Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

ACT ni mpango mahsusi wa magamba kuiua chadema.Haitawezekana hata kidogo.
 
Nilisikia baadhi ya watu wakisema tunahitaji mbadala wa Chadema an Magamba... je huu ndio mbadala au tuendelee kusubiri?
 
ACT ni mpango mahsusi wa magamba kuiua chadema.Haitawezekana hata kidogo.

sasa chadema kife mara ngapi??

mnawabagua hata ambao sio wakatoliki??

dhambi ya ubaguz mbaya sana,yani wenyewe kwa wenyewe mnabaguana??

bora mfe tuh
 
Limbu mroho wa madaraka anamiliki vyama viwili ADC na ACT.
 
sasa chadema kife mara ngapi??

mnawabagua hata ambao sio wakatoliki??

dhambi ya ubaguz mbaya sana,yani wenyewe kwa wenyewe mnabaguana??

bora mfe tuh
Mkuu The big Show baada ya kuingiliwa na wanajeshi na kukufanyia kitendo ambacho ni siri yako hadi leo, ukalainika na gesi ukaitoa hahahahaha
 
Kuwepo au ujio wa act ni msiba kwa chadema watapotea kwenye siasa za tanzania.
 
Back
Top Bottom