upo nusu ya ushindi. Kuthibitisha utakuwa umemaliza kazi.

Kadiri Polepole anavyochelewa ndivyo mashambulizi yake yanakosa nguvu.
Yaani leo hata aje aseme kitu gani hakitakuwa na nguvu ya maana kama angeshambulia mwanzoni.

Tayari watu wameshazoea, watu wameshapredict, hasimu kashazoea tension jambo ambalo kwenye vita ya maneno sio zuri.

Soma >> GE2025 - Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Polepole hata zile trick za majigambo na mikwala ya kusema yeye yupo tayari kufa lakini lazima hasimu wake alale nao mbele hatilii mikazo katika laini hizo.

Yupo katika vita kubwa lakini anapambana kwa namna laini sana. Jambo ambalo unagundua kuna kitu hakipo sawasawa.

Anyway! Sisi tupo!
Na tutakuwepo!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hamjambo!

Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.
Unpotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa

Vita ya maneno ili ushinde lazima uangalie tension, shauku, hamu kubwa ya watazamaji, vita ya maneno watazamaji hutaka kusikia kombora kubwa kuliko hasa likitolewa dakika za mapema kabisa ili kumaliza kazi.
Vita ya maneno hasimu huwa na hofu ya kusemwa zile tabia zake mbaya za siri, usipomsema katika dakika za mwanzo, ukasema mambo ya kawaida. Tayari unampa mazingira ya kuzoea hofu na kisaikolojia ukishazoea hofu ya kile unachotarajia inapunguza uzito wa kombora lenyewe hata likitupwa.

Ikiwa unamchelewesha mtu katika vita ya Maneno jitahidi uwe na taarifa kubwa ya kutisha ambayo yeye(hasimu wako) anajua taarifa hiyo hauna. So inakuwa suprise sio tuu kwa Mashabiki bali hata kwa adui. Na hilo linakuwa pigo moja takatifu ambalo lazima liitwe Knock out.

Sasa Polepole press ya kwanza watu walijua atatuma vyuma vya uhakika, kisha awamu ya pili kutuma ushahidi, yeye watu wanamsubiri wakijua atakuwa na jambo zito. Akaboronga.
Watu wakasema huenda anavuta kasi, kapanga shambulizi la Pili, akaboronga.

Mpaka hasimu zake wamemdharau.
Alafu mbaya zaidi mlengwa Mkuu ambaye ni Rais yupo Kimya.
Na hili nilishaeleza kuhusu mpambano unavyokuwa.

Rais hawezi kujibu shambulizi lililopoa. Na nilimwambia kuwa ukimya wa Rais kwake auhesabu kama ishara ya hatari.

Kikawaida mtu ambaye unajua siri zake ukianzisha vita naye. Kama atakupiga shambulizi lililopoa huwezi mjibu kwani unajua hajamaliza risasi zake. Kwamba kuna risasi anayoitegemea.

Ni tofauti na Gwajima Vs Makonda. Gwajima alipokuwa katika vita vya Maneno na Makonda, Gwajima alianzia moja kwa moja kwenye kiini. Kisha akaacha ngoma imehang huku ushahidi ukiwa unafuata kwa shambulizi alilofanya.

Gwajima Vs Serikali ambao ni kivuli cha watekaji kwa Mujibu wake.
Shambulizi lake alianzia juu na hakuwa na risasi nyingine. Vita ilianza kwa tensioni kubwa.
Rais alimjibu kwa sababu alijua Gwajima amemaliza risasi zake na hana tegemeo jingine tena. Hana kipya atakachoongea.

Polepole yeye katoa shambulio lililopoa Sana. Madhara yake sio makubwa.
Hata kuzima mitandao ni hofu tuu.
Lakini ni kiashiria kuwa Polepole anataarifa nyingi na nyeti sana.

Polepole angerusha mawe mazito hata vipande nusu ambavyo vitamfanya awaabishe adui zake na awapagawishe. Kisha hatua inayofuata aseme anakuja na ushahidi ambao utawashangaza, na aseme atauweke hadharani na kila mtu atauona.
Huku akisema amebakisha vyuma vingine ambavyo vitaitetemesha nchi.

Ukishatoa madai ya kumdhalilisha hasimu wako utakuwa upo nusu ya ushindi. Kuthibitisha utakuwa umemaliza kazi.

Kadiri Polepole anavyochelewa ndivyo mashambulizi yake yanakosa nguvu.
Yaani leo hata aje aseme kitu gani hakitakuwa na nguvu ya maana kama angeshambulia mwanzoni.

Tayari watu wameshazoea, watu wameshapredict, hasimu kashazoea tension jambo ambalo kwenye vita ya maneno sio zuri.

Polepole hata zile trick za majigambo na mikwala ya kusema yeye yupo tayari kufa lakini lazima hasimu wake alale nao mbele hatilii mikazo katika laini hizo.

Yupo katika vita kubwa lakini anapambana kwa namna laini sana. Jambo ambalo unagundua kuna kitu hakipo sawasawa.

Anyway! Sisi tupo!
Na tutakuwepo!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Huyo katumwa na sisiemu ili kuua ajenda ya NRNE na amefanikiwa kwa 70% mpaka sasa .

Na Lissu soon watu watamsahau Tanzania ni nchi ya watu wajinga
 
Hatari Sana.
Lisu wanataka kumtoa mwezi huu au watisa mwanzoni.
Wanasema mifumo ya Chadema ime paralaizi. So atakuwa hana nguvu tena
 
Lissu alitingisha ugali wa Rostam kuhusu makaa ya mawe kwahiyo kaingizwa korokokoroni kimkakati kumpungizia speed.

Na najua akitoka huko jela atakuwa ashaujua unafiki wa watanzania.
 
Lissu alitingisha ugali wa Rostam kuhusu makaa ya mawe kwahiyo kaingizwa korokokoroni kimkakati kumpungizia speed.

Na najua akitoka huko jela atakuwa ashaunua unafiki wa watanzania.

Watanzania sio watu wakukufanya u-risk maisha yako kwaajili yao. Hilo mimi nilijifunza kitambo sana. Tena kwa ishi ndogondogo tuu achana na maduka makubwa ya kina Lisu.
 
Huyo katumwa na sisiemu ili kuua ajenda ya NRNE na amefanikiwa kwa 70% mpaka sasa .

Na Lissu soon watu watamsahau Tanzania ni nchi ya watu wajinga
Katumwa na CCM huku kaondolewa hadhi ya ubalozi? CCM haiwezi kufanya huo upuuzi. Mchakato tu wa kuwapata wagombea ndani ya CCM tayari umeizima NRNE kwa 100%. Hata makada wa CHADEMA kwa sasa wako bize mno na mambo ya CCM.
 
Mashumbulizi yake yanathibitisha kwa ukaribu unachosema
Yaani huyo Polepole angekuwa ni adui CCM wangempoteza mapema sana.

Ila anachofanya ni kutumika kuunda drama ambazo hazina mikono wala miguu.

Mambo anayoyadai ndiyo yaleyale alikuwa akiyafanya akiwa madarakani — kuua, kuteka, kuhujumu uchaguzi, n.k.
 
Katumwa na CCM huku kaondolewa hadhi ya ubalozi? CCM haiwezi kufanya huo upuuzi. Mchakato tu wa kuwapata wagombea ndani ya CCM tayari umeizima NRNE kwa 100%. Hata makada wa CHADEMA kwa sasa wako bize mno na mambo ya CCM.

Ukishampiga mchungaji kondoo hukimbiakimbia.
Hakuna mikakati tena, hivyo kila kitu kimeparangika
 
Back
Top Bottom