Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

Mkuu, usitumie nguvu kubwa kwa haya majitu, ni maccm yanakuja kwa style ya upinzani.
huyo Limbu kutwa kuanzisha vyama, kila chama kikiwa na mgogoro huyo mzee wa TISS anajitokeza kuanzisha.
unakumbuka alivyomtafuta Rashid wa CUF? na sasa kamnasa Zitto.

Cha kujiuliza je ADC ameifikisha wapi? na ACT ataifikisha wapi?

ndio style ya kula kwa bwana Limbu kama humfahamu...
DSC.11.jpg

tTazama bendera hapo, utamjua tu.. MM kashachemka hata kabla hajaanza kazi...


MICHUZI BLOG: Katibu Mkuu wa ADC katika ziara mkoani Mwanza

Mkuu asante kwa kunitoa wasiwasi. Kumbe tayari wana uniform na bendera zao? Nani anagharimia hivi vitu? Inawezekana kabisa kuwa chama tawala kiko nyuma ya hii kitu. Soon tutamsikia ZZK anatangaza kujiunga huko.

Tiba
 
Mkuu asante kwa kunitoa wasiwasi. Kumbe tayari wana uniform na bendera zao? Nani anagharimia hivi vitu? Inawezekana kabisa kuwa chama tawala kiko nyuma ya hii kitu. Soon tutamsikia ZZK anatangaza kujiunga huko.

Tiba

Mkuu,
ni mpango wa maccm, kuzidi kumdhoofisha Zitto nae kashaingia chaka,
Chama kinadhaminiwa na TISS, wameshachelewa kama ulivyosema
CHADEMA siyo ya kuilinganisha imekuwepo zaidi ya miaka 20...
ACT wacha wapambane na kivuli chao...
 
Zitto akatoe pingamizi mahakamani aende kwa amani akajenge ACT yake mapema ili Cdm waendelee na ukombozi wa pili kwa amani.
 
Zito kuwa mwenyekiti na mgombea urais wa Chama ACT. Ndoto zake zitakuwa zimetimia
 
ni coward coz anaogopa kusema msimamo wake,hapo hapo ni traitor coz ameshawasiliti kina Salum Mwigamba.

Jamaa aitwa Salum, sio Samson tena?

Hiki chama cha ku-ACT ni cha mafedhuli na mabaradhuli wa ujiji wakisaidiwa na mashetani wa lumumba.
 
Jamaa aitwa Salum, sio Samson tena?

Hiki chama cha ku-ACT ni cha mafedhuli na mabaradhuli wa ujiji wakisaidiwa na mashetani wa lumumba.
kahtaan mwanao wa kufikia Matola yuko wapi??

Njoo umuone mwanangu mimi wa kufikia huyu,nimempa jina anaitwa the invisble,ila akinishinda mimi kama baba nampa radhi tu kama ulivyofanya wewe

watoto hawa gongo zinawasumbua sana
 
Last edited by a moderator:
Huu utitiri wa vyama vya upinzani ni wala haujengi kabisa!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app

tatizo ni empty ego inayomlazimisha mwanasiasa aamini ati anakuwa bora kwa kuwa mwenyekiti wa chama. Ego hii ni mbaya mnoo!
 
we pi.mbi nini??

nani kakuambia waislam tunahitaji chama ili kutetea maslahi yetu??

au unadhani kwa mlichofanya chadema kuingiza ukristo basi unadhani ukipandikiza propaganda hiyo kwa hao act ndio utapata pa kuegemea??

we muislam kafiri tuh wewe?

Ha! Ha! Haaaaa!
 
Kachama ka ACT...... Mkuu wamekupa ofa ya kukapromote nn?

Mtu mwenyewe anayefanya promotion amekaa kilevi levi tu. Siajabu lichama lao limebeba sura ya walevi tu.. Mtu kama Mchange au Nyakarungu wanaohongwa 50,000/- kwa mwezi kufanya usaliti eti hao ndo wajenge chama!! Mxiuuuu
 
Last edited by a moderator:
yani nyinyi jamaa mapimbi sana

so,mkadhani kuja na chadema na wale mapdre padrev wenu kama Dr.W.Slaa sisi watanzania tunaweza kuwa wehu tukawapa ikulu?
mmevurugwa sana
Kwaiyo ACT ni chama Anti-Padre? Ndio maana mkakizindulia kwenye msikiti wa magaidi pale UJIJI Kigoma?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom